rom
Senior Member
- Mar 26, 2011
- 111
- 16
je, anamarafiki anaoongea nao? anafuraha nyumbani au hana? kama hana katika hayo niliyokuuliza anaweza kuwa na depression. dalili mojawapo ni kutokuwa na libido (hamu ya sex). jaribu kumpeleka kwa psychatrician amchunguze:A S-fire1:
Vicent, mara nyingi nnaporudi home huwa nikimkuta anapiga story na marafiki zake, ndani ni mtu wa furaha na tunapiga sana story...tatizo tukifika kitandani tu, ndio issue. Tuna watoto na tupo nao room moja si unajua nyumba za kupanga ni double tu, na hatuwezi kuwalaza sebuleni ni wadogo sana. Ushauri wa kumpeleka kwa daktari ni mzuri pia.....