Mkate wa ufuta

Huu mkate nkipika ntakula na kahawa yangu mwenyewe.....kuna mkate wa kipakistan mzuri nao unafanana na huo nliwahi eka hapa
 
Hukumuelewa anachosema salam haigombwi meaning its ok kumsalimia TMA ila yeye ameshataarisha kibubu meaning mahari ya kuleta kwa ajili ya TMA mana yeye ana kidume cha nguvu....so taratibu wapewa tahadhari ati huyu mchumba wa watu na mama mkwe ndo huyo mkali

Hahhah haswaaaa..
 
Mhhhhh!!!! :):) ahsante kwa ufafanuzi naona kutakuwa na patashika na nguo kuchanika na kibubu kipi kitakuwa kimeshiba kupita kiasi :):) Honger Mrs Kharusy naona speed yako si ya kawaida :):)

Last edited by a moderator:

Hahaha...ujue tumeanza kulea akiwa hajaona jua/snow bado!!....ss hadi hapo inakubidi ukae pembeni ;-)
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom