Mke anakwepa sana tendo la ndoa, nini kifanyike?

huyo mke wake aina jini mahaba ,na mwanamke mwenye jini mahaba mara nyingi anaota ndoto anafanya mapenzi mwanaume na hamu ya mapenzi kwa mume wake inaisha
 
No passion to make sex, she is has many excuses

Rafiki yangu huyu ameniomba ushauri wa kindoa nami nikaona hapa JF kuna wake kwa waume wenye uzoefu na maturity yakumsaidia mawazo ushuri, vifungu vya bible etc. Ndoa hii ina miaka 4 watoto 2, wa mwisho ana mwaka mmoja na couples wote ni wafanyakazi jijin Dar ambao wana sign out kazini saa 11 jioni. Mume anaeleza kwamba tangu abalehe amekuwa muumini mzuri wa mafundisho ya Mungu jambo ambalo lilimfanya akajizuia kufanya ngono kwa kipindi cha ujana wake wote. Akakusanya nguvu zake ili aizitumie vema tena kihalali ndani ya ndoa, sex na mwanamke nje ya ndoa no hadi ndoa kwa mke wake tu. Aliingia katika ndoa na hamu kubwa na alimweleza mke mtarajiwa yote hayo na mke akakubali kwamba wakati ukifika atachoka mwenyewe( you will sex hadi uchoke mwenyewe) na hawaku-do hadi walipo oana. Ameingia katika ndoa hadithi zimekuwa tofauti.

Mke alipopata ujauzito wa kwanza miezi 2 tu baada ya harusi yao alianza mbwembwe zake. Mara sijisikii, mara nimechoka, mara kesho, kesho ikifika mara kesho tena, na wakati wa weekend anaweza pia kutoa sababu au kutafuta trip au kazi au kuanzisha zogo Fulani ili hamu yote iishee. Haya yote mume alivumilia akichukulia kwamba mimba hasa za kwanza zina mambo mambo mood swing, homon etc. kwa hiyo hapa akawa anapata sex japo kwa kubembembeleza na kulazimisha sana once per week. Rafiki yangu aliendelea kuwa mvumilivu na kuna wakati alikaa miezi 6 bila sex wakati mke alipopata mimba ya pili…mke kuna wakati alipewa bed rest ya siku kama 3 ndo ikawa mlango wa sababu kibao hadi jamaa baada ya mke kuendelea na kazi za akawa anajiuliza kama anaweza kwenda ofisin why she cant give her husband conjugal right. Nikamshauri wamwone gyno kwa ushuri, gyno/dr akawashauri wa-resume their sex haina shida. She is around 90kg of weight and husband is around 70kg, she is earning 4times salary zaidi ya mume wake.

She is hard working, beautiful, charming, business/money oriented (many business ideas). Mume ni God fearing man,handsome, hardworking, loving husband, melancholy kind of temperament, trustworthy, husband material. She is not taking sex as a serious issue in marriage kwani jamaa kuna kipindi mke alimwambia kwanini anawaza sana sex na hawazi sana kutafuta pesa na maendeleo.

Nilimuuliza jamaa kama anamtayarisha mke wake vema before sex, akasema: ana mwogesha mara kwa mara, kum-message/kumkanda, Maneno kama noney darking sweet ni kawaida kabisa, anamfulia hadi chupi, anampakulia msosi, maji ya kunywa , kupasi nguo kila leo, kumwendesha kwenda kazini na mke ndio mtumiaji mkubwa wa gari japo mume ndiye alinunua kwa ajili ya familia. Kwa siku chache hizo anazo bahatisha sex anamfikisha kileleni kama kawa.

Jamaa yangu anasema hii kutopata sex at least 3goal per week anakosa umakini kazini(poor concentration) hasira, loose temper, anaona mke wake hamjali au kujali sexual emotion za mume. Kuhusu eneo la kujali kuna wakati mume alikamatwa na police usiku for minor traffic offence akapelekwa hadi kituoni na kuwekwa ndani kwa masaa machache, alifanikiwa kumjulisha mkewe japo alipomalizana na police midnight hiyo alifika akakuta mke amelala. House gals ndo wafungue mlango, wamkaribishe baba na kumpokea, waandae chakula. Haya yote mume analalamika kwa mke wake kwamba sio vizuri kwa mke kuwaachia house gal every thing mwisho atafanya hgal maala pa kupumzikia kama mama hataki kuchukua nafasi yake.

Mume amekuwa faithful sana ndani ya ndoa ila sasa anaona kama anakaribia kuingia kwenye kundi la wanaume wasio waaminifu ndani ya ndoa. Hamu yake ya ngono iko juu sana ila pakutolea hakuna japo mke yupo, hapendi kuachana wala talaka ila amekuwa vulnerable sana anaweza kutegeka kirahisi na wanawake wajanja na wanyatiaji wa ndoa za watu. Kabla hajaoa angeweza kusema shetani shindwa ila sasa inakuwa ngumu kukaa na mke ndani ya nyumba …anaona mapaja mazuri, kufua kizuri, wowowo laini, nywele nzuri ambazo anafaidi kwa kuona tuu…sex mke akipenda labda bao 1 au 2 kwa wiki baada ya Maneno makali toka kwa mke kwamba mume anawaza sana sex. No romantic life kwani hata busu mke hataki ,kushikwa kimahaba hataki. Mume anakosa sex, touching ya mke, kukandwa na mke Maneno yakumpa moyo kama pole kwa kazi hayapo japo mume akiyatoa wakati mwingine anakejeliwa na mke.

Huyu jamaa yangu anatamani kuhama chumba, au kwenda mbali masomoni au kazi mikoani au nje ya nchi mbali na mkewe ili asitamanishwe na uzuri wake. Furaha yake kubwa ni watoto wao ambao anawapenda sana na huduma ya kikanisa kwani ni mzee wa kanisa na hadi mchungaji alishaelezwa hii issue mke akakubali makosa ila after one week akarudi kulekule.

Ushauri wenu wajameni hii ndoa ipone na watoto wafurahie wazazi kuwa pamoja. Mwaga hapa au kwa kutumia email yangu ya prosperity93@gmail.com then nitamfowadia.

Aache ujinga, inawezekana hana nguvu za kiume huyo. Ukina mwanaume ana maneno mengi ujue shughuli ndogo. ushauri wangu, atoke nje ili akutane na vifaru wamfundishe how to make love. Mke akiona haulizwi tendo la ndoa basi ataanza yeye kuuliza. Akikaa kimya kabisa, ujue anabanduliwa na mwanaume mwingine.
 
Baada ya hizo red ngoja nikupe ushauri ukamwambie huyo best yako
1.huyo mwanamke anamuona mumewe he is not a man ENOUGH,maana kwa kwe yeye mwanamke dunia iliyomzunguka ni wanaumewalio powerfull kipesa,kibiashara,kimaneno maana anaamini money gives power,
2.A man has to be a man,haina maana kwa kuwa she is earnig a milion tyms a man ndo we mwanaume uwe mnyonge kiasi hiko SHE NEEDS A PERSON TO RULE HER OUT!
3.Hakuna sababu ya kuwa vulnerable hiyo nindoa yako na as aman yu have to mek it be!
4.NEGLECT HER,sisi wanawwake ni wa ajabu sana!huwezi amini pengine ndicho anachomiss
5.Show her that dunia yako haijazungukwa nae tu wapoa watu wengne wanakujali!
6.Mtafutie kungwi,au nipm kwa msaada zaidi.
 
Mh naomba kuuliza, kaka huyo mkeo ulimkuta bikra? naweza sema nina mawwazo kama ma3 tifauti, first kuna uwezekano mkubwa tht mkeo ana illegal affair so anakuona wewe wa kazi gan, na hii inatokana na either ulivvomzoesha tht mlikuwa mnafanya mapenzi kilokole so akaona humtoshelezi. Upo kweny njia sahihi sana kakangu bt naona km wema wako na uaminfu unataka kukuponza.
Pia try 2 tok 2 yo wife inawezekaza pia humridhish bla we kujua so anapokumbuka kuna suala la ku have sex na wewe anaona km ni karaha das y anaescape. Pia inawezekana mkeo amefocus sna kwny kutafta pesa without knowing dat somtimes sex makes lov roots grow stronger, kaa nae kwa upole na upendo thn umuelimishe na ikiwezekana ongea na wakinamama walomzid umri na wanaojiheshimu wajarib kumpa somo. bt pliz USIVUNJE NDOA YAKO.. KUMBUKA MNA WATOTO NA WANAWATEGEMEA. Ni hayo 2....................
 
No passion to make sex, she is has many excuses

Rafiki yangu huyu ameniomba ushauri wa kindoa nami nikaona hapa JF kuna wake kwa waume wenye uzoefu na maturity yakumsaidia mawazo ushuri, vifungu vya bible etc. Ndoa hii ina miaka 4 watoto 2, wa mwisho ana mwaka mmoja na couples wote ni wafanyakazi jijin Dar ambao wana sign out kazini saa 11 jioni. Mume anaeleza kwamba tangu abalehe amekuwa muumini mzuri wa mafundisho ya Mungu jambo ambalo lilimfanya akajizuia kufanya ngono kwa kipindi cha ujana wake wote. Akakusanya nguvu zake ili aizitumie vema tena kihalali ndani ya ndoa, sex na mwanamke nje ya ndoa no hadi ndoa kwa mke wake tu. Aliingia katika ndoa na hamu kubwa na alimweleza mke mtarajiwa yote hayo na mke akakubali kwamba wakati ukifika atachoka mwenyewe( you will sex hadi uchoke mwenyewe) na hawaku-do hadi walipo oana. Ameingia katika ndoa hadithi zimekuwa tofauti.

Mke alipopata ujauzito wa kwanza miezi 2 tu baada ya harusi yao alianza mbwembwe zake. Mara sijisikii, mara nimechoka, mara kesho, kesho ikifika mara kesho tena, na wakati wa weekend anaweza pia kutoa sababu au kutafuta trip au kazi au kuanzisha zogo Fulani ili hamu yote iishee. Haya yote mume alivumilia akichukulia kwamba mimba hasa za kwanza zina mambo mambo mood swing, homon etc. kwa hiyo hapa akawa anapata sex japo kwa kubembembeleza na kulazimisha sana once per week. Rafiki yangu aliendelea kuwa mvumilivu na kuna wakati alikaa miezi 6 bila sex wakati mke alipopata mimba ya pili…mke kuna wakati alipewa bed rest ya siku kama 3 ndo ikawa mlango wa sababu kibao hadi jamaa baada ya mke kuendelea na kazi za akawa anajiuliza kama anaweza kwenda ofisin why she cant give her husband conjugal right. Nikamshauri wamwone gyno kwa ushuri, gyno/dr akawashauri wa-resume their sex haina shida. She is around 90kg of weight and husband is around 70kg, she is earning 4times salary zaidi ya mume wake.

She is hard working, beautiful, charming, business/money oriented (many business ideas). Mume ni God fearing man,handsome, hardworking, loving husband, melancholy kind of temperament, trustworthy, husband material. She is not taking sex as a serious issue in marriage kwani jamaa kuna kipindi mke alimwambia kwanini anawaza sana sex na hawazi sana kutafuta pesa na maendeleo.

Nilimuuliza jamaa kama anamtayarisha mke wake vema before sex, akasema: ana mwogesha mara kwa mara, kum-message/kumkanda, Maneno kama noney darking sweet ni kawaida kabisa, anamfulia hadi chupi, anampakulia msosi, maji ya kunywa , kupasi nguo kila leo, kumwendesha kwenda kazini na mke ndio mtumiaji mkubwa wa gari japo mume ndiye alinunua kwa ajili ya familia. Kwa siku chache hizo anazo bahatisha sex anamfikisha kileleni kama kawa.

Jamaa yangu anasema hii kutopata sex at least 3goal per week anakosa umakini kazini(poor concentration) hasira, loose temper, anaona mke wake hamjali au kujali sexual emotion za mume. Kuhusu eneo la kujali kuna wakati mume alikamatwa na police usiku for minor traffic offence akapelekwa hadi kituoni na kuwekwa ndani kwa masaa machache, alifanikiwa kumjulisha mkewe japo alipomalizana na police midnight hiyo alifika akakuta mke amelala. House gals ndo wafungue mlango, wamkaribishe baba na kumpokea, waandae chakula. Haya yote mume analalamika kwa mke wake kwamba sio vizuri kwa mke kuwaachia house gal every thing mwisho atafanya hgal maala pa kupumzikia kama mama hataki kuchukua nafasi yake.

Mume amekuwa faithful sana ndani ya ndoa ila sasa anaona kama anakaribia kuingia kwenye kundi la wanaume wasio waaminifu ndani ya ndoa. Hamu yake ya ngono iko juu sana ila pakutolea hakuna japo mke yupo, hapendi kuachana wala talaka ila amekuwa vulnerable sana anaweza kutegeka kirahisi na wanawake wajanja na wanyatiaji wa ndoa za watu. Kabla hajaoa angeweza kusema shetani shindwa ila sasa inakuwa ngumu kukaa na mke ndani ya nyumba …anaona mapaja mazuri, kufua kizuri, wowowo laini, nywele nzuri ambazo anafaidi kwa kuona tuu…sex mke akipenda labda bao 1 au 2 kwa wiki baada ya Maneno makali toka kwa mke kwamba mume anawaza sana sex. No romantic life kwani hata busu mke hataki ,kushikwa kimahaba hataki. Mume anakosa sex, touching ya mke, kukandwa na mke Maneno yakumpa moyo kama pole kwa kazi hayapo japo mume akiyatoa wakati mwingine anakejeliwa na mke.

Huyu jamaa yangu anatamani kuhama chumba, au kwenda mbali masomoni au kazi mikoani au nje ya nchi mbali na mkewe ili asitamanishwe na uzuri wake. Furaha yake kubwa ni watoto wao ambao anawapenda sana na huduma ya kikanisa kwani ni mzee wa kanisa na hadi mchungaji alishaelezwa hii issue mke akakubali makosa ila after one week akarudi kulekule.

Ushauri wenu wajameni hii ndoa ipone na watoto wafurahie wazazi kuwa pamoja. Mwaga hapa au kwa kutumia email yangu ya prosperity93@gmail.com then nitamfowadia.

I think wengi wameshauri mengi juu ya nini cha kufanya,ila mi pia nadhani kukaa pamoja na kujadiliana juu ya sual hili ni jambo jema zaidi tena kwa uwazi zaidi,kila mmoja aweke wazi concerns zake na hope mtafikia muafaka.
Pia nadhan mwanaume unahitaji pia kuangalia how you do the thing, isije ikawa anapata kile ambacho hakuwahi kukitarajia au anapata chini ya kiwango;means una underperform and you dont meet her expectation well with regard to sex life.
Ni hayo tu kwa leo.
 
Wanawake cku hizi have the idea kwamba TENDO LA NDOA LINAZEESHA (Mwanamke anachakaa haraka kutokana na tendo).......Talk to her and let her tell you the reason y she doesnt want to!!!!!!!If pocbo the two of you should visit someone who can advice you on what should be done....
 
Wanawake wa jinsi wanakuwa na spiritual husband, au jini mahaba ndio linammalizia haja zake.Mtafutie ushauri kwa watu wa kiroho watamsaidia la sivyo hilo jini mahaba litamgeuzia kibao yeye mwenyewe.
 
Kwataarifa yako good sex makes a woman shine if not glittering

Mwanamke ni kiumbe very sensitive kwa vitu vidogo ambavyo mwanaume anaweza kuviona havina maana. Yawezekana amemwudhi mkewe (disappoint). Kama alimpenda mwanzoni kwa nini abadilike ghafla. Inawezekana ana tabia zinazomkera labda ananuka kwapa au ana harufu fulani au kinywani and that puts her off. Nduguyo ajichunguze. Kama kuna tabia ambazo mkewe hazipendi na labda alijaribu mara nyingi kumshauri mumewe na hakutilia maanani, yawezekana she has given up, na amesema liwalo na liwe! Nduguyo afanye uchunguzi kitu gani amemkosea mkewe mpaka asiwe na hamu naye!:flypig::flypig:
 
kama vipi nampa likizo ya miezi mitatu....na ikiwezekana nampotezea...unajua ukimpenda mtu siku ukimchukia unamchukia kweli.....so me namshauri amwulize anataka jamaa afanye nini?
 
ni vema pia kucheck HIV anaweza kuwa muathirika anaogopa kuongea.
 
kwa mtizamo wangu hilo jike ni worthless! yaani bado niko kijana aniletee hizo? vimada kwa kwenda mbele tena nitanenepa kwa mixed rahas1
 
kula house girl. wewe mtu umemuoa halafu hakupi haki yako anategemea nini? akufukuzae hakuambii toka. haribu kwa huyo beki tatu halafu issue ikibumburuka muitishe kikao, ataleta mashtaka kwa wazee. utakuwa umepata uwanja wa kufunguka. itabidi uweke mambo yote hadharani maana anakunyanyasa na hicho kijimshahara chake. tena ikiwezekana zaa nae kabisa kama alivyofanya yule bingwa wa movie za kivita wa marekani. ila usimuache maana utakuwa umempa faida.
 
Vipi mkuu, tupe mrejesho
Tendo linaendaje baada ya maushauri ya nguvu hapa?
 
Back
Top Bottom