Mkasi na Mrembo Kidoti

Mkasi na Mrembo Kidoti

idadi kubwana yahawa tunao waita macelebrity hapa Bongo hawajui kuongea kwenye media kabisa,wewe ukitaka kujua fatila maelezo yao kwa ukaribu utaona hadi unatamani angekuwa ameandikiwa majibu kila akiulizwa aweanasoma,mimi na mkubali sana FidQ, AY,Jayd,profesa jay utafurahi na utatamani waendelee kuongea..Nachukiaga unaskia you know nakuja na project and then baada yapo i wll blaaaahblaah...!!!"ujinga tuu
 
....And you can't imagine eti ana mashabiki!Aesthetic level ya watanzania wengi ipo chini sana....bado hatuwezi ku-appreciate a good work of art na ku-disaprove a bad one....in fact ndo maana watu kama hawa wapo na wanapata a lot air of time na kuuza kazi zao kama kawa.Eti Dudu Baya ,Jokate nao ni wanamuziki!..Lol!

Majanga.
Kwani Jokate ni mwanamuziki? Kimsingi sikuangalia ile Mkasi kwa sababu Jokate ni kati ya watu ambao siwakubali kuwa ni cebebrity. I dod not like to waste my time on that Sh^it!
 
Majanga.
Kwani Jokate ni mwanamuziki? Kimsingi sikuangalia ile Mkasi kwa sababu Jokate ni kati ya watu ambao siwakubali kuwa ni cebebrity. I dod not like to waste my time on that Sh^it!
.....Mbona alishatoa ngoma moja na AY?...anatafuta umaarufu kwa nguvu zote.As far as I'm concerned celebrety lazima awe na kipaji cha kweli sii haya mambo ya kubumbabumba kama ya huyu bibie!
 
du wewee ni noma

UNAJUWA CHEMWALI...KANSA NDOGO NDOGO KAMA "KUROPOKA" NA KUTOKUWA MAKINI NA MAJIBU HUWA ZINAANZA KIMASIHARASIHARA TUUU..MWISHOWE MTU UNAKUWA WAZIRI MKUU UNAISHIA KUJIBU BILA KUJIULIZA..SOO ACCOUNTABILITY SHOULD BE TAUGHT FROM THE VERY BEGINING LEVEL OF CHILDHOOD AND NURTURED ALL THE WAY PEOPLE GREW UP.

UNADHANI "KID WA MKULIMA" MAJIBU YA MASIKHARA SIHARA BILA KUJALI ATAKUWA ACCONTABLE KAJIFUNZIA UKUBWANI????...HIVIHIVI TUU KAMA MCHEZO JAMII IKAMUACHA NA SASA ANATIRIRIKA NA CONTRADICTING STATEMENTS/ORDERS KAMA 3 NDANI YA MIAKA MITANO..

SOOO HAWA NAO TUWAWAHI IPO SIKU ANAWEZA KUWA WAZIRI HUYU AU HATA RAISI..AKAISHIA MAJIBU YA MNHHH..AKCHUALI...MARA SIJUI..MARA NAANDIKA KITABU NA SWALI LAKO NITALIJIBU KWENYE KITABU...JUST MAJIBU MEPESI NA MASWALI MAGUMU TENA KWA ISSUE SENSITIVE ZA TAIFA.

CHECK MOVIE YA "IRON LADY"...UTAELEWA NAMAANISHA NINI...kama ni mpenzi wa movie pia.
 
.....Mbona alishatoa ngoma moja na AY?...anatafuta umaarufu kwa nguvu zote.As far as I'm concerned celebrety lazima awe na kipaji cha kweli sii haya mambo ya kubumbabumba kama ya huyu bibie!

Point.
Yaani ustaa wa huyu Kidoti hautofautiani na Shilole, yaani kila mara ni kutafuta attention kwa kila namna. Hata lile suala la Kidoti ku-date na Nasibu Abdul (Sijui ndio Diamond?) ilikuwa ni kusaka umaarufu.
 
You are damn right..yeye ni attention seeker of the highest order...nikasikia tena alisha-date na Hashim Thabit.Sasa na huyo Shilole nae ni mwanamuziki au actress?The good thing for them is wana soko lao..daah!Bongo kweli pazuri.
 
hivi watanzania ukiojiwa lazima uchanganye na english ndio ukubalike?
sijawai kuona ulaya au marekan mtu anaojiwa kwa english harafu anachanganya na french.

toeni ulimbukeni nyie.

Hujawahi kuona ulaya au marekani?? Nadhani hapa umejazibika mkuu.
Sidhani kama unalosema una hakika nalo hasa kama kweli upo ulaya ama marekani. Sio watz wote waliosomea tz 100% na pia ni ladha hata Bungeni huonekana hasa kuweka "stress" ktk jambo flan(km mm nilivyosisitizia hapo kwa kutumia neno stress)
 
You are damn right..yeye ni attention seeker of the highest order...nikasikia tena alisha-date na Hashim Thabit.Sasa na huyo Shilole nae ni mwanamuziki au actress?The good thing for them is wana soko lao..daah!Bongo kweli pazuri.

hahahha Bongo hata ukisema Majangaa umeshahit
 
I agree with you,ilikuwa intavyuu mbovu za mkasi kati ya nilizowahi kuziona,nyingi ya show huwa zinanivutia na huwa nazisave kwenye pc yangu ila hii ya Kidoti hapana hata kidogo,nyingine ni ya TID sipend kabisa.
 
nchi yetu level ya specialization ni ndogo sana nilifurahia alichosema dkt Rioba kwamba anaheshimu misingi aliyojiwekea katika kuishi na yupo tayari hata kupoteza ajira yake
kama endapo atalazimishwa kukaiacha misingi yake.wenzetu huwezi kukuta muigizaji amekuwa director wa movie ila huku kwetu kila mtu anajilundikia majukumu bila kuona litakavyoathiri kazi zao

mhh hapa sikubaliani na wewe kaka,kama mtu ana uwezo wa kuyafanya hayo yote sion shida yoyote,Mel Gibson ni director and actor at the same tym,Denzel washingtoni pia na wengineo wengiiii
 
Hapo ndo ninaposhangaaga......

kuimba yeye,kuigiza yeye,modeling yeye,author yeye
designer yeye LOL

wala usishangae ndugu,swali la kuijuliza ni je anavimudu vyote? Kama anavimudu hakuna tatizo kabisaaa.mfana 50Cents ni mwanamuziki,mwanaharakati,muigizaji na mfanyabiashara pia,sasa je nae ni tatizo?
 
..Sasa na huyo Shilole nae ni mwanamuziki au actress? ..
Sijajua ni nani hasa, kwa sababu nikisema ni mwanamuziki halingani na Jay D, Mwasiti, wala Mdee huyu wa juzijuzi. Ukisema ni actress hasogei hata nukta kwa Thea, Johari wala Wolper. Yeye ni attention seeker kama Jokate.
 
mhh hapa sikubaliani na wewe kaka,kama mtu ana uwezo wa kuyafanya hayo yote sion shida yoyote,Mel Gibson ni director and actor at the same tym, Denzel washingtoni pia na wengineo wengiiii

Ndugu, uko sahihi.
Kuna baadhi ya watu wanaweza fani kibao, ila sio hao Kidoti na Shilole. Hivi unajua kuwa Jackie Chan ni mwanamuziki wa kiwango cha juu sana kule kwao? Ana album kadhaa sokoni (za Kichina), ingawa huku Uswazi tunamjua kama muigizaji.
 
Hujawahi kuona ulaya au marekani?? Nadhani hapa umejazibika mkuu.
Sidhani kama unalosema una hakika nalo hasa kama kweli upo ulaya ama marekani. Sio watz wote waliosomea tz 100% na pia ni ladha hata Bungeni huonekana hasa kuweka "stress" ktk jambo flan(km mm nilivyosisitizia hapo kwa kutumia neno stress)
Mkuu sababu iliyoitoa haijitoshelezi....yaani kwa sababu mtu kasoma nje tu do achanganye sana kiswahili na kiingereza?Kwa maoni yangu sababu moja kubwa ni kwamba kuna "Concept" ambazo kuzieleza kwa kiswahili inakuwa sio rahisi kwa sababu kiingereza ni lunga ya zamani zaidi na ina misamiati mingi zaidi.Lakini vile vile "status" ya kiingereza katika jamii ya watanzania iko juu zaid ya kiswahili...hivyo mtu akigongea kidogo kiswahili na English anaonekana anajua ishu zaidi.
 
Ndugu, uko sahihi.
Kuna baadhi ya watu wanaweza fani kibao, ila sio hao Kidoti na Shilole. Hivi unajua kuwa Jackie Chan ni mwanamuziki wa kiwango cha juu sana kule kwao? Ana album kadhaa sokoni (za Kichina), ingawa huku Uswazi tunamjua kama muigizaji.

nashukuru kama umelitambua hilo,ila ngoja nikuulize,hivi kwa mfano kidoti ameshindwa katika lipi kati ya yele anayoyafanya?i.e urembo,u-mc,uigizaji..na mengioneo
 
mie mwenyewe nimeguna kama wewe, eti watz wana matarajio makubwa sana kwake, khaaa kama nani vile?
kama watz hawana matarajio yoyote wana lalamika nini hapa, soma uzi kuanzia mwanzo uone watu walivyokuwa disappointed.am sure yule angekuwa mwingine (nawaweka kapuni) watu wasingelalamika.
 
Ngoja nisimuhukumu kwa kuwa sijaiona na mara zote mimi ni katika wale ambao hadi ipite wiki ndio tunaiona kupitia online mara tu wanapoiweka,kiukweli nilikuwa nimepania sana kuiangalia jumatatu mara tu wakiiweka ila hizi comments ZIMENIPA PICHA HALISI.nimefuta wazo la kuiangalia.huo mda ntautumia kufanya yangu
 
Back
Top Bottom