Mke anakwepa sana tendo la ndoa, nini kifanyike?

Ni mzinzi huyo na keshajua udhaifu wako ulipo (si lazima wa ngono). Be a man now otherwise ataitawala nyumba na kuchukua nafasi yako. Pia jaribu kumwacha kwa muda usifanye nae ngono ila uwe rafiki tu. usimfuatilie na usionyeshe kumtetemekea kama ilivyo sasa utaweza gundua kitu.
 
samahani kama ntawakwaza lakini kwa makuzi na maisha niliyaona... surely huyo mama hamfeel jamaa na ni most probable atakua na gachocha ya nje!! abadili mapigo na mood ndani ili shindane na wa nje kushinda vita hii au atoke balu asirudi
 
........Huyu mama hana mapenzi ya dhati kwa mumewe, kama kweli unampenda mumeo lazima tu utamjali kwa kumpa chakula cha usiku hata kwa kujilazimisha.Inawezekana ana low sex drive lakini inabidi ajilazimishe ili kulinda ndoa yake.

Huyo mwanaume inabidi amkalishe mkeo wake na kumwambia ukweli jinsi yeye anavyoumia kwa kukosa tendo la ndoa ili ajue mkewe anafikiri nini kuhusu yeye kukosa tunda. Wanawake wengine kweli ndio chanzo cha kufanya waume zao kwenda nje........ndoa bila tendo la ndoa hakuna kitu hapo.
 
mjukuu wangu unapoteza muda kuomba ushauri njoo vikindu tafuta kibinti kibichi kinapiga kazi 24/7 mpaka utachoka.viuno motomoto na mambo mengine kama unatumia..usiumize kichwa ni PM nikupe maarifa
 
..mpk huyo dada kufikia hivyo,ni kuwa either afurahiii service anayopewa na huyo mume...au kuna other external factors,km lifestyle imechange/stress...kazini,watoto etc...lazima amwelewe vipi majukumu yake as a mother,wife na mfanyakazi yanavyomzonga na anayachukulia vipi..ili ujue tatizo liko wapi...ndio uweze kuli-adjust!..
....pia inawezekana huyo mwanaume amemfanya huyo dada afikirie ,kuwa he is there just for sex....hamtoi outing,hamnunulii vizawadi vidogo...hamuonyeshi anamjali...,mwanamke akaona afanye hivyo kama 'purnishment' yake...
....lastly inawekana huyo kaka kwa vile hakuwahi kufanya ngono hana experience,hajui jinsi ya ku-initiate sex...etc...mie naona kama vile wanawake tulivyo na 'kitchen party' na wanaume nao wangekuwa na watu wao wa kuwapa tips....lol,mnaosema huyo dada ajilazimishe mnadhani ni rahisi eeeh???am sure kajilazimisha mara kibao....mpaka kufikia hapo..akaona no sex...ni honest and decent thing to do...ujue kasha-fake mara kibao :cool::rolleyes:
 
Possibilities:
i) mke ana superiority tendency inayomfanya ajiona jamaa ni mtu wa chini, sio saizi yake. Wanawake wengi walio decent hupata taabu kutembea na mtu ambaye wanafikiri yupo chini yao kihaiba, kihali na hata kimali
ii) there is somewhere else where the mama is channeling her sexual urges

The guy needs to be careful. Not many marriages can survive without love and sex-what is going on could be a sure signal that this ndoa is coming to an end. Amwambie mamaa anavyojisikia na athari zake katika ndoa-then achague, kuendelea na ndoa plus mapenzi au walee watoto bila ndoa.
 
Sababu zifuatazo zinaweza kuwa chanzo:
1. Past experience ( Inawezekana alikuwa abused... na kumbukumbu bado mbichi sana).
2. Inawezekana akawa anatoka nje ya ndoa.
3. Inawezekana akawa anafanyiwa tendo hilo kishirikina na hata kupoteza hamu kabisa
4. je mumewe anaweza kweli kazi? Au ndo kjihami tu?

Tiba zipo, wataalamu wapo. Pschiatrist na baba paroko hawawezi kusaidia hili.

Wasalaam
 
anaonekana anatamaa sana na si mapenzi tena mkeo kama umempenda ataendelea kuwepo tu mpaka kifo kama ni penzi utalipata.nachoua mmi mimba huwa haitabiriki baadhi ya wanawake nyege zote zinapotea wengine anataka kila kukicha,so inategemea na mwili wa mtu,pia kama ananyonyesha huwa hakuna stim kabisa kwa hiyo basi anachotakiwa ni kumuandaa kwa muda mrefu sio unamdanda tu mimi binafsi nina matatizo hayo na mume wangu alishanielewa nipo kwa ofici ataanza hata sms nyingi mfano atauliza nimevaa chupi gani ni mambo ya kitoto lakini ndo maandalizi nyumbani tuna tv yetu chumbani tutaangalia pony video naamin ham itakuja tu,usiwe na papara muandae kama haelekei kabisa basi anasababu na mwanamke akianza visa visivyo isha ana goma nje asemae MASANJA .
 
Ndugu yanngu ii kali tena kali sana,kabila gani uyo mmama
inawezekana ana mambo yake anafanya pembeni mwambie uyo rafiki yako atake care sana na
uyo mkewe
 
Hili jambo ni challenge kubwa. Kwanza huyu bwana ajue kuwa ndoa nyingi hupitia tatizo hilo; ila kwa vipindi fulani fulani katika maisha. Ila kwa kuwa yeye lilianza tokea mwanzo, basi hakuna solution. Hivyo ndivyo mwanamke wake alivyo. Si wanawake wote wanaweza kuishi katika ndoa ingawa wangependa waonekane wanawake wa kawaida na wangependa wawe na ndoa zao.

Unaweza kubaliana na hali hii na kuipokea kama sehemu ya maisha yako. Ni kweli kwa mwanaume mzima kukosa ngono wakati mke unaye na unalala naye kila siku inasababisha stress sana. Unaweza kufa mapema kwa heart attack wakati wowote au ukaharibu sana kazi yako kwani mahusiano yako na watu wengine yataathirika; hasira zinazidi na unakuwa na violent tendency.

Lakini unaweza kuikataa hali hiyo kwa kutengana na huyo mwanamke na kujitafutia mwanamke mwingine. Kutengana si lazima mgombane. Mnaweza kutofautiana kwenye mambo kama hayo, mkaamua kimsingi kabisa kuachana ili kila mmoja aishi maisha yake. Huyo mwanamke hawezi kubadilika na ndivyo alivyo kwani tokea mwanzo hali ndivyo ilivyokuwa.

Lakini ukiamua kuishi kawaida kama wanaume wengi walivyo (hawamfurahishi mungu ila) tafuta nyumba ndogo kujazilizia hapo panapobaki wazi. Nyumba ndogo zipo with purpose. Unaweza kuendelea na ndoa yako na familia yako vizuri ila ukahakikisha unapata ngono ya kukuridhisha kwa kuwa na nyumba ndogo au mke mdogo. Najua kutokana na imani yako hili ni somo gumu. Ila wanaume wengi ndoa zao zinaimarishwa na hizi nyumba ndogo! Naam nyumba ndogo yaweza kukuokoa kwenye balaa kama hilo.
 
Unalia lia nini wakati nyumba ndogo zipo?? Lakini jihadhari kwani unaweza kuanza kutorudi nyumbani!!!
 
kaka mpendwa nasikitika jibu lilikuwa linaishia kwako wala alikuitaji kujahuku\
akika huku atopata msaada hata mmoja tatizo la ndoa linaamuliwa na wanandoa tu....
kama amekwambia anaitaji mawaisa kapotea tena ataioshia kuzimu kama asipokuwa makini

sol akae chini na mkewe ameweleze tatizo nini wakati wakiwa na furaa...nakwamnbia ipo tym atamueleza ukweli..sijui ajamwandaa sijui ajanini wapo wanaoandaliwa kila siku tena half an hr kama unapika mbuzi wa kuchoma mwisho wasiku
nimechoka tufanye kesho neleza hili kwa msaada zaidi akae na mkewe tena ushauri wangu zaidi usikubali kubebeshwa matatizo ya ndoa hata yawe ya kaka ko wa damu..ayamelize mwenyewe hawo ukiwaingilia kwamkutoa maoni mwisho wa siku mke kaamua kugawa kama njugu kwa mumewe anamuuliza nani alikushaurihivyo anakutaja meja

wasaaalaam PDIDY
MSHAURI WA NDOA ZILIZOKATA TAMAAA
Email mgedwin3@yahoo.com
 
Nadhani amweke wazi na aongee kwa kuonyesha hisia zake zote bila hata ya lepe la maskhara ataeleweka pia ataelewa mbivu na mbichi kupiga chini sio solution nina mashaka na wanaoshauri namna hii hawafikirii kua tayari jamaa ana watoto wawili ndani ya miaka 4, akipiga chini atakua stressed zaidi ya ilivyo sasa. Kua vivirgin haimaanishi uaminifu wakuu, unaweza mkuta virgin halafu akalimbuka baba huyo hutokaa umtibu si kwa chloroquine wala anti-biotic yoyote.
 
ni vizuri wakienda sehemu walipo funga ndoa kwa ushauri
kama akiwa bado yuko ivyo ATAFUTE MWANAMKE MWINGINE NA AJIWEKE WAZI
KUWA ANA MWANAMKE MWINGINE ATAONA MWENYEWE MWANAMKE ATAKUWA MTIIFU
SOMETIME WOMEN UKIWA CARE SANAA NDO MATATIZO YAKE KWANI KULIKUWA NA JAMAA
KAMA UYO MTAANI NA JAMAA ALIPO TAFUTA MWANAMKE,MWANAMKE NDO AKAWA MWANGAIKAJI
WA KUMREKEBISHA JAMAAA. SO i THINK..........................
 
Sababu zifuatazo zinaweza kuwa chanzo:
1. Past experience ( Inawezekana alikuwa abused... na kumbukumbu bado mbichi sana).
2. Inawezekana akawa anatoka nje ya ndoa.
3. Inawezekana akawa anafanyiwa tendo hilo kishirikina na hata kupoteza hamu kabisa
4. je mumewe anaweza kweli kazi? Au ndo kjihami tu?

Tiba zipo, wataalamu wapo. Pschiatrist na baba paroko hawawezi kusaidia hili.

Wasalaam

Hapo nyekundu sijaielewa kabisa......! Is it possible? How does it works?
 
duh! namuonea huruma jamaa ila namshauri angee naye taratibu na kumueleza umuhimu wa hilo tendo na ua amtumie hata dada yake amueleze pole zake sana
 
duh! namuonea huruma jamaa ila namshauri angee naye taratibu na kumueleza umuhimu wa hilo tendo na ua amtumie hata dada yake amueleze pole zake sana

nadhani huu ushauri pia uutumie na kwako......maana jana ulisema ndoa imekuchosha
muhurumie pia na mwenzi wako mamii, kwenye ndoa kuna majaribu mengi sana ila ukitafuta mlango wa kutokea utatoka tu!!!
 
1. She is frigid! Well Im afraid I have to say so! If she cant have sex with her husband for six month, who is she?
2. She doesnt love him anymore, passion for sex is triggerd by someone you love! If there is no love chemistry between couples it is disgusting to have sex with someone you dont love
3. She is seeing someone else! She cares much about life, He is God fearing person, Practically they dont share the same goals, neither the healthy prospective, she is likely to be carried by someone who speaks in her language!
 
Back
Top Bottom