Mkasa mfupi, mzito wa mapenzi

Pole sana mwanangu Ethan Cruz dah




Wanaume mkoje lakini!? Yaani mke anakuheshimu na kukuamini halafu wewe unatake advantage ya uaminifu wake kwako kuwatafuna wadogo zake....... kweli!?

Wanawake hebu tukutane hapa kwa dhararu tuone jinsi ya kuboresha ule mpango wetu wa vidumu
Makiseo Shunie Nakadori Nuzulati mimi sina wivu wa mapenzi kwa mwanaume asiyejielewa lakini kwa hili la kubaka watoto wa kike ndani ya nyumba yangu naweza kuingia kwenye record ya kidumu cha petrol

Mwanaume kama huyu hatoishia kutafuna mashemeji zake tuu, hata watoto wake wa kuzaa atawatafuma
Cc mrangi Come27 Lee Bujibuji Asprin Emmanuel Kasomi
Binti hana msimamo anadhani ngono itampa maisha bora zawadi atakayopewa ni ukimwi na huyo Mwanaume aliyetenda hayo yaani natetemeka kwa hasira
 
Nakumbuka rafiki yangu kipenzi walikuwa wanaliwa na shemeji yao anawapima ngoma ukikutwa huna unaambiwa usilete kifaa humu ndani .
Koma .
Unapigwa fimbo wee halafu unapewa matunzo so shem wao anawala wote wanne .
Ukiona kamla dada yao ujue ni mimba akazae tu basi.
Wakimaliza shule anawatafutia kazi nzuri na anaendelea kupigwa miti mpaka aolewe .
Anahakikisha hawapi maradhi wala mimba .
Wadada wawatu ni wazuri wanaona ni haki kisa wanashida .
Pisi kali ni miumboo nawamepangiliana siku dada hajui kabisa
 
Shida ipo hivi binadamu ni binadamu ukamwambia kwa uzuri akakuona mmbaya bora utoe upewe raha,akisanuka unadai huniamini mie ndugu yako basi nilikubali kisa sina msaada
 
Shida ipo hivi binadamu ni binadamu ukamwambia kwa uzuri akakuona mmbaya bora utoe upewe raha,akisanuka unadai huniamini mie ndugu yako basi nilikubali kisa sina msaada
Ukute shemeji wakati anamuoa dada hakumkuta na bikra so anaamua kutoa sild moja moja za mashemeji zake kiroho safi
Kama Kuna shemeji mwingine yupo darasa la sita ajiandae baada ya miaka miwili anakuja kusoma secondary mjini.
 
Mmhhh this is very sad.Umekubali kujidhalilisha wewe na familia yako kwa sababu za kipuuzi.Bora hata ungerudishwa kijijini kuliko kujirahisisha kwa shemeji yako namna hii.

Kuna siku dadaako atajua tu hata kama unaficha, kila kitu kina mwanzo na mwisho.Duniani hakuna siri na msipokuwa makini mtabeba mpaka mimba wote!

Dadaako ni dadaako damu ni nzito kuliko maji mwambie ukweli hata kama hatakuamini japo majeraha tayari ni makubwa kwasababu mmeshalala na shemeji yenu wote wawili lakini kuna litakalomkuta mbeleni atajutia mwenyewe.Yaani ungesema mapema mngetegeshea hata mtego amnase ile awafume ghafla ili ajionee mwenyewe dhamira yake...

Kumbuka nyinyi ni ndugu huyo mwanaume ndo wakuja tu lakini dah this is messed up,yaani hata ufanye nini all of you need to live with this mess for the rest of ur lives at so young age,its a misery.
 
Duh. Generational curses zina endeleza hivi. Sisi wanaume tuna feli wapi na hizi hamu zetu jamani? Hakuna anae fikiria "rape charges" ata maana hatuwezi sema ilikuwa consensual toka mwanzo.

Binti, bado una maisha marefu mbele yako. Bila cheti cha shule itakuwa ngumi kuji inua haswa kutokana una mtegemea dada yako. Alicho fanya shemeji wako sio sahihi. Hata kama umezowea sasa, lazima ujitoe kwenye mazingira hayo chap chap. Juu chini lazima uende boarding ujitahidi ufaulu huko
 
Ukute shemeji wakati anamuoa dada hakumkuta na bikra so anaamua kutoa sild moja moja za mashemeji zake kiroho safi
Kama Kuna shemeji mwingine yupo darasa la sita ajiandae baada ya miaka miwili anakuja kusoma secondary mjini.
Wao wanajuana nahawako tu olevel pia chuo
 
Mimi ni msichana mwenye miaka 17 nipo form three (kidato cha tatu) katika shule moja hapa mjini. Nimekuja huku leo ili kuomba ushauri mimi ninasoma shule ya day na ninaishi kwa dada yangu ambae ameolewa,Tatizo ni kwamba dada yangu huwa anaingia kazini usiku hivyo kuniacha mimi na mumewe nyumbani pamoja na watoto wake toka naanza form one.

Ilikuwa ivyo ila nilipoingia kidato cha tatu siku moja shemeji alainifauata chumbani wangu na kuanza kunibembeleza tuwe na kimapenzi nilikataa mwanzoni cz nilikuwa sijawahi kufanya mapenzi.siku iliyofuata alikuja tenah na akaniambia nikikataa atamwambia dada yangu kuwa huwa naleta wanaume kwenye nyumba yake na dada anamuamini sana shemeji kuliko mimi hivyo atanifukuza nirudi kijijini na nanitakosa masomo hivyo nikamakubalia akaanza kuwa na mimi kimapenzi huku akainaahidi kuficha siri na kunipatia zawadi na pesa.

Ila juzi kunamdogo wangu wa form one anamiaka 14 alikuja kusalimia likizo hivyo tukawa nae hapo nyumbani juzi mimi nilipomsindikiza dada usiku ile aende kazini usiku kama kawaida yake shemeji nae akanipigia sim niende kwa rafiki yake nikamletee docment zake za kazini Mungu mkubwa ile anakata sim nikamuona rafiki yake huyo akaniambia hana document yeyote ya shemeji bhasi mimi nikawahi nyumbani kufikia namkuta shemeji yuko na mdogo wangu chumbani wanafanya mapenzi iliniuuma sana lakin shem alisema tuyamalize dada asijue kwani itakuwa aibu kubwa na sie wote tutafukuzwa.... akatuahidi kutupa shilingi milioni moja ili tusiseme.

Hakuishia hapo akamwambia dada huyu mdogo wangu anatakiwa aje akasome mjini ili afaulu masomo vizuri kwani kijijini hakuna walimu sasa jana ndio kaenda kushuhulikia uhamisho ili mdogo wangu aje kusoma hapa hivyo atakuwa kimapenzi na dada yangu mimi mwenyewe na mdogo wangu dada hajui lolote .....nishaurini nimwmbie dada yangu hali halisi, nikae kimya nimalize masomo yangu niondoke ,,,au nitoreke hapa kabisa wapendwa nipo kwenye kiza kinene hata shuleni sielewi kitu tangu huu mkasa.

HOODBOY
Pole sana dogo..hi ndio shida ya umaskini. Kwa vile najua nguvu ya mapenzi..nashauri muondoke hapo. Kama mdau hapo juu alivoshauri..omba kuhamia boarding...ikiwezekana..nenda kaongee na.mwalimu unaemwamini kuhusu unayopitia..wao ndio waweke shinikizo la nyie kukaa boarding..hata ikibidi kusema sikuhizi haufanyi vizuri ktk masomo au kwamba unamarafiki wabaya..sababu ziko nyingi. Naamini dada ataelewa..na kufanya.mpango wa kuwahamisha. Ukithubutu kumwambia dadako..kaa tayari kukosa undugu na masomo.
 
Back
Top Bottom