Mke anapenda kukasirika kila mara, nimfanye nini?

Kabila gani uyooo mkuu na ww una miaka miaka mingapi sorry lakin kwa swali
 
Seems like huwa unaona tu negatives zake ila positives zake,huzioni
Hivyo na yeye ameshakuwa na kinyongo anajihami kila mara hata kama ni jambo la kupokea tu.

Pia inaonekana haumpi tendo kikamilifu
 
dahhh!!!!!hhahah!!!!fedheha hizi sasa,tawala tena!!!!khaaa!!!!gubu gubuni ndiyo hiyo sasa.
 
Habari wakuu

Mtu huyu kila mara ni balaa hamna usalama labda useme zipite siku 3 bila balaa upone lakini wapi

Nikiwasha mziki naupenda akisikiliza yale maneno anasema namkusudia yeye anakasirika hata siku 4 au wiki hapo sina nae matatizo

Haya jana nimemkuta mtotowangu wa kike wa miaka 8 kalala kajikunja kwa baridi nikamfunika ghafla kaja juu kwa nini unamfunika huna ruhusa wewe kumfunika mimi ndio mama yake tamfunika sasa yeye ananifikiria nini mimi kwa mtoto wangu wa kumzaa

Wazazi wangu au Ndugu zangu wakiomba msaada kutoka kwangu kwa mfano kuwafikisha na gari sehemu hapendezewi anakasirika hivi kuna mke kweli hapa jamani? Hii tabia ni mda mrefu habadiriki kabisa, nimejaribu kila njia kumuonyesha vipi watu wanaishi kwa kupendana hataki kuelekea sijui ni KIBURI sielewi.

Mimi hata siku moja sijawahi kuonyesha kama siwapendi wazazi wake au ndugu zake bado mimi ndio nawafurahia kweli. Sijui ana nini i m really TIRED of this women really.

Nombeni ushauri nimfanye nini huyu mtu kwa sababu nafikiria kumuacha.

Thanks
Umezidi upole mkuu ilitakuwa atleats awe anachezea vibao viwili vitatu akili ikae sawa. Mana wanaoenda challenge hawa viumbe so unatakiwa musa mwengine umuonyeshe nani ni ALPHA !!!
 
Hapana mkuu kuna wanawake wana gubu hata ufanye je, malezi na makuzi yao yalikua ya hovyo sidhani kushida chumbani eti unamlidhisha ndo suluhisho..... simply hiyo ni bad luck kama anauwezo ajaribu mgine tena
Nakubaliana na gubu pia, personally nina mpenzi wa aina hio ambaye anapenda misuguano kila saa. Yani haiwezi siku ikapita bila kuparuana kwa maneno. Huwa napata temper sana kila akileta uduanzi„

I only love her kwa sababu yuko na quality katika ubongo wake compared na wanawake wengi wa kileo. Thats what gives me strength ila kwa upande wa kelele ni kama redio yenye betri mpya za Duracell.

Kimsingi ndie amenifanya nijue faida za mchepuko na kuanza rasmi nyumba ndogo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mnisamehe Nimejikuta tu nacheka jamani.
 
Nakubaliana na gubu pia, personally nina mpenzi wa aina hio ambaye anapenda misuguano kila saa. Yani haiwezi siku ikapita bila kuparuana kwa maneno. Huwa napata temper sana kila akileta uduanzi„

I only love her kwa sababu yuko na quality katika ubongo wake compared na wanawake wengi wa kileo. Thats what gives me strength ila kwa upande wa kelele ni kama redio yenye betri mpya za Duracell.

Kimsingi ndie amenifanya nijue faida za mchepuko na kuanza rasmi nyumba ndogo.
Aisee
 
Bro umeandika kwa hisia sana pole sana me nakushauri tafuteni wazee au kiongozi wa dini akiendelea tena hapo chukua hatua zaidi unajua haya mambo ya kuzoeana kupitiliza mtu usipokuwa makini huwezi ona kitu cha thaman kilicho ndani ya mtu.....

Mkeo ajifunze aone jinsi ndoa zinavyotafutwa sasa hivi
 
Mkeo hau upendo na wewe, na yawezekana sana pia haya huyo mtoto wenu sio mbegu ya uboho wako.
Mke wako hana furaha na wewe na haipendi kabisa filia yako, na inawezekana anajuta sana kuolewa na wewe.

Nisamehe kwa kuandika maneno ngumu, lakini huo ndio mtazamo wangu.

Thanks
 
Habari wakuu

Mtu huyu kila mara ni balaa hamna usalama labda useme zipite siku 3 bila balaa upone lakini wapi

Nikiwasha mziki naupenda akisikiliza yale maneno anasema namkusudia yeye anakasirika hata siku 4 au wiki hapo sina nae matatizo

Haya jana nimemkuta mtotowangu wa kike wa miaka 8 kalala kajikunja kwa baridi nikamfunika ghafla kaja juu kwa nini unamfunika huna ruhusa wewe kumfunika mimi ndio mama yake tamfunika sasa yeye ananifikiria nini mimi kwa mtoto wangu wa kumzaa

Wazazi wangu au Ndugu zangu wakiomba msaada kutoka kwangu kwa mfano kuwafikisha na gari sehemu hapendezewi anakasirika hivi kuna mke kweli hapa jamani? Hii tabia ni mda mrefu habadiriki kabisa, nimejaribu kila njia kumuonyesha vipi watu wanaishi kwa kupendana hataki kuelekea sijui ni KIBURI sielewi.

Mimi hata siku moja sijawahi kuonyesha kama siwapendi wazazi wake au ndugu zake bado mimi ndio nawafurahia kweli. Sijui ana nini i m really TIRED of this women really.

Nombeni ushauri nimfanye nini huyu mtu kwa sababu nafikiria kumuacha.

Thanks
Huyu mpandishe cheo awe mke mkubwa.
 
Nakubaliana na gubu pia, personally nina mpenzi wa aina hio ambaye anapenda misuguano kila saa. Yani haiwezi siku ikapita bila kuparuana kwa maneno. Huwa napata temper sana kila akileta uduanzi„

I only love her kwa sababu yuko na quality katika ubongo wake compared na wanawake wengi wa kileo. Thats what gives me strength ila kwa upande wa kelele ni kama redio yenye betri mpya za Duracell.

Kimsingi ndie amenifanya nijue faida za mchepuko na kuanza rasmi nyumba ndogo.
Ahsante kwa kua realistic katika maisha......Mkuu wote maisha yetu ni hayo hayo nikujikaza akitimiza angalau 40% kwa mahitaji yako hiyo 60% unaivumilia na kucompasate pengine, mimi nimeingia polygamy bila kutegemea au kupenda mkuu
 
Habari wakuu

Mtu huyu kila mara ni balaa hamna usalama labda useme zipite siku 3 bila balaa upone lakini wapi

Nikiwasha mziki naupenda akisikiliza yale maneno anasema namkusudia yeye anakasirika hata siku 4 au wiki hapo sina nae matatizo

Haya jana nimemkuta mtotowangu wa kike wa miaka 8 kalala kajikunja kwa baridi nikamfunika ghafla kaja juu kwa nini unamfunika huna ruhusa wewe kumfunika mimi ndio mama yake tamfunika sasa yeye ananifikiria nini mimi kwa mtoto wangu wa kumzaa

Wazazi wangu au Ndugu zangu wakiomba msaada kutoka kwangu kwa mfano kuwafikisha na gari sehemu hapendezewi anakasirika hivi kuna mke kweli hapa jamani? Hii tabia ni mda mrefu habadiriki kabisa, nimejaribu kila njia kumuonyesha vipi watu wanaishi kwa kupendana hataki kuelekea sijui ni KIBURI sielewi.

Mimi hata siku moja sijawahi kuonyesha kama siwapendi wazazi wake au ndugu zake bado mimi ndio nawafurahia kweli. Sijui ana nini i m really TIRED of this women really.

Nombeni ushauri nimfanye nini huyu mtu kwa sababu nafikiria kumuacha.

Thanks
umeoa kama sio CHIZI ,ni JEHU
 
Back
Top Bottom