Mkasa wa Dr. Ulimboka: Inawezekana Kabisa Sio 'Inside Job'!, bali ni 'Smear Campaign'?!

Dr Ulimboka ni raia kama raia mwingine na watu wengi washakumbwa na makubwa zaidi yake. Tanzania ina watu milioni 45 sasa itawezekana vipi mtu mmoja awashughulishe watu wa JAMII FORUMS namna hii? Kuna watu wamekufa na wameteseka zaidi ya huyu mtu mmoja, sasa sielewi kwa nini baadhi ya watu wanataka kuilaumu serikali kwa yaliyotokea

Serikali iko bize kushughulikia hii migomo na jeshi la polisi haliwezi kupeleka resources zake zote kushughulia kesi ya mtu mmoja wakati wengine wanapata taabu zaidi yake.

Hoja za msingi hapa ni 2.

1. Serikali haiwezi kulaumiwa kuwa ilimteka na kumpiga. Tanzania sio banana republic na ni nchi inayoendeshwa na sheria na kama hakuna mwenye ushahidi wa kutosha kuwa serikali ilimteka ulimboka then fikirieni conspiracy theories zingine lakini sio kumteka na kumpiga huyu jamaa. Kuna watu ambao wanaiendesha mbio serikali kama akina Issa Ponda wapo na hakuna aliyewateka wala nini.

2. Jeshi la Polisi hawawezi kulaumiwa kwa lolote. Na sikuona sababu ya mkuu wa polisi kuitisha press conference juu ya Dr Ulimboka. wao wangesema kuwa jalada limefunguliwa na wataishughulikia kesi yake kama mtu mwingine.

Just thinking outside the box

Hoja yako haitoi majibu ya kuhitimisha hili suala bali inatetea mtuhumiwa.

Mimi ningeiheshimu serikali yangu kama ingetoa taarifa tu juu ya kilichomtokea Dr. Ulimboka; kushindwa kufanya hivyo inadhihirisha si udhaifu tu katika utendeji wake bali hata kunahalalisha tuhuma.

Unanifanya nikubaliane na wewe kuwa jeshi la poilsi ni DHAIFU sana linashindwa kutolea maelezo uhalifu uliofanywa kwa raia linaowalinda.

Nisamehe kama nimekuelewa sivyo, ila lawama ni matokeo ya kutowajbika. Pamoja na mengi yanayotokea (akina Ponda) ungenishawishi kama ungetoa mfano hai wa kudhihirisha umakini na uwajibikaji wa jeshi la polisi. Wameingia kwenye siasa za polisi jamii wakati wamejitenga na jamii. Ukiniuliza mimi nawaelewa na nawatambua kuwa poilisi wa watawala na chama tawala.

NAELEWA IMANI YANGU HII INAKINZANA NA WAAMINIFU WA WATAWALA. HIYO HAIBADILISHI MSIMAMO WANGU WALA WAKO NDIVYO ILIVYO
 
Badala ya kumteka Ulimboka wangemteka Issa Ponda, nadhani yeye anaisumbua serikali kuliko hata huyo Ulimboka. Naona Ulimboka ni Mamluki tu wa kuendesha migomo ya madaktari. Kwa kuwa wao hawataki mambo ya kihuni, hua wanamtumia ulimboka kisha yeye anafahamu namna anavyonufaika sema safari hii mambo yakamgeuka akapewa kipigo karibu kuuliwa.
 
kwakweli tusimlaumu mwenzetu, yawezekana katumwa na...... au ni kwasababu yuko nje ya box(tafsiri yangu yuko nje ya tanzania) angekua ndani asingesema hivyo.
 
Pamoja hoja zako zilizo nje ya upeo wako!!! Kiukweli watanzania wengi wanakumbwa na mikasa zaidi ya huyo Ulimboka....lakini hakuna connection ya kupigwa kwao na serikali!!! Ulimboka kapigwa vibaya katika kipindi ambacho kuna mgomo wa madaktari!!!! Achana na huo tu mgomo,yeye ni kiongozi mkubwa wa jumuiya hiyo ya madaktari!!! Kiukweli kajipange upya kwa hoja yako isiyo ya msingi....dizaini we utakuwa mtoto wa kijiongozi flani wa CCM!!!
 
Dr Ulimboka ni raia kama raia mwingine na watu wengi washakumbwa na makubwa zaidi yake. Tanzania ina watu milioni 45 sasa itawezekana vipi mtu mmoja awashughulishe watu wa JAMII FORUMS namna hii? Kuna watu wamekufa na wameteseka zaidi ya huyu mtu mmoja, sasa sielewi kwa nini baadhi ya watu wanataka kuilaumu serikali kwa yaliyotokea

Serikali iko bize kushughulikia hii migomo na jeshi la polisi haliwezi kupeleka resources zake zote kushughulia kesi ya mtu mmoja wakati wengine wanapata taabu zaidi yake.

Hoja za msingi hapa ni 2.

1. Serikali haiwezi kulaumiwa kuwa ilimteka na kumpiga. Tanzania sio banana republic na ni nchi inayoendeshwa na sheria na kama hakuna mwenye ushahidi wa kutosha kuwa serikali ilimteka ulimboka then fikirieni conspiracy theories zingine lakini sio kumteka na kumpiga huyu jamaa. Kuna watu ambao wanaiendesha mbio serikali kama akina Issa Ponda wapo na hakuna aliyewateka wala nini.

2. Jeshi la Polisi hawawezi kulaumiwa kwa lolote. Na sikuona sababu ya mkuu wa polisi kuitisha press conference juu ya Dr Ulimboka. wao wangesema kuwa jalada limefunguliwa na wataishughulikia kesi yake kama mtu mwingine.

Just thinking outside the box

Afisa mmoja wa ngazi ya kati kutoka Idara ya UWT ambaye amedai kuchoshwa na utendaji kazi Idara hiyo amenipa dodoso la kutosha kuhusu tukio zima kwa kuwa ni yeye ndio aliyepangwa kwenye roster ya tukio lile lakini akachomolewa ghafla na wakubwa wake kwa sababu ambazo hakuambiwa! FULL STOP.
 
So sad, kweli wa TZ wered wetu mdogo sana.
na hii ni too low!

Hivi hamuelewi the guy said he was thinking outside the box. Mimi niliingia humu jamvini baada ya kusoma motto ya jamvi yaani MAHALA PA GREAT THINKERS PEOPLE WHO ARE MULTIDIMENTIONAL, PEOPLE WHO ANALYSE ISSUES LOGICALLY WITHOUT BLINKING EYE LIDS. what is happening guys. siyo kila kitu mstari uliyonyooka
mini ninakubaliana kuwa inawezekana [please dont rule out anytthing]
 
napata shida sana kuamini kama ni kweli alipata kipigo alichokielezea....naona kama usanii fulani wenye lengo la kutisha...wengine wasidai haki zao....Mfano namnukuu Dr Ulimboka wakati amefikishwa porini aliwekewa nyasi/majani ikafikia wakati anahema kwa shida....lakini aliweza kuona jamaa wanatoka na kubaki mmoja na baadae naye akaondoka.....na kwa jinsi anavyoeleza kuwa alipigwa sana halafu unajieleza na kuweza kutoka huko porini mpaka barabarani ambapo alipewa msaada haiingi akilini.....siku hizi kuna madawa ya kuvimbisha misuli...ukimwagiwa na Tomato sousi ndio kabisa watu wanapagawa full Mazingaombwe kichwa kimepigwa upanga...
 
Acha kukurupuka.....Tena aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaacha

Afisa mmoja wa ngazi ya kati kutoka Idara ya UWT ambaye amedai kuchoshwa na utendaji kazi Idara hiyo amenipa dodoso la kutosha kuhusu tukio zima kwa kuwa ni yeye ndio aliyepangwa kwenye roster ya tukio lile lakini akachomolewa ghafla na wakubwa wake kwa sababu ambazo hakuambiwa! FULL STOP.
 
napata shida sana kuamini kama ni kweli alipata kipigo alichokielezea....naona kama usanii fulani wenye lengo la kutisha...wengine wasidai haki zao....Mfano namnukuu Dr Ulimboka wakati amefikishwa porini aliwekewa nyasi/majani ikafikia wakati anahema kwa shida....lakini aliweza kuona jamaa wanatoka na kubaki mmoja na baadae naye akaondoka.....na kwa jinsi anavyoeleza kuwa alipigwa sana halafu unajieleza na kuweza kutoka huko porini mpaka barabarani ambapo alipewa msaada haiingi akilini.....siku hizi kuna madawa ya kuvimbisha misuli...ukimwagiwa na Tomato sousi ndio kabisa watu wanapagawa full Mazingaombwe kichwa kimepigwa upanga...

Idiot,
icon10.png
icon10.png
icon10.png
icon10.png
without sense.
 
Dr Ulimboka ni raia kama raia mwingine na watu wengi washakumbwa na makubwa zaidi yake. Tanzania ina watu milioni 45 sasa itawezekana vipi mtu mmoja awashughulishe watu wa JAMII FORUMS namna hii? Kuna watu wamekufa na wameteseka zaidi ya huyu mtu mmoja, sasa sielewi kwa nini baadhi ya watu wanataka kuilaumu serikali kwa yaliyotokea

Serikali iko bize kushughulikia hii migomo na jeshi la polisi haliwezi kupeleka resources zake zote kushughulia kesi ya mtu mmoja wakati wengine wanapata taabu zaidi yake.

Hoja za msingi hapa ni 2.

1. Serikali haiwezi kulaumiwa kuwa ilimteka na kumpiga. Tanzania sio banana republic na ni nchi inayoendeshwa na sheria na kama hakuna mwenye ushahidi wa kutosha kuwa serikali ilimteka ulimboka then fikirieni conspiracy theories zingine lakini sio kumteka na kumpiga huyu jamaa. Kuna watu ambao wanaiendesha mbio serikali kama akina Issa Ponda wapo na hakuna aliyewateka wala nini.

2. Jeshi la Polisi hawawezi kulaumiwa kwa lolote. Na sikuona sababu ya mkuu wa polisi kuitisha press conference juu ya Dr Ulimboka. wao wangesema kuwa jalada limefunguliwa na wataishughulikia kesi yake kama mtu mwingine.

Just thinking outside the box

naomba nikupe jina mkuu kuanzia leo wewe ni IGNORAMUS, uko vizuri.
 
Dr ulimboka ni shujaa daima na ndio maana watu wanamparikia, kama alivyosema mwenyewe ataweka mambo hadharani, tusubiri tutapata ukweli tu,
 
We bwana mi naweza kukulinganisha na mwendawazimu....because you are talking senseless...usanii katika lipi? Tomato nayo hung'oa meno na kucha? Mhhh... hata kama ni uhuru wa kutoa mawazo kwako wewe bado akili hazisomi sawasawa????? napita tu lakini
 
Poleni sana watanzania mliofiwa wakati wa mgomo wa ulimboka.poleni sana watanzania mliokosa huduma/matibabu wakati wa mgomo wa ulimboka
 
Dr ulimboka ni shujaa daima na ndio maana watu wanamparikia, kama alivyosema mwenyewe ataweka mambo hadharani, tusubiri tutapata ukweli tu,

muuwaji mkubwa sana yule,hizi kelele zisizoisha ni damu ya watanzania wasio na hatia inamtafuna
 
Dr ulimboka ni shujaa daima na ndio maana watu wanamparikia, kama alivyosema mwenyewe ataweka mambo hadharani, tusubiri tutapata ukweli tu,

yule ni msaliti mkubwa wa damu ya watanzania na atalaaniwa milele
 
huyo hana uelewa mdogo ni kuwa hana uelewa kabisa huo mdogo ungemsaidia kidogo
Hiii ndo ushahidi kua wabongo bado tupo mbali saana katika kutafakari mambo huyu jamaa hajui kabisa analo changia na madhara yake.Angalia madhara ya Rushwa ndogo ndogo kama kanga, Tshirt na sherehe kubwa ambazo kipindi hicho ziliitwa TAKRIMA na kubalikiwa na viongoz umezaa vingozi mafisadi coz wametokana na mfumo wa Rushwa hivyo wakiwa madarakani wanarudisha pesa yao kwa namna yoyote madhara yake kila Raia sasa hivi anajua kua kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake so jamii nzima HOSPITALINI,MASHULENI,BARABARANI,BANDARINI,MAHAKAMANI yaani kila sehemu kama huna ndugu bila Rushwa hufiki kokote kifupi niseme TAKRIMA ZA UCHAGUZI ZIMEZAA MFUMO FISADI.Tuje issue ya ulimboka madhara ya vitendo vya serikali kuwateka Raia wake (kama kweli make nachukulia kauli ya dk Ulimboka mwenyewe kua anamtambua vizuri afisa wa serikali aliemteka Lakini pia kule zanzibar kiongozi wa uamsho awali polisi ilikana baada ya wananchi kutishia kutembeza mapanga mitaani wakamuachia) madhara yake ni kua Hata raia wenyewe wanaiga unyama wa namna hii tena kuliko serikali yenyewe kama walivyoiga Takrima mfano halisi Vitendo vya kuwateka watu na kupotezwa kisha kukutwa wamekufa vimeongezeka lakini pia mauaji ya KITOVU CHA USALAMA MWANZA (RPC MWANZA) ni mfano tena mpaka sasa polisi hawajui nani kafanya ndo maana nikasema kua Raia wakiiiga wanapanga vizuri make akina ulimboka na Shakh wa Zanzibar iliwachukua Raia masaa tu kuwajua wliofanya unyama ule hadi mwanahalisi ikafungiwa kwahiyo serikali Lazima ilaumiwe kwa namna yoyote ile kwani Ulimboka kaitaja lakini ndie Baba wa nyumba ambae wanae wanamhisi kushiriki umafya ambao tayari na watoto wameiga kwahiyo ukiona wnaolaumu wajinga ujue ipo siku jamii nzima ikishakua ya kimafya hata ww au katika nduguzo hamtasalimia sawasawa na vita ya wenyewe kwa wenyewe inaua aliekuwemo na asie kuwemo ndege ikiachia Bomu toka angani likfika ardhini linaua nyasi,sisimizi wanyama hadi wanadamu halichagui Mungu isaidie Tz tusifike huko hapa panatosha.
 
Back
Top Bottom