NakuliliaTanzania
JF-Expert Member
- Sep 24, 2007
- 555
- 7
hahaha balozi ali karume anaishi kwenye dunia yake mwenyewe, hamuongopi muungwana, akimletea longo longo ataenda kurithi urais wa zanzibar baada ya kaka yake, kisha aone nani atakuwa zaidi?
JAmani katika pekua pekua ya balozi zetu nimekutana na 'kioja' hiki kwenye website ya ubalozi wetu kwenye nchi kama Ujerumani,
Nikajiuliza maswali mengi mno? Hakuna wa kuangalia hii website tangu 2005?
Ama kwa sababu zao bado 'wanautambua' utawala uliopita?
ama ndo hivyo tena hakuna anayejali?
STATUS: United Republic with an executive President
PRESIDENT: H.E. Benjamin William Mkapa; b Nov. 12, 1938; in office: Nov. 23, 1995
HEAD OF GOVERNMENT: Prime Min. Frederick Sumaye; in office: Nov. 28, 1995 RULING PARTY: Chama cha Mapinduzi (CCM)
NATIONAL EMBLEM:
http://www.tanzania-gov.de/article2.html, accessed 12.05EAT.
Hivi inakuwaje watu wanashindwa kufuatilia Website yao ikiwa kila siku wanakwenda kazini?(siku Tano kwa Juma).Ina maana wao wenyewe hawaitembelei website hiyo?.Sasa kama wanashindwa kufanya up todates kwenye website yao haina maana ya kuwepo!.Ubalozi huo ni mfano tu wa madudu yanayofanywa na Watendaji wetu,huko Balozini,hiyo ni ndogo kuna makubwa na ya ajabu kuliko hayo.Aibu tupu!!!
Moja, hawaendi kazini. Wanakwenda kupasha viti joto. Mbili, watanzania hatuna muda wa kufanya kazi. Mkapa aliwahi kusema wakati fulani tumekalia majungu na uvivu.
Usije ukakuta ya mwaka huu 2023 inasomeka:JAmani katika pekua pekua ya balozi zetu nimekutana na 'kioja' hiki kwenye website ya ubalozi wetu kwenye nchi kama Ujerumani,