the american dream
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 1,754
- 837
Humu humu Jf juzikati nimekuta watu wanamfagilia Vanessa Mdee kama vile mziki kaanza miaka ya 47,mara wapuuzi wengine oooooh kama nisingekuwa nimeoa ningemuoa,mara wengineee oooh ni msichana mrembo vibaya wakati hakuna lolote.Hii Bongo Mungu anisaidie niondoke haifanani na mimi kabsaaaaaaaa:bored:Umaarufu mnawapa nyie wenyewe kisha mnawashangaa!...sina wivu nao kabisa lakini hawa jamaa bado wana njia ndefu ya kwenda