Mkasa wa wakimbizi wa Sudan na Apeth (na mikasa mingine)

UNDERGODS (2021)
IMG_20210509_110647_943.jpg
 
One of the Best Mystery.

Vipi kuhus Murder on Orient Express?

Ni moja kati ta movie yngu ya mda wote raha ya hii movie usiangalie huku unachat maana kila tukio lina umuhimu wake mwishon. Utamu mwengine wa hii movie inakufanya mpaka ww uhusike kwa vyovyote lazima utahusika kumtafuta au kujua ni nan muhusika wa mauwaji hayo. Na uzur zaid yule umzaniane ndie kumbe sie. Kuna mfululuzo wa movie kama hiz Ikiwemo CLUE . The death on the nile. Kwa wale wanaopenda detactive hutojutia
 
Mkuu, wanachofanikiwa hawa jamaa katika movies tajwa hapo juu ni namna wanavyokufanya wewe mtazamaji kuwa sehemu ya mhusika!

Sio tu kutazama, bali kushiriki kabisa kwenye kutatua tatizo katika namna ambayo unaweza sahau hata kula.

Zina msisimko wake wa ajabu kabisa!

Nadhani umetazama Knives Out (2019).

The Invisible Guest (2016) pia si haba kabisa. Jambo la kuamka hotelini pembeni ya mpenzi ambaye tayari alishakufa, na huku wewe ukiwa auhusiki na mauaji ni kimbembe tosha.

Nani atakuamini? Unajikuta inabidi uwe mpelelezi ghafla kujinusuru.
 
Brother, kama uliipenda Knives Out, fanya kila namna uitafute Murder on Orient Express. Inahusu mauaji yaliyotokea ndani ya treni ikiwa safarini.

Sasa kuhusu nani ni muuaji ndipo utata ulipo maana kila abiria ni mtuhumiwa mbele ya macho yako.

Bwana mmoja kama 'Blanc' katika Knives Out ndo anaingia mzigoni.

Huwezi taraji. Huwezi kisia muuaji.
Nitaifuatilia. Mysteries za namna hii ndio za kucheki zaidi ya mara moja ili uelewe vizuri.
 
Brother, kama uliipenda Knives Out, fanya kila namna uitafute Murder on Orient Express. Inahusu mauaji yaliyotokea ndani ya treni ikiwa safarini.

Sasa kuhusu nani ni muuaji ndipo utata ulipo maana kila abiria ni mtuhumiwa mbele ya macho yako.

Bwana mmoja kama 'Blanc' katika Knives Out ndo anaingia mzigoni.

Huwezi taraji. Huwezi kisia muuaji.
Naona kuna ya 1974 na 2017.
Ipi ndio yenyewe?
Zinajitegemea au sequel?
 
FATMA (SERIES)

Akiwa anahaha kumtafuta mumewe alipo, Fatma, mwanamke wa kawaida tu anayejihusisha na kufanya usafi, anajikuta akifanya mauaji bila kukusudia!

Mauaji ambayo yanamlazimu aendelee kuua, kuua na kuua ili a-survive.

Ndani ya muda mfupi tu anajikuta akihama toka kuwa mfanya usafi mpaka muuaji wa mfululizo (serial killer).

Mumewe yupo wapi? Kwanini Fatma anaua?
IMG_20210513_201000_696.jpg
 
Hahaha let me take you back to 2005!

Kizuri hakiozi.

RED EYE ...

Lisa ni meneja hoteli na ni mwanamke mwoga sana wa kupanda ndege lakini hana namna inapomlazimu afanye hivyo kwasababu ya kuwahi kazi.

Anakwea 'pipa' linaloitwa RED EYE na humo ndani anakutana na kijana handsome anayeitwa Jackson.

Wanateta mambo kadhaa Jackson akionekana mwema kabisa machoni lakini punde baada ya ndege kuacha ardhi, Jackson anaonyesha rangi yake halisi.

Anamwambia Lisa kuwa yeye ni gaidi na wame-plot kumuua kiongozi wa idara ya usalama, hivyo basi Lisa inabidi asaidie kukamilisha zoezi hilo la sivyo baba yake atauawa!

Kiongozi huyo yuko wapi? - pap! - kwenye hoteli anayofanyia kazi Lisa.

Sasa Lisa anapewa simu aongee na wafanyakazi wake kufanikisha zoezi la kumwamisha chumba kiongozi ili akae sight ya kulipuliwa.

Atajinasuaje yeye na kiongozi wa usalama huku akihakikisha usalama wa baba yake?

280c6ba016bc642dbd77f9cd2cc2dd34.jpg
 
SON (2021)

Hivi kuna mipaka kwa mama anayemlinda mwanae??

Angali akiwa mdogo, Laura alifanikiwa kukwepa ibada ya kishetani ambayo ni tamaduni ya familia yao, akakimbia na kuishi mbali kwa usalama.

Hivi sasa ana mtoto wa kiume, David.

Maisha yanabadilika tena na kuwa haihai pale wanafamilia wanapovamia nyumba yake wakimtaka mtoto!

Laura na mwanae wanakimbia huku na kule kusaka usalama. Lakini tangu tukio hilo litokee, kuna kitu kinabadilika katika maisha ya mtoto huyo ....anapatwa na ugonjwa wa ajabu usioelezeka!

Sasa Laura anahaha kumwokoa mtoto wake kwa kufanya matendo ambayo hakuwahi kuyadhania angekuja kuyafanya maishani.

Huku taratibu akijiona anapoteza mpambano ...

d86a6f0f4edd7d78fd820e5732af25cb.jpg
 
FATMA (SERIES)

Akiwa anahaha kumtafuta mumewe alipo, Fatma, mwanamke wa kawaida tu anayejihusisha na kufanya usafi, anajikuta akifanya mauaji bila kukusudia!

Mauaji ambayo yanamlazimu aendelee kuua, kuua na kuua ili a-survive.

Ndani ya muda mfupi tu anajikuta akihama toka kuwa mfanya usafi mpaka muuaji wa mfululizo (serial killer).

Mumewe yupo wapi? Kwanini Fatma anaua?
View attachment 1783596
Hii ni complete?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom