co fm
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,569
- 2,584
Habarini wadau, ningependa kushare na nyinyi humu jf kuhusiana na mkasa wa rafiki yangu ambaye sasa hivi yupo kama haelewi.Alikuwa na mahusiano na binti mmoja hivi kwa miaka kama miwili iliyopita, baadae mahusiano yakawa yameisha. Amekaa baada ya miezi 8 ya mahusiano yao kuisha, yule mwanamke akamwambia amezaa na mtoto ni wake, jamaa alivyoambiwa hivyo akakataa sio kwamba anamkana bali alisema yaani upate mimba hadi kujifungua hujaniambia halafu leo unasema una mtoto wangu hiyo haiwezekani.
Basi wamekaa kama mwaka hivyi jamaa nakuja kugundua yule mwanamke ameolewa na jamaa(mume) ila yule jamaa(mume) anadai yule sio mtofo wake amesingiziwa ila tu kuficha aibu ya yule mwanamke, na yule mwanamke amerudi kwa jamaa(mshikaji wangu) na kumwambia tena huyu mtoto ni wako na baba mlezi hamtaki ni kama ameumbuka. Hebu wadau tushauriane