Mke anapenda kukasirika kila mara, nimfanye nini?

I was very SHOCKED kuniambia yale maneno na kunifikiria vibaya kwa mtoto wangu wa kumzaa
kwa nini unamfunika mtoto wa kike ambaye siyo wako? halafu acha kusikiliza taarabu mkuu zina vijembe sana ndiyo maana ana maindi
 
Huyo mwanamke humfikishi panako game ila haezi sema ila ujumbe anaufikisha kwa visa tu.

Solution: Zaba makofi ya adabu kisha umkaze vizuri usiku kucha. Atakuhesimu sana trust me. Put that woman in her place, acha kujifanya Yesu sana mbele ya mkeo.
 
Nakazia mkuu tena nagongea kwa nyundo na misumariiii
 
Ndoa ni taasisi ya uvumilivu. Yote uliyoandika mtoa mada ni ya kawaida sana kutokea kwenye Ndoa na yanavumilika na hutokea kwa nyakati fulani tu na kupita.
 
Habari wakuu

Mtu huyu kila mara ni balaa hamna usalama labda useme zipite siku 3 bila balaa upone lakini wapi

Nikiwasha mziki naupenda akisikiliza yale maneno anasema namkusudia yeye anakasirika hata siku 4 au wiki hapo sina nae matatizo

Haya jana nimemkuta mtotowangu wa kike wa miaka 8 kalala kajikunja kwa baridi nikamfunika ghafla kaja juu kwa nini unamfunika huna ruhusa wewe kumfunika mimi ndio mama yake tamfunika sasa yeye ananifikiria nini mimi kwa mtoto wangu wa kumzaa

Wazazi wangu au Ndugu zangu wakiomba msaada kutoka kwangu kwa mfano kuwafikisha na gari sehemu hapendezewi anakasirika hivi kuna mke kweli hapa jamani? Hii tabia ni mda mrefu habadiriki kabisa, nimejaribu kila njia kumuonyesha vipi watu wanaishi kwa kupendana hataki kuelekea sijui ni KIBURI sielewi.

Mimi hata siku moja sijawahi kuonyesha kama siwapendi wazazi wake au ndugu zake bado mimi ndio nawafurahia kweli. Sijui ana nini i m really TIRED of this women really.

Nombeni ushauri nimfanye nini huyu mtu kwa sababu nafikiria kumuacha.

Thanks
kama bado hamjazaa watoto weng n bora umteme mapema kabla hujachuma mali nyingi.....maana kinachompa kibur hapo n kwamba hata ukimpa taraka anajua atapata aslimia 50 ya mali zako.....kwa hyo kama hatak kubadlika mda wote huo jikatae mapema mzee
 
kapime DNA labda huyo mtoto n wake yy ila sio wako ww
 
Huyo mwanamke humfikishi panako game ila haezi sema ila ujumbe anaufikisha kwa visa tu.

Solution: Zaba makofi ya adabu kisha umkaze vizuri usiku kucha. Atakuhesimu sana trust me. Put that woman in her place, acha kujifanya Yesu sana mbele ya mkeo.
Hapana mkuu kuna wanawake wana gubu hata ufanye je, malezi na makuzi yao yalikua ya hovyo sidhani kushida chumbani eti unamlidhisha ndo suluhisho..... simply hiyo ni bad luck kama anauwezo ajaribu mgine tena
 
Kaka unamchekea sana. tandika makofi. Una muendekeza ndio maana kawa hivyo

Back
Top Bottom