Mke anakwepa sana tendo la ndoa, nini kifanyike?

mtoto wake eeeeh?
unamsaidia mkeo malezi ya mtoto? au hata mtoto akilia unamuita mkeo aje ambembeleze?
unazungumza na keo kuhusu anavyojisikia? majukumu mapya nk?
unamsaidia mkeo kazi ndogo ndgogo?
hebu jichunguze mwenyewe ukaribu wako na mkeo, jinsi unavyomchukulia, unavyozungumza nae nk anzia hapo
 
Mie nikajua una miaka miwili huja do...kumbe miezi kadhaa umeanza kulalamika! pole Vunja ukimya na mweleze
 
Habari za leo, natumaini mpo poa.
tatizo linalonikabili ni kuwa mwezi sasa, game halichezwi kabisa kisa ni kwamba hajisikiii kabisaaa kufanya tendo hilo,
kwa ufupi anasema anaona kama kero flani hivi. Ni tatizo gani na ufumbuzi wake ni upi?
msaada please kuokoa ndoa.
 
mhh inatokeaga lakin
bt r u sure afanyi mpango wa kando? if yes basi ni mapito tu...NI KM KUPOTEZA APETITE VILE THEN AFTA MUDA INARUD TENA....pole broo
 
  • Thanks
Reactions: rom

Asante sana, mpango wa kando sina uhakika sana ila tatizo hili huwa linajirudia mara kwa mara lakini hili kwa sasa limekuwa sugu, muda mwengine mpaka ngumi zinataka kulika kitandani........
 
mshauri awe anakula vitu/nyakula vyenye wanga kma karanga/korosho na muhogo kisha apime choo kidogo labda ana UTI nayo inaaminika kushusha hamu ya ngono.
 
  • Thanks
Reactions: rom
Mmmh, mwezi mzima? Hiyo ni abnormal, huwa inaweza ikatokea labda kwa wiki or siku kadhaa na hiyo huwa inaweza kumpata yeyote wewe au yeye, but siyo mwezi mzima. Labda una mashine kubwa sana anaona inamuumiza? Or huwa humridhishi, kwa hiyo anajaribu kuepuka kero ya mateso anayoyapata baada ya wewe kumaliza na kumwacha yeye njiani?
 
  • Thanks
Reactions: rom
Mkuu embu penda kwanza kumchezea chezea manake kuomba tu game nakupanda kifuani sio ishu sana.Ukianza kumchezea chezea hata kama hana hamu utashanga milango inafunguka halafu watu hao
 
NUNUA sanamu la kike, liweke uvunguni, mkeo akikunyima majamboz, toa sanamu lako kisha anza kuliongesha sanamu romantic words, lazima mkeo apandwe na wivu kudadadeki, ataachia mwenyewe malighafi za kutengenezea watoto
 
Mkuu embu penda kwanza kumchezea chezea manake kuomba tu game nakupanda kifuani sio ishu sana.Ukianza kumchezea chezea hata kama hana hamu utashanga milango inafunguka halafu watu hao

Jamaa anafikiri waifu farasi.....
bila shaka anamwambia.. rara nikurenge
 
  • Thanks
Reactions: rom
Je huwa ana mamatizo ya Hormones au huenda ndo yanamnyemelea? Nawe huwa unamuandaa vya kutosha isije ikawa ni kama wataka kubaka, badili mazingira japo kwa wiki mara moja yaani mtoke mkalale hoteli, na pia muwe mna maozea ya kubadili position ya kitanda pia huleta hamasa chumbani. Kama vp atumie Misky!:lol:
 
Habari za leo, natumaini mpo poa.
tatizo linalonikabili ni kuwa mwezi sasa, game halichezwi kabisa kisa ni kwamba hajisikiii kabisaaa kufanya tendo hilo,
kwa ufupi anasema anaona kama kero flani hivi. Ni tatizo gani na ufumbuzi wake ni upi?
msaada please kuokoa ndoa.

jaribu kuwa msafi sana, kama unavuta sigara acha, kama mlevia acha, kama hujui maandalizi nenda shule!!
 
Mmmh, mwezi mzima? Hiyo ni abnormal, huwa inaweza ikatokea labda kwa wiki or siku kadhaa na hiyo huwa inaweza kumpata yeyote wewe au yeye, but siyo mwezi mzima. Labda una mashine kubwa sana anaona inamuumiza? Or huwa humridhishi, kwa hiyo anajaribu kuepuka kero ya mateso anayoyapata baada ya wewe kumaliza na kumwacha yeye njiani?

Ni kweli yapata mwezi sasa, yaani hataki kuguswa anasema anajisikia kama kero flani hivi hata foreplay hataki.Kumridhisha hilo siwezi msemea lakini mpaka anahama kitanda kwa shughuli pevu.
 
Mkuu embu penda kwanza kumchezea chezea manake kuomba tu game nakupanda kifuani sio ishu sana.Ukianza kumchezea chezea hata kama hana hamu utashanga milango inafunguka halafu watu hao

yaani hata hiyo fore paly hataki , sasa sijui nianze kwa mbinu gani ili arudi katika hali yake.
 
Je huwa ana mamatizo ya Hormones au huenda ndo yanamnyemelea? Nawe huwa unamuandaa vya kutosha isije ikawa ni kama wataka kubaka, badili mazingira japo kwa wiki mara moja yaani mtoke mkalale hoteli, na pia muwe mna maozea ya kubadili position ya kitanda pia huleta hamasa chumbani. Kama vp atumie Misky!:lol:

Asante Bichau, nadhani hizi mbinu mbadala labda zitamrudisha mahala pake, nashukuru kwa wazo lako ntalifanyia kazi.Misky ina kazi gani? ni marashi?
 
Habari za leo, natumaini mpo poa.
tatizo linalonikabili ni kuwa mwezi sasa, game halichezwi kabisa kisa ni kwamba hajisikiii kabisaaa kufanya tendo hilo,
kwa ufupi anasema anaona kama kero flani hivi. Ni tatizo gani na ufumbuzi wake ni upi?
msaada please kuokoa ndoa.
je, anamarafiki anaoongea nao? anafuraha nyumbani au hana? kama hana katika hayo niliyokuuliza anaweza kuwa na depression. dalili mojawapo ni kutokuwa na libido (hamu ya sex). jaribu kumpeleka kwa psychatrician amchunguze:A S-fire1:
 
Asante Bichau, nadhani hizi mbinu mbadala labda zitamrudisha mahala pake, nashukuru kwa wazo lako ntalifanyia kazi.Misky ina kazi gani? ni marashi?

Misky ni kama marashi yapo katik akijichupa kidogo size ya kidole cha mwisho, kazi yake ni kufanya mashine iwe na joto pamoja na kuongeza ashki matokeo yake nyote wawili mta furahia zoezi.ila kabla ya kutumia ni lazima mashine isafishwe vyema.:nod:
 
Back
Top Bottom