Mke anaitajika haraka sana

Mke anaitajika haraka sana

Ma2016

Member
Joined
Dec 20, 2014
Posts
10
Reaction score
0
Habari wana Jamiiforums ni mvulana umri 28, naishi kibaha,ni graduate bado sja ajiriwa, ila kuna sehem najitolea, natafuta mke wakuoa elimu form 4-masters, awe wakawaida sina ubaguzi wa kabila, dini wala rangi.atakaye kua tayari anipm ili baadae tusaidiane kutafuta kaz kuendesha maisha yetu.
 
Tafuta kazi kwanza acha tamaa ya mwili
 
Kijana tafuta mwenza.Mbona ke hutafuta hata kama hawana pa kushika?NB:Ujue mtaishije kabla ya ajira,uchumi si unauona?
 
habari wana jf,ni mvulana umr 28,naish kibaha,ni graduate bado sja ajiriwa,ila kuna sehem najitolea,natafuta mke wakuoa elimu form 4-masters,awe wakawaida sina ubaguz wa kabila,din wala rangi.atakaye kua tayari anipm ili baadae tusaidiane kutafuta kaz kuendesha maisha yetu.

Graduate ndio unaandika mashudu hayo?
 
Jamani kama mlivyoona anadai anahitajika haraka jisigezen fursa hizoo
 
Hahahahaha lol!!!! Haraka ya nini sasa!? Tulizana usikurupuke.

habari wana jf,ni mvulana umr 28,naish kibaha,ni graduate bado sja ajiriwa,ila kuna sehem najitolea,natafuta mke wakuoa elimu form 4-masters,awe wakawaida sina ubaguz wa kabila,din wala rangi.atakaye kua tayari anipm ili baadae tusaidiane kutafuta kazi kuendesha maisha yetu.
 
Awe wa kawaida, sichagui dini,kabila wala rangi!

Kijana, tambua ndoa ni taasisi kubwa sana! Ukishaingia ni ngumu kutoka! Ni vizuri kuwa na vigezo muhimu katika kuchagua mke! Hapo paragraph ya juu nime quote kwako, inaonesha huna vigezo na sifa maalum kwa unaemuhitaji kuwa mwenzi wako.

Machaguo ya sifa za mjumuisho kama hivyo ndio inapelekea ndoa nyingi kuwa na michepuko! Hapa yaonesha uko desparate na ndoa sana! Kuwa makini usije kujutia maamuzi yako.

Tuliza kichwa, jitathimin wewe ki uchumi, afya na kiakili then ujipime unajimudu sawa sawa bila shida? Then ufikirie ukimuongeza mkeo maisha yatakuwa vip? Na ushafikiri mkibarikiwa kupata mtoto mtamkuza vip?

Usiiwazie ndoa kwa upande wa kugegedana tuu daily! Ziko changamoto kubwa na nyingi daily na zinaweza zisiwe zinaisha ni kuongezeka tuu!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Halafu unaoneka uko serious, get your priorities right
 
habari wana jf,ni mvulana umr 28,naish kibaha,ni graduate bado sja ajiriwa,ila kuna sehem najitolea,natafuta mke wakuoa elimu form 4-masters,awe wakawaida sina ubaguz wa kabila,din wala rangi.atakaye kua tayari anipm ili baadae tusaidiane kutafuta kaz kuendesha maisha yetu.

Wakaida unamaanisha nini?
Muongozo tafadhali..
 
Nenda sinza makaburini wapo wengi tu hasa nyakati za usiku.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom