Mkataba Wa Sportpesa na Yanga Kuendelea.?

Mkataba Wa Sportpesa na Yanga Kuendelea.?

Yanga hadi leo bado wanasainishwa mikataba ya kijinga kama chifu mangungo wa msovero, yani miaka mi 3 unakubali kulipwa Billion 12 tu? Kweli ni ma bogus
Wewe kipato chako kwa mwaka unafikisha sh ngapi?
 
Yanga hadi leo bado wanasainishwa mikataba ya kijinga kama chifu mangungo wa msovero, yani miaka mi 3 unakubali kulipwa Billion 12 tu? Kweli ni ma bogus
Thamani ya pesa kipindi icho na sasa Iko sawa? Na vipi billion 26 za m.bet mkataba wake uliishaje ebu tuambie
 
Simba huwa mnajitekenya na kucheka wenyewe. Mwaka jana mkasema mmeingia mkataba na mbet wa bil 26, mwaka huu bet pawa bil 20 . Ngoja nicheke kwanza, Simba inazidi kushuka thamani.
Endelea kucheza Bao hapo kijiweni wengine wakiendelea kutajirika...
 
Viongozi wa Simba wanajua kuwa wanachama wao ni mambumbumbu,sasa mnafurahia mkataba uliojaa uwongo baada Mo atawaletea mabilioni anoyowadai kwa umbumbumbu wenu lawama zote kwa mangungu.
Endelea kucheza bao hapo kijiweni na makapuku wenzio mkidanganyana kuhusu Simba huku wengine wakiendelea kua matajiri na mikataba ikiendelea kusainiwa.
 
Thamani ya pesa kipindi icho na sasa Iko sawa? Na vipi billion 26 za m.bet mkataba wake uliishaje ebu tuambie
Unataka kusema 2022 mkataba wa ki chief mangungo waliosain yanga na sportpesa hela illikua na thamani kuliko sahivi? Kweli nimeamini hapo utopolo wenye akili ni wawili tu
 
Unataka kusema 2022 mkataba wa ki chief mangungo waliosain yanga na sportpesa hela illikua na thamani kuliko sahivi? Kweli nimeamini hapo utopolo wenye akili ni wawili tu
Nimekuuliza mkataba wa b.26 wa Mbet umeishia wapi?
 
Nimekuuliza mkataba wa b.26 wa Mbet umeishia wapi?
Mbet ni kampuni ndogo simba imeamua kuvunja nao mkataba sahivi wako na Betway kampuni inayothamini hadi westham united
 
Mbet ni kampuni ndogo simba imeamua kuvunja nao mkataba sahivi wako na Betway kampuni inayothamini hadi westham united
Mpaka apo umedhihirisha umbumbumbu wa hali ya juu,,wakati mnasaini nao mkataba amkuyajua ayo? Kwaiyo taasisi yenu ni kama genge la walevi linaongozwa kiholela?
Kampuni ndogo imetoa b.26 na kubwa b.20 inaonekana ilikuwa ni mkataba wa magumashi mnadanganya watu
 
Ni hoja inayojitokeza miongoni mwa Wadau.!
Hasa kipindi hiki ambapo Simba Sports Club imeingia mkataba mwingine mnono na Betway wenye thamani ya Bilioni 20.

Wadau wa wasoka Wamekuwa Wakijiuliza hivi Yanga Afrika mbona kuna Ukimya kwenye eneo la Mikataba ?

Ule mkataba wa bilioni 4 kwa mwaka wa Sportpesa Utaendelea?

Ikumbukwe Yanga walisaini mkataba na Sportpesa mwaka 2022 wa miaka mitatu huku Bwana Tarimba akiwa mmoja wa kati ya Watendaji wakuu wa Sportpesa.
Wengine wanahoji mikataba mingine mfano ule wa jezi. Yanga ndio ya kupata kati ya 1,000 - 1,300 kwa kila mauzo ya jezi moja?

' Ni Mtori sawa tumeukubali, je chini kuna nyama? Iwapo Sportpesa itaendelea , basi wajitafakari
Ngoja nimpigie simu Ponjoro wa kinondoni ili atupe maelezo.
 
Yanga hadi leo bado wanasainishwa mikataba ya kijinga kama chifu mangungo wa msovero, yani miaka mi 3 unakubali kulipwa Billion 12 tu? Kweli ni ma bogus
Maliza Mabogus wanao wakanda kila siku
 
Mkataba wa Tarimba kupitia sportpesa na Yanga ni kama ndoa 'Katoliki'...

Hakuna kuisha wala kuvunjika mpaka Papa kule Vatican aseme, na hajawai kuvunja ndoa tokea Ulimwengu uwepo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom