Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,177
- 34,444
wanawake wamezidi kutunyanyasa na papuchi zao, yaani ili upewe mzigo siku nzima lazima useme ndio kwa kila anachosema!To hell, bora kujikunja na kujihudumia mwenyewe
Kama mnanyanyaswa niwapi mlisema mkachukuliwa hatua asee,huyo mke ana kwao sitaki kuamini kama umemtoa juu y a mti umemtoa kwao kwa wazazi wake nenda kashtaki unayofanyiwa na mkeo ili wazaz wajue nini wafanye kuweka halis awa kwenye ndoa yako ila huku kulalama tu kua mnanyanyaswa hamtopata msaada.