Shortly katia aibu!! Binafsi sikutegemea kama upeo wake uko low kiasi kile!
..haka katakuwa kamelewa sifa za kijinga coz kalijipatia sifa pale "mwenzake" wema sepetu alivyoboronga na kuonekana mara mia ya haka katoto
Mtoto anaongea ka chiriku,mpaka salama alikosa mda wa kumuuliza maswali haongei kama msomi kabisa.
Nami nilinote hilo ali over do maskini sijui alipania au alipanic?salama alisema unamjua Lundenga? Mtoto faster akata kutiririka, salama akamtel aaanh! Ngojea kwanza bado sijakuliza swali..!
Dah, kidoti alipania sana bhana!
mi nilimsubiria kweli pia ila naomba nitafute kwanza kitu positive jana then mengine yatafuata
1.Alikuwa na pochi nzuri
2. hajajipiga ma make up kibao simple, hereni simple
3. Kasema baba yako akikukosea usimtukane
Guys mnisaidie basi kuweka positive kdg basi!!
ila bwana ukweli ni kuwa amenidisappoint halafu nilivyokuwa nimepania kuangalia.Kwa kweli alikuwa anajichekesha sana salama naye anauliza maswali ya hovyo majibu its like..., i don't know...., that one is nice.......mbwembwe nyingiiiii!Binafsi mi naona kapigwa bao na wale waliotoka jela kwa utulivu wakati wa interview. halafu nikajua ni mimi mwenyewe ndo nimeboreka.
Kama utapita kwenye uji huu mamaaa!mi naomba tu ujipange Watz wana matarajio makubwa sana kwako usilewe sifa bado una safari ndefu ila mimi binafsi nilianza kuwa na wasiwasi na wewe tangia nilivyosikia umetoka na Diamond!
ANAKUJA NA KITABU CHAKE JUST BCOZ KAKA YAKE ALIKSHAANDIKA VIWILI NA PIA YEYE ANAPENDA KUFANYA VITU VINGI KWA WAKATI MMOJA...THE QUESTION IS...HOW EFFICIENT ARE YOU IN DOING THOSE MULTIPLE ASSIGNMENTS???
HATA BILL GATES ANGEWEZA KUIMBA, KUANDIKA VITABU ETC ILA HAWAFANYI HAYO WANAONA HAYANA TIJA NA WANA-NARROW DOWN to one business seriously done to impact the world.