Pole sana ndungu,
ushauri wangu cha msingi kabla ya maamzi yote, jitahidi kufahamu chanzo cha tatizo. Na hii isielemee upande wa mke tu. Naamini baada ya kubaini chanzo cha tatizo suruhisho la kudumu litapatika.
..Mapenzi ni sawa na kozi zinginezo, na dalasa lake halina mwisho. Ongezea digrii... Mapenzi huendana na wakati