Mrs Kharusy
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 1,244
- 670
Wana jiko!! Ni mda sasa nimekua nikienjoy mapishi ya chef wetu farkhina. Naomba nami niwaekeeni kaujuzi hapa wa kutengeneza mkate simple wa ufuta!!
Mahitaji;
Unga vikombe 2
Maziwa kikombe 1na robo
Samli aseel vijiko vya kula 3
Mafuta vijiko vwa kula 4
Sukari vijiko 4-5
Hamira kijiko 1
Mayai 2
Iliki Kijiko 1
Ufuta kiasi
Jinsi ya kupika.
Changanya vyote kwenye bakuli safi
Kosha mikono uchanganye na uupigepige vizur hadi uwe laini.
Unatakiwa uwe mzito kiasi km ni mgumu weka maji kidogo ili ulainike
Chukua trey yako, weka baking paper
Mimina mchanganyiko na unyunyize ufuta juu
Wachaa uumuke, choma kwa dkk km 20
Utoe na uuwache upoe.
Mkate tayar kwa kuliwa
Pic zinagoma au mchina wangu haukubali kuattach!! Lol