- Thread starter
- #41
Duh! Nyie nanyi!!!! From 2012 hadi sasa 2014 mna watoto wawili? Anyway, kwanza mmefunga ndoa au mnaishi tu (uchumba sugu)
tumefunga ndoa 2012
Duh! Nyie nanyi!!!! From 2012 hadi sasa 2014 mna watoto wawili? Anyway, kwanza mmefunga ndoa au mnaishi tu (uchumba sugu)
Unaona eeh!!
Bora mimi sijasema. Usikute na wewe huwa unatishia tishia uniambie mapemaaaaa!!!
Ili nisitishe mpango wangu kwako.
tumefunga ndoa 2012
Mkuu we uko dunia ipi? watu wanazaa chap chap siku izi then wanaanza kuwalea watoto. Kama alimuoa na ujauzito 2012 labda aliupata 2011, 2013 akaweka mwingine. kie kie kie!!!!!
Wengine mtoto wa kwanza 2010, wa pili 2020 wa tatu 2035. what a difference does it make. Bora mtu ukazaa wanao hao watatu ndani ya labda miaka 5 au sita then mkaanza kuwatafutia maisha na pia wanakua kwa pamoja na wazazi nanyi mnapumzika ati. Au Mr Rocky apa unabisha?
kwanza naomba kufahamu,mlioana kwa sababu yeye alikuwa mjamzito au toka mwanzo mlikuwa na mpango wa kuoana,mbona ni kama huyo alilazimika tu kuolewa na wewe kwa sababu ya ujauzito na siyo kwa sababu anakupenda, those are empty shells marriages which normally do not last very long....
yani mm mwenyewe napiga mahesabu hayaingii akili, na ukizingatia 2014 ndo kwanza imeanza sasa sijui hao watoto wamepishanaje lohAisee! Mimba ya kwanza 2012,,2014 mna watoto 2,hakika lazma atake muachane,utamuua na mimba za mfululizo.
Wanawake sometimes utadhani wanawaza kwa kutumia makalio
sijui a nadhani akitoka hapo atarudi kwao, mtu mwenyewe hapo utakuta hadi hela ya kiberiti anaomba
if I were a man if I were a man......!!!!!!
basi tu ndo maana sijawa
imewai tokea Kuna mwanamke tulikua tunawasiliana ila kwasasa hakuna io shida na nilishamweleza
Tumebahatika kujenga ndugu, kama Kuna mabadiliko ni sababu ya hivi viuogomvi tu.Cha muhimu kama unaishi nyumba ya kupanga amia sehemu nyingine Labda ataridhika! Pia labda yale mapenzi yenu ya zamani hayaoni tena kwa iyo anaboreka.
Nakuelewa lakini jiulize nafsi yako jee utakubali kuchukua machungu kwa sababu ya watoto? wewe ndio mtafutaji nadhanikwa Kweli nakosa raha sana. uamuzi unakua mgumu kwangu kwaajili ya wanangu
ha!ha!haaa ungetunyanyasa sanaaa!Mungu sio Bashiri nae anajua mwe!Wanawake sometimes utadhani wanawaza kwa kutumia makalio sijui a nadhani akitoka hapo atarudi kwao, mtu mwenyewe hapo utakuta hadi hela ya kiberiti anaomba if I were a man if I were a man......!!!!!! basi tu ndo maana sijawa
Wanawake sometimes utadhani wanawaza kwa kutumia makalio
sijui a nadhani akitoka hapo atarudi kwao, mtu mwenyewe hapo utakuta hadi hela ya kiberiti anaomba
if I were a man if I were a man......!!!!!!
basi tu ndo maana sijawa
kwa uelewa wangu jamaani msaliti na anamdharau sana huyu mwanamke na ana promise nyingi ambazo hajazitimiza.pia kuishi na mtoto wawatu miaka nenda rudi amemzalisha watoto 2 bila ndoa alafu nyodo juu ndi kisa cha huyu mwanamke kuona bora ajiondokee!!!mkubalie ndio dawa yake. Kadiri anavyokuambia muachane then ukambembeleza ndio ataendelea kukusumbua maana anajua huwezi kukubali na anatumia hio kama silaha/fimbo yake. Na atakuwa keshakujulia unampenda sana na hutaki muachane kwa sababu ya watoto wenu na jina lako pia.
We nenda tu jioni mwambie ''mke wangu nimekaa nimetafakari naona bora tuachane kama unavyotaka. Ukitaka watoto nenda nao au niachie tu'' usiongeze neno nenda kafanye mambo yako mengine....uwe siriazi kweli kweli then uone reaction yake. Sentensi zake tatu za kwanza zishike vizuri...ndipo ukweli ulipo kama anataka kweli au anatishia.
Nina jamaa alizaa na dada mmoja, kukawa kuna kitu wametofautiana.. Yule binti akamwambia ''njoo chukua takataka yako'' akimaanisha mtoto. Jamaa kwa hasira kaenda.. Unafikiri binti alikubali? Hakutaka kumuachia. Akadai lazima nipajue kwenu kwana nione nani atakaa na mwanangu.. Jamaa kampeleka, kufika oooh siwezi muacha mwanangu... ''mnajua uchungu wa mwanangu nyie'' then ngoma ikaisha bila bila.
Yawezekana nawe anakuchezea tu akili.. Maana mara nyingi huwa hawamaanishi wakisemacho na wakimaanishacho huwa hawakisemi. Mtaalamu mr rocky plz leta hekima zako hapa.
Tafadhali kama unamsaliti.... Nakuomba kwaroho moja uache. Wanao na familia yako inakuhitaji sana kuliko unavyojua.
hana ndoa na huyo dada!wapi aliposema wanaishi kihalali kama mke na mme amezaa naye tu.so jamaa anajiona bado bachelor free molecule he ca do what ever .mimi nawajua vizuri wanaume wa aina ya huyu tabia na maneno yao .i know them very wellkumbe shida iko hapa!
Tatizo aanzae huwa yuko salama siku zote ila anayemalizia!!!!
Mheshimu na uiheshimu ndoa yako uone kama atadai kuondoka!!!
kuna sehemu amesema wamefunga ndoa 2012.unawafahamu mkuu?hana ndoa na huyo dada!wapi aliposema wanaishi kihalali kama mke na mme amezaa naye tu.so jamaa anajiona bado bachelor free molecule he ca do what ever .mimi nawajua vizuri wanaume wa aina ya huyu tabia na maneno yao .i know them very well