SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,487
- 23,852
- Thread starter
- #61
Haya tumalizie weekend hivyo.... Kwa wanaojua mizigo ya Zack Snyder nadhani hamna haja ya kujiuliza sana.
ARMY OF THE DEAD (2021)
Wana wenye njaa kali ya pesa wanajikamilisha ipasavyo kisilaha na mipango kisha wanazama ndani ya jiji la Las Vegas kuvamia na kuiba pesa katika moja ya kasino kubwa katika jiji hilo la maraha na dhambi.
Lakini jiji lote limefungwa. Hamna mtu wa kawaida anayeonekana humo isipokuwa wale waliokumbwa na janga la ajabu katika kambi ya siri ya jeshi 'Area 51' wakageuka kuwa zombies wanao-feast kwenye nyama na damu za binadamu.
So hamna polisi wa kuwazuia hawa wana isipokuwa hili jeshi la wafu!