mulwanaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 5,262
- 12,838
Ndoa ikikushinda ukiwa na kipato cha wastani usitegemee kuiweza ukiwa umetajilika, kwa mazingira ya kazi yangu ni meshuhudia migogoro mikubwa ya familia kwa kiasi cha kuuana inatoka kwa familia zenye uwezo matajiri na hawana compromise yoyote.
Wanawake wengi hapa wana komaa na kujaza form za divorce na hawako tayari ku suluhishwa na wa patanishaji (professional mediators) ndg yangu msulihishi wa ndoa aliniambia hivi... " bora upatanishaji wa familia wasio kua na kipato kikubwa (masikini) kuliko upatanishaji wa matajiri" ni kamuuliza kwanini? Kasema "money is devil" eti pesa ni shatani mkubwa.
Kwahiyo wanaumme tusio kua na pesa na wapa ushauri tukomae na ndoa zetu hivo hivo na kipato chetu duni, na maisha ya kupanga au kuishi kwenye nyumba ambazo hazijaisha hazina finishing tupande daladala nk, jambo muhimu ni Amani ya roho pesa ya nini wakati utakosa amani? msiwe na fikra potofu kwamba mkipata pesa au kutajilika ndo mtatuliza ndoa zena la hasha kule kwa wenye pesa ni mto tena wa kuotea mbali, wanawake hubadilika ukitajilika au ukipata pesa.