Mkasa ulionikuta COCO beach usiku

Mkasa ulionikuta COCO beach usiku

Mod post kama hivi za zakutunga na kuchafua jeshi letu.It's the usual complaint system does good, system is abused.

jamani hakusema kwamba ni polisi waliofanya hivyo, amesimulia yaliyomtokea, na mwisho akasema polisi waongeze nguvu maeneo hayo yawezekana ni matapeli. sijaona mahali jeshi limechafuliwa "system will remain to be a system till end of the world" nawakilisha.
 
Wewe una gari na unatembea sehemu kama hizo usiku huna bastora!! hata sime?
Mambo ya kutishiana kwangu no. Na nnapiga picha kama ingekuwa ni mimi angekiona cha moto. Huyo alikuwa ni polisi sio jambazi kwani ingekuwa jambazi angekuomba leseni kwa kazi gani? tena anashika na kukurudishia!! hao ni vijana wa mangu hawana kipya.

ndugu majambazi pia husoma alama za nyakati polisi hawezi uliza leseni usiku wana maswali yao kwa muda huo, hiyo ilikuwa ni mis-target kiukweli alikuwa na nia mbaya ila kuna mazingira yalisitisha azma yake.
 
jamani hakusema kwamba ni polisi waliofanya hivyo, amesimulia yaliyomtokea, na mwisho akasema polisi waongeze nguvu maeneo hayo yawezekana ni matapeli. sijaona mahali jeshi limechafuliwa "system will remain to be a system till end of the world" nawakilisha.

Jambazi anauliza driving licence.Think twice
 
Jtahidi siku nyingine anakupa kitambulisho usome namba!ndo muanze kuchenjiana Hongera kwa ujasili.

Huo ujasiri ungemponza ...kiutani utani angepoteza maisha... jamaa wa siku hizi bangi na pombe sana kuua mtu si shida... mi pia yaliwahi kunikuta ndo tangu hapo nawaonaga wote ni vichaa.

Believe me wote ni vichaa, mwingine alimfyatulia risasi mwalimu kwenye ATM na akamuua... kisa walibishana kidogo huyo ticha alikuwa na pikipiki bila Helmet...
 
Jambazi anauliza driving licence.Think twice

mkuu sijasema jambazi nimesema raia mwenye nia mbaya kwani hata watoto, vibaka, vidokozi na wengineo sikuhizi wana bastola kwa akili nyepesi jambazi coco beach afuate nini?
 
pole sana utani utani mtu unaweza kupoteza maisha hivi hivi...mwisho wanasema tumeua jambazi sugu
 
mkuu sijasema jambazi nimesema raia mwenye nia mbaya kwani hata watoto, vibaka, vidokozi na wengineo sikuhizi wana bastola kwa akili nyepesi jambazi coco beach afuate nini?

Jibu Polisi??
 
Heeee!!! Hata kukupa pole kwa mkasa huo!!! Ana roho kubwa mwanamke mwenzangu

Weee...pole ya nini sasa? Yan mimi baada ya kufika nyumbani vibao,kucha,meno vingemhusu...kibao kikinigeukia basi ila ningemtia adabu
 
We muongo sana wewe leseni mpya iki expiry ukienda ku renew unaiacha na unapewa mpya...eti ukatoa leseni mbili?ndo maana JK anasema mna kiwanda cha kuzalisha uongo
 
We muongo sana wewe leseni mpya iki expiry ukienda ku renew unaiacha na unapewa mpya...eti ukatoa leseni mbili?ndo maana JK anasema mna kiwanda cha kuzalisha uongo

Mkuu kwa nia njema tu, naomba uni-pm namba yako, halafu mimi nitakutumia picha ya leseni zangu zote mbili kupitia whatsapp ili uamini
 
pole kiongozi,mengi yanatokea eneo hilo la coco,watu tu hawajui
 
Instagram itawauwa yani mnafunga safari kwenda coco beach kupiga picha za instagram ona kidogo ufe kizembe
 
watu bna amesema alienda kupiga picha za instagram
 
Inawezekana mtoa mada alikutana na matapeli au majambazi waliotaka kumpora gari akijua yuko peke ake baada ya kukuta wapo wengi ndo huyo tapeli au jambazi akazuga anataka leseni.

Raia unapokamatwa na police kama ni haki yako kudai kitambulisho na pia ni haki yako kujua kosa ulilokamatiwa, Raia wengi ni waoga wanaposikia neno Police kiasi kwamba hata akibabaishwa yupo radhi atoe hela ili aepukane na usumbufu.

Baadhi ya matapeli wameshaligundua hilo ndo mana wanatumia mwamvuli wa polisi kujifanya na wao ni watendaji wa jeshi kitu ambacho kinalipaka jeshi la polisi matope.
 
Sidhan kama polisi alifunzwa miezi tisa ccp na kufundishwa matumizi ya silaha anaweza kukufanyia kitu kama hicho, siwatetei ila huo ni mtazamo wangu.
 
Back
Top Bottom