Delemy 004
JF-Expert Member
- Mar 18, 2015
- 407
- 145
Huenda mtoa uzi kagushi.
Hiyo inanikumbusha kipindi ndio nipo kwny balehe mama alinikuta nafanya hiyo kitu.....weeeeeeh!!! Nilipokea kipigo cha maana sana, tangu hapo ckuwahi kuiwazia tena hiyo mambo
Aiseee hiyo kweli kali
Kwanini umlaumu mdada moja kwa moja
Labda mwanamke ananuka
Huenda mtoa uzi kagushi.
Labda mke ana tabia ya kumpa mumewe kwa masharti magumu sana. Jamaa kaona isiwe tabu kaa nayo mwenyewe.
Wanawake wanaboa sana.
Kwani hadi ningeandika namna gani ndio ungeamini
ndo mjue athari za hizo picha za ngono mume wangu unaanzaje kupiga nyeto na nipo beside na ww mh ipo namna
Naona galadudu ulipashwa ukatoe darasa la namna ulivyoacha
Mke ana tatizo.
tatizo lote ni la huyo dada....!namlaumu kabisaa..
Wanawake wanaboa sana.