Mkataba wa IGA Ulitengenezwa Kuwa na Vipengele Hasi kwa Tanzania, na Viongozi Wetu Walijua na Kushiriki Uhujumu Huo

Hakuna mkataba duniani japo mimi siyo mwanasheria ambao unaandaliwa bila kumjua aliyeuandaa vinginevyo ni ujinga na atakushinda mahakamani, kama kuna mtu atuonyeshe mikabata ya hivyo ya kimataifa
 
Huwa ni kawaida yetu kufanya hivyo...Ni wakati wa JPM Kuna mwanasheria mmoja nadhani anaitwa kuanzia K alisema mikataba lazima tu draft wenyewe naku discourage hii ya kuletewa Ili usaini tu
Tuna wasomi wajinga sn nchi hii
 
Vipi mzanzibari mwenzangu. Huoni grave mistakes zozote kwenye mkataba ? Usishabikie tu kama zumbukuku
 
Vipi mzanzibari mwenzangu. Huoni grave mistakes zozote kwenye mkataba ? Usishabikie tu kama zumbukuku
Aliyenitafsiria kifungu kwa kifungu ndiye mwandishi mwenyewe aliyeuandika kwa mwaka mzima akijadiliana na wanasheria wa Dubai.

Usisikilize sana hizi kelele za wabongo, huwa tunajua kila kitu, kuanzia mpira wa miguu mpaka mada za kichawi.
 
Impeachment is next stop
 
Chief, tambua kwamba mie na watu wengine wengi tungependa kuona ubinafsishaji unaohijajika kufanyika kwenye inchi uzingatie mikataba mizuri. Serikali za CCM wanatabia ya ku sign mikataba mibovu na kulitia taifa hasara. History imetuonyesha. Ndo maana tunapinga huu mkataba mbovu sio uwekezaji . Kuweni wazalen
Aliyenitafsiria kifungu kwa kifungu ndiye mwandishi mwenyewe aliyeuandika kwa mwaka mzima akijadiliana na wanasheria wa Dubai.

Usisikilize sana hizi kelele za wabongo, huwa tunajua kila kitu, kuanzia mpira wa miguu mpaka mada za kichawi.
 
Point zote nzuri, JPM alikuwa mzalendo. Umekosea hapo. Japo kuna makosa alifanya kama hata wewe kuna makosa ungefanya kwenye hiyo nafasi.

Mkitaka kuunganisha nchi muache uchama. Kumnanga JPM na kulinganisha na SSH. JPM asingsaini mkataba kama huu.
 
Mkuu 'Lookmalasin', naomba nijitambulishe kwako, kwa maana naona hunijui mimi.
Kwa wanaonifahamu tokea nijisajili humu JF, na kusoma chochote nilichoandika humu hawawezi kamwe kunipanga kama ulivyonipanga wewe.

Ngoja nikufahamishe kwa kifupi sana ninakosimamia.

Kivyama vya siasa, hakuna chama nilicho mwanachama wala mfuasi wake. Chama pekee nilichonacho ni maslahi ya Tanzania na waTanzania wote, hata hao wanaoshabikia vyama vilivyooza kama CCM.
Kwa viongozi wa kisiasa, nitamuunga mkono kiongozi yeyote anayesimamia kwa dhati kabisa maslahi ya nchi yetu. Sasa naona hapa ndipo unapotaka kunilazimisha niungane nawe katika kumtambua Magufuli kuwa mfano huo wa kiongozi.
Hapana. Ninayatambua sana mazuri aliyojitahidi kuyasimamia Magufuli, kwa manufaa ya nchi hii, hili ninakuomba utambue hivyo.
Magufuli anakosa sifa ya kuwa Mzalendo, kama alivyostahiri kutambuliwa, kwa sababu ya tabia zake nyingi amabazo hazikuonekana kuwa za kizalendo kabisa. Sitaki kuyataja mambo hayo hapa, kwa sababu yanafahamika.

Laiti kama Magufuli angeachana na haya mambo ya ajabuajabu, akabaki na ukali wake, na juhudi zake za kuitumikia Tanzania, nami leo hii ningekuwa upande wako wa kumsifu, na kumtambua kuwa mmoja wa viongozi wazalendo tuliowahi kuwa nao hapa Tanzania.

Inatosha.
 
Tatizo kila mtu anajua kila kitu. Tanzania kila mtu anajifanya anajua kila kitu.

Kuujua mkataba kama ni mzuri au mbaya ni suala la wataalam sio suala la kila mwenye kujiona ana akili eti akalichambua.
 
Asante, naheshimu mawazo na msimamo wako, ila tabia yako hii, sio hii niliyozunguzia hapa? Swali kuhusu tabia ya kususa, kugomea au kuzira: Je, si tabia za kike, si utoto?
P
 
Point zote nzuri, JPM alikuwa mzalendo. Umekosea hapo. Japo kuna makosa alifanya kama hata wewe kuna makosa ungefanya kwenye hiyo nafasi.

Mkitaka kuunganisha nchi muache uchama. Kumnanga JPM na kulinganisha na SSH. JPM asingsaini mkataba kama huu.
JPM alijenga SGR kwa trilioni 17 ili isafirishe mzigo huu huu wa DP World. Kumbuka kuwa mwarabu anafanya biashara na Kagame ambapo kajenga dry port ya kuweza kutunza kontena 50,000 kwa wakati mmoja.
 
M Mayala acha kujitoa ufahamu ,wasomi wenzio wa Sheria wameona mapungufu lukuki,sasa Nini msimamo wako kama mtaalamu wa Sheria kwa sasa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…