Mkataba aka contract | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkataba aka contract

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mtazamaji, Oct 7, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  wataaalam wa sheria
  Tumesikia tunaambiwa taifa etu halina wataalam wa kutosha wa kuwezesha

  • kuandika/ kunegtioate mikataba yenye manufaakwa tifa
  • Tumeshuhuhua utata wa mikataba miubwa ya inayohuisha serikali kama ya Alex stewart, RICHMOND
  Sasa lengo langu nataka kueleweshwa
  Serikali inapotaka kuingia mkataba na shirika au kampuni fulani mkataba huo unatakiwa


  • uweje? kama sample ipo tuwekewe
  • Vigezo na vitu muhumu uwepo wenye mkataba
  • Kuna kitengo cha mikataba kwenye ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali. Kina wataalam wangapi.?
  • Zaidi ya mambo ya sheria ni mambo gani mengine yanazingatiwa kabla serikali haijaingia kwenye mkataba?
  • ongeza mengine
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Oct 7, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,406
  Trophy Points: 280
  Yaani wale vipanga wote wa sheria pale UDSM waliopata festi klasi wanashindwa kuandika mikataba au kuingia mikataba iliyo na uwiano sawia baina ya pande zote mbili husika?

  Si ni wasomi hao? Au sio wasomi?
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ni wasomi na sisisi non-learned brothers and sisters huku mtaani tunakuwa na maswali mengi. Hii ya wataaalam niliwai kusikia JK akizungumzia. Labda hawa watalam watueleze kuna vitu gani hivyo vina utata kwenye process ya mkataba ili wananchi tuelewe kazi yao ngumu
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Oct 7, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,406
  Trophy Points: 280
  Hivi kwa nini wanajiitaga wao ni wasomi? Have you ever wondered that?
   
 5. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  We dont need kwenda serengeti au Oduvai for wonders.Mi naona ni hawa hawa learned brother/sisters wako katika center ya ku screw nchi yetu.
   
 6. a

  actus Senior Member

  #6
  Oct 8, 2011
  Joined: Oct 7, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  eti wanajiita wasomi coz hao wengine mfano madaktari,wachumi,wahasibu n.k wanapopata tatizo la kisheria huwafuata wao na kuwaomba ushauri wa kisheria,hivyo wanadai wao wamesoma na kuelimika ila wengine wamesoma tu.
  anagalizo hawajui kua wakati wanatoa ushauri huo wa sheria wanakua wanatimiza wajibu wao kikazi na sio kiusomi au kuelimika.kama wao wanapoenda kutibiwa na madaktari au kumfuata injinia kuwajengea nyumba zao.
   
 7. T

  Taso JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2011
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,647
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  Kwenye taasisi za kimataifa, mfano zile za UN, utaratibu mmoja wa kuingia mikataba ni kuwa mfanyakazi, bodi, mwanasheria, mkuu wa taasisi, au wakala yeyote wa taasisi, haruhusiwi kuingia mkataba anavyotaka yeye, bali anajaza karatasi ya template ya mikataba ambayo haitanzuki. Kama unayotaka ku contract hayapo kwenye template basi linatengenezwa template jipya kwanza ambalo limezingatia ma policy na masheria yenu yoooote ya mikataba, linapitiwa na pears and superiors halafu linakuwa validated. Chances of errors zinapungua na hafungwi mtu.

  Kwetu tofauti. Idara za serikali hazina contract template. Katika mambo mengi wanatakiwa waongozwe na sheria ya manunuzi. Well, tafsiri ya sheria ni maoni, na unajua wanavyosema kuhusu maoni, ni kama makalio, kila mtu ana yake. Utamfungaje?
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Oct 8, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,406
  Trophy Points: 280
  Umejibu swali langu kuhusiana na templates kwa kiasi kikubwa. Shukrani!
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Oct 8, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,406
  Trophy Points: 280
  Ooh kumbe hiyo ndo sababu. Daaah kaazi kweli kweli. Sasa kwa mfano wao wakipatwa na matatizo ya umeme majumbani kwao si hutafuta mafundi umeme? Au wao kwa vile ni wasomi wanajifanyia kila kitu wao?

  Teh teh teh...mantiki yake naona kama haieleweki hivi...au labda ni mimi ndo siielewi kwa sababu mimi si kaka msomi.
   
Loading...