Mkapa,Warioba na Kikwete walienda kufanya nini ikulu?

Mussa2000

Senior Member
Jul 13, 2011
168
32
Hivi karibuni tulisikia kua hao jamaa walitembelea ikulu na kuongea na magu je inawezekana hilo limechangia kupungua kasi ya kutumbua majipu? maana tulitarajia majipu kama tanesco,tcra na haya makampuni ya simu yengefuata kwa kutumbuliwa haraka naona kasi imepungua sana tu.
 
hahaha changanya na za kwako... hizi vurugu zote za utumbuzi wa majibu haziwez kufika mbali hata hivyo ni kama hazipo tena

ccm ni ile ile

kulindana
kubebana
kulipana fadhila...

hakuna kitu kipya,,
 
Ninavyo hisi Mimi walienda kunambia asitishwe na USA wala eu awaachie waeke vikwazo asiogope nchi ni tajiri ina uwezo wa kukabiliana navyo
 
hahaha changanya na za kwako... hizi vurugu zote za utumbuzi wa majibu haziwez kufika mbali hata hivyo ni kama hazipo tena

ccm ni ile ile

kulindana
kubebana
kulipana fadhila...

hakuna kitu kipya,,
Aisee hadi inatia hasira.
 
Magu hawezi kufanya kitu kipya tofauti na watangulizi wake...amini hvyo.
 
Back
Top Bottom