Mke akikushinda ukiwa Masikini usifikirie kumueza ukiwa na pesa au (tajiri)

mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
5,262
12,835
Ndoa ikikushinda ukiwa na kipato cha wastani usitegemee kuiweza ukiwa umetajilika, kwa mazingira ya kazi yangu ni meshuhudia migogoro mikubwa ya familia kwa kiasi cha kuuana inatoka kwa familia zenye uwezo matajiri na hawana compromise yoyote.

Wanawake wengi hapa wana komaa na kujaza form za divorce na hawako tayari ku suluhishwa na wa patanishaji (professional mediators) ndg yangu msulihishi wa ndoa aliniambia hivi... " bora upatanishaji wa familia wasio kua na kipato kikubwa (masikini) kuliko upatanishaji wa matajiri" ni kamuuliza kwanini? Kasema "money is devil" eti pesa ni shatani mkubwa.

Kwahiyo wanaumme tusio kua na pesa na wapa ushauri tukomae na ndoa zetu hivo hivo na kipato chetu duni, na maisha ya kupanga au kuishi kwenye nyumba ambazo hazijaisha hazina finishing tupande daladala nk, jambo muhimu ni Amani ya roho pesa ya nini wakati utakosa amani? msiwe na fikra potofu kwamba mkipata pesa au kutajilika ndo mtatuliza ndoa zena la hasha kule kwa wenye pesa ni mto tena wa kuotea mbali, wanawake hubadilika ukitajilika au ukipata pesa.
 
Ndoa iliyo anzishwa na MUNGU
Kuendeshwa na MUNGU
Kulindwa na MUNGU

Kuwe na Pesa au kusiwe na pesa ni ndoa
Ni kisiwa cha furaha,upendo ,amani na raha ya maisha hata ukiwa na stress huwezi kusubiri kutowahi nyumbani

Nafikiri wajikite kwa MUNGU mambo huwa poa sana

Note: Mipango yote MUNGU awe anahusika toka uchumba paka ndoa au ameshirikishwa
 
Kweli ndoa ni kama bahati nasibu kuifanikisha sio rahisi paka Mungu a kubali mwenyewe.
 
Pesa kwenye ndoa ni kama petrol kwenye gari.

Ukikosa hela kwenye ndoa utagongewa na kulea watoto wasio wako.

Tafuta hela acha kujifariji kwenye umaskini. Umaskini ni sumu mbaya kwenye ndoa,usidanganyike na faraja za kijinga.
 
Ndoa ni kisiwa mficho cha maumivu moyoni meno meupe nje kwa watu
 
Ndoa iliyo anzishwa na MUNGU
Kuendeshwa na MUNGU
Kulindwa na MUNGU

Kuwe na Pesa au kusiwe na pesa ni ndoa
Ni kisiwa cha furaha,upendo ,amani na raha ya maisha hata ukiwa na stress huwezi kusubiri kutowahi nyumbani

Nafikiri wajikite kwa MUNGU mambo huwa poa sana

Note: Mipango yote MUNGU awe anahusika toka uchumba paka ndoa au ameshirikishwa
Ndoa ya aina hiyo uliyotaja ni ile ambayo Mwenyezi MUNGU alihusishwa tangu hatua ya kutafuta mchumba hadi hatua ya ndoa. Lkn hizi ndoa za kuonjana kabla ya baraka ya wazazi, hiyo ni ndoa kichomi hata kama mlibariki lazima itakuletea vimaruweruwe fulani hivi ambavyo utalazimika kuyavumilia au kuvunja ndoa huko mbele.
 
Ndoa iliyo anzishwa na MUNGU
Kuendeshwa na MUNGU
Kulindwa na MUNGU

Kuwe na Pesa au kusiwe na pesa ni ndoa
Ni kisiwa cha furaha,upendo ,amani na raha ya maisha hata ukiwa na stress huwezi kusubiri kutowahi nyumbani

Nafikiri wajikite kwa MUNGU mambo huwa poa sana

Note: Mipango yote MUNGU awe anahusika toka uchumba paka ndoa au ameshirikishwa
Kuna kukengeuka pia. Hata shetani hakuumbwa akiwa shetani.
 
Pesa kwenye ndoa ni kama petrol kwenye gari.

Ukikosa hela kwenye ndoa utagongewa na kulea watoto wasio wako.

Tafuta hela acha kujifariji kwenye umaskini. Umaskini ni sumu mbaya kwenye ndoa,usidanganyike na faraja za kijinga.
Haya mambo hayana formula, ni matajiri wangapi wanagongewa wake zao ni visharobaro vya sinza wanavipatia mpaka magari?
Tutafute pesa ila haimaanishi tukizipata ndo hatugongewi
 
Back
Top Bottom