Mkasi na Mrembo Kidoti

Mkasi na Mrembo Kidoti

nikaanza kufikiri sijui na mimi ndo napatwa na chembe za u - hater?!sikukaelewa kabisa yani na ilikuwa miongoni mwa show mbovu kabisa kuwahi kuona mwaka huu.sikujua anachoongea,nikamsikia akichekcheka tuu mwanzo mpaka wa show..yaan upuuzi mtupu!!
 
Teh teh nilijua ni mimi ndo nachukizwa na yeye kumbe wengi.Kiukwel nilidhan kitakua bonge ya kipindi, kumbe bora kina Kajala na Lulu yan anajichekesha kama kafinywa finywa vile... aliniudh kwa kweli.
Mi naona jina lake ni kichunusi sio kidoti.

Ovyooo!!!!
 
Miaka mingi zaidi ya 15 iliyopita tulikuwa tunajadili maisha na kati yetu alikuwepo jamaa m'moja ambaye alikuwa na matatizo ya akili...katika yale mazungumzo kuna mtu akasema, 'mtu unatakiwa kuwa na shamba lako halafu unakuwa na mazao tofauti-tofauti miembe-migomba-nk" basi yule chizi akasema "nyie wabongo ndio maana hamuendelei ukitaka kulima chagua kitu kimoja hakuna mkulima anayelima kila kitu...ilikuwa kitu kidogo lakini kimenikaa akilini mpaka leo.

kaka hapo nilipo-bold mie ndio yuleeeeeeeee chiziiiiiii. nadhani hata huyu dada inabidi aambiwe...."HADITHI YA CHIZI"....ahahahaaaaa
 
Kipindi kimerudiwa leo nikakiona kwa muda mfupi...lakini nilichokiona ni kituko. Jokate kaulizwa kama alisha kuwa na mahusiano na Hashim Thabeet akajibu kuwa hajui. Jibu ambalo sikutegemea kabisa kulisikia. Ni sawa na mkubwa mmoja aliulizwa kwanini nchi yako maskini na wakati ina rasilimali kibao akasema hajui. Dah

hapo nilipo bold mie namjua aliyesema..anaitwa Mh.J.K na alisema kwenye world economic forum ilifanyika tanzania mwaka siukumbuki pale ukumbi wa mlimani city.
 
Jana nilikuwa nawatch kipindi cha Salama Mkasi..Huyu Mrembo Joketi alivyokuwa anabehave mbona sikuamini nilichokuwa nakiona?I thought ni Star anayejielewa,ana exposure but naishia kumuona Anacheka cheka tena ile ya kujikekesha unnecessary,mara anapayuka payuka yaani kujicompose as a lady ni 0 kabisa..hawa wanaojiita mastar kwa nini wasiwe wanapigwa msasa kabla hawajapaa nje kutuwakilisha kama Tanzania

Ndio ukisikia umwanjomwanjo huo, walikuwa hawayajuwi sasa ndio hivyo tena. Wataokuja baada yao watakuwa wanajirekebisha kutokana na makosa ya hawa wenzao.

Kumbuka haya mambo ni mageni kwetu, ndio kwanza tunayaanza na si utamaduni wetu, kwa hiyo ulimbukeni tuutarajie.
 
Nilikua namwona classic sana mpaka siku nilipopata bahati mbaya ya kukaa nae! Dah! kweli beauty is skin deep!
 
Lazima ajichekeshe maana ameharibika....
nilimzoom ili nimcheck fresh,kumbe si mrembo kivile,macho kama yana uvimbe fulani hivi,inaonyesha makunyanzi yatamwanza haraka sana...kumbe ndo jokate huyo?
 
Jana nilikuwa nawatch kipindi cha Salama Mkasi..Huyu Mrembo Joketi alivyokuwa anabehave mbona sikuamini nilichokuwa nakiona?I thought ni Star anayejielewa,ana exposure but naishia kumuona Anacheka cheka tena ile ya kujikekesha unnecessary,mara anapayuka payuka yaani kujicompose as a lady ni 0 kabisa..hawa wanaojiita mastar kwa nini wasiwe wanapigwa msasa kabla hawajapaa nje kutuwakilisha kama Tanzania

Ukweli ni kwamba jana hakufanya vizuri kutokana na kupayuka payuka hovyo.
 
Hapo ndo ninaposhangaaga......

kuimba yeye,kuigiza yeye,modeling yeye,author yeye
designer yeye LOL
nchi yetu level ya specialization ni ndogo sana nilifurahia alichosema dkt Rioba kwamba anaheshimu misingi aliyojiwekea katika kuishi na yupo tayari hata kupoteza ajira yake
kama endapo atalazimishwa kukaiacha misingi yake.wenzetu huwezi kukuta muigizaji amekuwa director wa movie ila huku kwetu kila mtu anajilundikia majukumu bila kuona litakavyoathiri kazi zao
 
eti mungu kamjaalia vipaji vingi sana.......

hawachelewagi kuvurunda katika hizo zingine
 
mpaka sasa sijaamini kama ni Jokate yule yule nlokua nikimuona msomi na mwenye akili
ama alilewa?
 
Hakuna hata mwenye namba yake amwambie aje huku aone "great thinkers " tunavyo-mjadili ili aweze kujifunza na siku akiwa-interviewed ajuwe tupo kumkosoa so ajipange kuanzia mavazi, mwonekano na pia ajuwe atakuwa accountable kwa kila anachokisema na sio tuu accountability inaishia pale kwenye kipindi bali inakwenda mpaka mwisho wa siku zake hapa duniani....life time accountability.
 
naamini sasa kuwa "HAKUNA KILEVI CHENYE KULEVYA NA MADHARA MAKUBWA KWA BINADAMU KAMA ULEVI WA SIFA NA HASA ZA KIJINGA"....haka katakuwa kamelewa sifa za kijinga coz kalijipatia sifa pale "mwenzake" wema sepetu alivyoboronga na kuonekana mara mia ya haka katoto but nadhani nako kamelewa sifa kiasi hakawezi kujuwa kajibu nini na kanaongea kama kioo cha jamii na hasa ya waliopita darasani.[
kwahiyo unataka sema hana tofaut sana na wema
 
HAPO PENYE REDI NAONA KAMA KWA KASI YA UJINGA KALIYOFIKIA MUDA SI MREFU KATAMU-OVERTAKE HATA HUYO WEMA....kalidhihirisha kuwa ni ka-puuzi big tyme.

BORA MPUUZI ALIYEZOELEKA AONEKANE MPUUZI KULIKO MSTAARABU ALIYEZOELEKA KUONEKANA MPUUZI...ATADHARAULIWA HATA NA WATOTO WA VIDUDU/NURSERY SCHOOL....SASA HUYU ANAELEKEA KUDHARAULIWA MPAKA NA VITOTO.
 
Hakuna hata mwenye namba yake amwambie aje huku aone "great thinkers " tunavyo-mjadili ili aweze kujifunza na siku akiwa-interviewed ajuwe tupo kumkosoa so ajipange kuanzia mavazi, mwonekano na pia ajuwe atakuwa accountable kwa kila anachokisema na sio tuu accountability inaishia pale kwenye kipindi bali inakwenda mpaka mwisho wa siku zake hapa duniani....life time accountability.

du wewee ni noma
 
Back
Top Bottom