Ungewafanyaje sasa?
ha!ha!haaa ungetunyanyasa sanaaa!Mungu sio Bashiri nae anajua mwe!
ha!ha!ha!haaa haya mama.Wala sio Athumani nisingenyanyasa mtu ila atakaeleta nyodo angejutia
true kenda shule ila hana kazi mda sasa.
Akinambia naenda namsaidia na kumkunjia nguo
najua tu ni mbwembwe hizo
Wee Kiboko. Msimamo na ugumu vinahusika sana
Kuna wanawake nshawaona wa aina hiyo he he he ngoja ncheke kwanza mmoja ni mke wa cazn angu
kazaa mtoto mmoja mara siku moja wamepishana nini sijui
mwanamke Kaaga anaenda kwao akaulizwa utarudi lini kwa nyodo etii baada ya mwaka
mwanaume kakubali kamfungashia na zawadi apeleke home akamwambia kama umeamua kuondoka usirudi tena kwangu
haujaisha hata mwezi kajirudisha siku hiyo kalazwa kwenye chumba cha hausigelo
asubuhi kaambiwa asepe anahangaika tu mtaaani kila mtu ana mtuma akamuombee msamaha
mme hata hashtuki
asee hiyo kali wakati mwingine kutikisa kiberiti hovyo sana yan! na mara nyingi hutokea mwanamke akijua anapendwa sana sijui ni kujisahau ama ni kujiamini kupita kiasi ah!Kuna wanawake nshawaona wa aina hiyo he he he ngoja ncheke kwanza mmoja ni mke wa cazn angu kazaa mtoto mmoja mara siku moja wamepishana nini sijui mwanamke Kaaga anaenda kwao akaulizwa utarudi lini kwa nyodo etii baada ya mwaka mwanaume kakubali kamfungashia na zawadi apeleke home akamwambia kama umeamua kuondoka usirudi tena kwangu haujaisha hata mwezi kajirudisha siku hiyo kalazwa kwenye chumba cha hausigelo asubuhi kaambiwa asepe anahangaika tu mtaaani kila mtu ana mtuma akamuombee msamaha mme hata hashtuki
Pole, nadhani wewe utakuwa busy sana na kazi. Jaribu mje mtoke mwende japo hata kuspend time nje ya home (mfano zanzibar etc) then ukifika huko ongea naye umuulize kwa nini anakauli hiyo. Yeye ndiye mwenye majibu ila ukituuliza sisi tutaguess!
Khaaa vacation ni starehe sio kwenda na mtu usiyekuwa na uhakika naye je akisisitizia huko kuwa kweli hataki huyu jamaa si atajitosa Nungwi!!!!!
Amrudishe madhabahuni kama vipi na amuulize just once kama alivyokubali wakati wa ndoa na amuambiea wakitoka hapo new life should begin either married or whatever
asee hiyo kali wakati mwingine kutikisa kiberiti hovyo sana yan! na mara nyingi hutokea mwanamke akijua anapendwa sana sijui ni kujisahau ama ni kujiamini kupita kiasi ah!
Hahhaaaaa. nimechekajeeee!!!
Huyo alikosea namba.... hio namba haibipiki hiyo.. hahah ila huyo Kidume alitakiwa amrejeshe baada ya kumpa somo aisee..!!
Kuna wengine wajanja sana... hawabipu kienyeji enyeji tu.. anakaa anakuchora anakumaliza.. akibipu usipopokea IMEKULA.
Kisaikolojia kuna vitu vingine huwezi pata majibu mpaka mtu awe mazingira fulani (hasa wanawake). Na anapomuambia mtoko si lazima amuambie waende wakayazungumuzie nje bali ni just ni mtoko
we got married in Dar, 2012. I am her husband please
kwanza naomba kufahamu,mlioana kwa sababu yeye alikuwa mjamzito au toka mwanzo mlikuwa na mpango wa kuoana,mbona ni kama huyo alilazimika tu kuolewa na wewe kwa sababu ya ujauzito na siyo kwa sababu anakupenda, those are empty shells marriages which normally do not last very long....goooooood!
Mkubalie ndio dawa yake. Kadiri anavyokuambia muachane then ukambembeleza ndio ataendelea kukusumbua maana anajua huwezi kukubali na anatumia hio kama silaha/fimbo yake. Na atakuwa keshakujulia unampenda sana na hutaki muachane kwa sababu ya watoto wenu na jina lako pia.
We nenda tu jioni mwambie ''Mke wangu nimekaa nimetafakari naona bora tuachane kama unavyotaka. ukitaka watoto nenda nao au niachie tu'' usiongeze neno nenda kafanye mambo yako mengine....uwe siriazi kweli kweli then uone reaction yake. Sentensi zake tatu za kwanza zishike vizuri...Ndipo ukweli ulipo kama anataka kweli au anatishia.
Nina Jamaa alizaa na dada mmoja, kukawa kuna kitu wametofautiana.. yule binti akamwambia ''njoo chukua takataka yako'' akimaanisha mtoto. jamaa kwa hasira kaenda.. unafikiri binti alikubali? hakutaka kumuachia. akadai lazima nipajue kwenu kwana nione nani atakaa na mwanangu.. jamaa kampeleka, kufika oooh siwezi muacha mwanangu... ''mnajua uchungu wa mwanangu nyie'' then ngoma ikaisha bila bila.
Yawezekana nawe anakuchezea tu akili.. maana mara nyingi huwa hawamaanishi wakisemacho na wakimaanishacho huwa hawakisemi. Mtaalamu Mr Rocky plz leta hekima zako hapa.
Tafadhali kama unamsaliti.... NAKUOMBA kWAROHO MOJA UACHE. WANAO NA FAMILIA YAKO INAKUHITAJI SANA KULIKO UNAVYOJUA.
Jamaa hata hana time
mtu kazi hana na ana mtoto mdogo anakoma na mji shauri ake
he he he another woman usinichoke na huu umbea, ye alijishaua kutoroka kwa mmewe
kumbe huwa anatoroka mme anamtafuta anamrudisha
last time katoroka mme kauchuna ikabidi awatafute majirani ajue kulikoni mbona sahivi hatafutwi
majrani wakamwambia " mme anataka amrudishe mtoto nyumbani afu ye abaki huko alipo"
jicho lilimtoka mbona alikopa nauli akarudi kwa mme wake nyambaffff kabisa