kisaka victpr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2014
- 657
- 116
ushahidi wakutungwa!Maelezo kama yule kamanda anayetetea mauaji ya mtuhumiwa mhimu katika kesi ya ugaidi.
Kwahiyo km mwenzio performance yake iko chini ndo ukambebee kiburudisho chake kama ndo tabia yako na ww jiandae kuliwa pera bila mate .Huyo mume wa MTU naye anapaswa kuitazama upya performance yake kwenye unyumba, LA sivyo atalawiti wengi
Duu miaka 7 mume hakushtuka? saloon inazidi kunawiri tuu!kuna watu wanajua kuhonga yani nitoe 100000 kwa mali used!sijui labda huyu mama ana vitu adimu ktk majamboozi
Hapa pana ukakasi hapajakaa sawa ni kama vile shahidi kalishwa maneno
alikimbilia
nyumbani na kukuta simu aina ya Tecno nyumbani kwake na kuiweka laini yake
baadaye dada yake alimtumia picha
HAINIINGII AKILINI
Huna tu hela ww!
Huyu Mama kalishwa maneno kwani kuna walakini
huwezi kufika Guest nara hiyohiyo Mumewe naye anatokeza na wanaume wengine
mara ukiwa chooni mpenzio analawitiwa
mara Bodaboda anapiga picha kwenye Laptop
unaingiza kwenye simu ya Tecno unaoka picha mpenzio analawitiwa
kweli huyu Mama ndio afungwe wa kwanza kabisa
\Mumewe aliporudi nyumbani name kukuta mkewe aliyemfumania yupo nini kiliendelea
Hii khabari nadhani niliisikia katika kipindi cha 'Hekaheka' za Clouds Fm. Huyo mlalamikaji alielezea vizuri tu jinsi ilivyotokea. Huyo bidada Sanifa ndie alikuwa akishurutisha waingie chumbani, kumbe alijua wanafuatiliwa. Ni dhahiri ulikuwa ni mpango na mumewe. Kilichoharibu dili ni kuwa yule mpiga picha inaelekea hakupewa mgao stahili hivyoakazirusha picha mitandaoni, aliepigwa miti nae kuona hivyo akaamua 'kama Noma na iwe Noma! ndo mambo yakafikia hapa yalipo!