Mkapa Rais, Sumaye PM-Ubalozi wetu Ujerumani

NakuliliaTanzania

JF-Expert Member
Sep 24, 2007
555
7
JAmani katika pekua pekua ya balozi zetu nimekutana na 'kioja' hiki kwenye website ya ubalozi wetu kwenye nchi kama Ujerumani,

Nikajiuliza maswali mengi mno? Hakuna wa kuangalia hii website tangu 2005?
Ama kwa sababu zao bado 'wanautambua' utawala uliopita?

ama ndo hivyo tena hakuna anayejali?

STATUS: United Republic with an executive President
PRESIDENT: H.E. Benjamin William Mkapa; b Nov. 12, 1938; in office: Nov. 23, 1995

HEAD OF GOVERNMENT: Prime Min. Frederick Sumaye; in office: Nov. 28, 1995 RULING PARTY: Chama cha Mapinduzi (CCM)
NATIONAL EMBLEM:

http://www.tanzania-gov.de/article2.html, accessed 12.05EAT.
 
hahaha balozi ali karume anaishi kwenye dunia yake mwenyewe, hamuongopi muungwana, akimletea longo longo ataenda kurithi urais wa zanzibar baada ya kaka yake, kisha aone nani atakuwa zaidi?
 
Kumbe? Mi nilikuwa najiuliza kama watakuwa wanawapa reference watu wengine kwenye hiyo website maana naona pia kuna matangazo ya vivutio vya utalii nk...je watapata picha gani?
 
Hivi inakuwaje watu wanashindwa kufuatilia Website yao ikiwa kila siku wanakwenda kazini?(siku Tano kwa Juma).Ina maana wao wenyewe hawaitembelei website hiyo?.Sasa kama wanashindwa kufanya up todates kwenye website yao haina maana ya kuwepo!.Ubalozi huo ni mfano tu wa madudu yanayofanywa na Watendaji wetu,huko Balozini,hiyo ni ndogo kuna makubwa na ya ajabu kuliko hayo.Aibu tupu!!!
 
JAmani katika pekua pekua ya balozi zetu nimekutana na 'kioja' hiki kwenye website ya ubalozi wetu kwenye nchi kama Ujerumani,

Nikajiuliza maswali mengi mno? Hakuna wa kuangalia hii website tangu 2005?
Ama kwa sababu zao bado 'wanautambua' utawala uliopita?

ama ndo hivyo tena hakuna anayejali?

STATUS: United Republic with an executive President
PRESIDENT: H.E. Benjamin William Mkapa; b Nov. 12, 1938; in office: Nov. 23, 1995

HEAD OF GOVERNMENT: Prime Min. Frederick Sumaye; in office: Nov. 28, 1995 RULING PARTY: Chama cha Mapinduzi (CCM)
NATIONAL EMBLEM:

http://www.tanzania-gov.de/article2.html, accessed 12.05EAT.

!Halafu Jakaya akiulizwa kwa nini tanzania ni masikini anajibu eti hata mimi sielewi. Umepata jibu moja hapo, si wananchi si serikali, bado tumelala usingizi wa pono.!!
 
Hivi inakuwaje watu wanashindwa kufuatilia Website yao ikiwa kila siku wanakwenda kazini?(siku Tano kwa Juma).Ina maana wao wenyewe hawaitembelei website hiyo?.Sasa kama wanashindwa kufanya up todates kwenye website yao haina maana ya kuwepo!.Ubalozi huo ni mfano tu wa madudu yanayofanywa na Watendaji wetu,huko Balozini,hiyo ni ndogo kuna makubwa na ya ajabu kuliko hayo.Aibu tupu!!!

Moja, hawaendi kazini. Wanakwenda kupasha viti joto. Mbili, watanzania hatuna muda wa kufanya kazi. Mkapa aliwahi kusema wakati fulani tumekalia majungu na uvivu.
 
Mi nadhani uvivu wa hivyo umevuka mipaka jamani.....hakuna uvivu mbaya kama wa kufikiri....nimeuliza tena sijui kama waTanzania wanaoishi huko pamoja na nchi jirani huwa wanapataje huduma hapo ubalozini ikiwa hata website iko hivyo? Hapo kwenye passport inakuwaje?
 
Nashanga sana.
Tovuti nyingi za sirikali hazijafanyiwa mabadiliko kwa muda mrefu sana. Kuna nyingine zina taarifa ambazo hazijabadilishwa tangu mwaka 2003! Sasa sijui hawa wanaosimamia taarifa hizi huwa wanafanya kazi gani wawapo ofisini!
Aibu!
 
Ni uzembe tu. Hawa watu wanapewa hizi balozi kwa sababu ya ushoga tu. They dont give a damn about the information. Sasa kama information kuhusu uongozi wa juu kabisa wa nchi uko hivyo, habari nyingine za kiuchumi zikoje? Na hili siyo jukumu tu la wizara ya mambo ya nje, bali linalenga moja kwa moja ikulu..because in practice it is the president that directs foreign policy. ikulu pale kuna kitengo cha communication. what are they communicating? wana coordinate vipi effectiveness ya 'mitandao ya serikali?

They can certainly borrow a leaf from Thabo Mbeki ( I am no fan of Thabo Mbeki but i give credit where is due). Mbeki is an intellectual president ..ingawa kuna wakati ana ubishi wa kijinga, who has mastered the art of using the internet to communicate. ukiangalia website ya ANC huwezi kuilinganisha na mauzauza ya website ya ccm. ukibofya website sa serikali ya afrika kusini na idara zake, utaona hakika wenzetu wako serious.
 
JAmani katika pekua pekua ya balozi zetu nimekutana na 'kioja' hiki kwenye website ya ubalozi wetu kwenye nchi kama Ujerumani,

Nikajiuliza maswali mengi mno? Hakuna wa kuangalia hii website tangu 2005?
Ama kwa sababu zao bado 'wanautambua' utawala uliopita?

ama ndo hivyo tena hakuna anayejali?

STATUS: United Republic with an executive President
PRESIDENT: H.E. Benjamin William Mkapa; b Nov. 12, 1938; in office: Nov. 23, 1995

HEAD OF GOVERNMENT: Prime Min. Frederick Sumaye; in office: Nov. 28, 1995 RULING PARTY: Chama cha Mapinduzi (CCM)
NATIONAL EMBLEM:

http://www.tanzania-gov.de/article2.html, accessed 12.05EAT.
Usije ukakuta ya mwaka huu 2023 inasomeka:
1. Rais JAKAYA MRISHO KIKWETE

2. W/Mkuu MIZENGO K. P. PINDA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom