G. Activist
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 482
- 125
Hellow wana JF,
Leo tumeshuhudia utiliwaji wa saini wa uendeshaji wa miradi ya makaa ya mawe Liganga na Mchuchuma katika uzalishaji wa Umeme kati ya TANZANIA na CHINA. Nimefarijika kidogo na shughuli hii ya leo kama itasimamiwa sawasawa na ilivowekwa kwenye makaratasi, naamini kiasi fulani tutapunguza hili tatizo la Umeme linalotukabili.., Positive gain ya pekee ambayo watanzania tunatarajia ndo hiyo ya Nishati tu, otherwise ni loses tu ndizo tutakazopata.
Kinachoonekana hapa kikubwa ni wimbi la raia wa China kujaa hapa nchini, maana kila tunapoona viongozi wa Uchina wamezulu nchini, huwa kuna wimbi kubwa sana la Raia wa China kuhamia nchini, nasema kuhamia sababu sioni harakati zao za kuondoka. Hawa viongozi wajapo nchini huwa hawaangalii mambo mengi sana ikiwemo na fursa kwa raia wake, tofauti na viongozi wakwetu wakizulu huko ni misaada tu na kula goodtime..
Katika zoezi zima la utiliwaji wa saini nilitegemea kumuona Mheshimiwa Ngeleja akisimamia suala na vijana wake wa wizara, lakini hajaonekana zaidi ameonekana waziri wa Viwanda na Biashara na Mh. Makamu wa Rais cjui anaitwa nani maana mi hata cmjuagi jina lake. Sasa Je Ngeleja keshaona mkataba ni cheche ndo maana kakaa pembeni kupisha lawama za baadaye au ndo kasusa na kuacha mambo mazito kama haya kusimaamiwa na Makamu wa Rais? Cjaelewa vizuri hili.
Naomba kuwasilisha.