Mkapa na Mali alizomiliki

Mkapa na Mali alizomiliki

Status
Not open for further replies.
Nyerere ndo alikuwa kiongozi wa watu, hadi maisha aliyoishi yaliakisi watu aliowaongoza. Unakuwa na makasri kila sehemu lakini asilimia kubwa ya wale unaowaongoza wanasotea mlo wa siku, and you are comfortable with that.
Baada ya Nyerere viongozi wote waliofuatia wamekuwa WACHUMIA TUMBO TU. Ndio sababu wako tayari kushambulia wenzao kwa kutumia SILAHA ZA KIVITA ili waendelee kusalia madarakani.
 
Siwalazimishi IMANI YANGU....

Naam WALIBERALI mmechagua njia zenu za kuuishi ULIMWENGU na mko huru....

Kumsema MAREHEMU SI Jambo jema HATA kwa moyo wako.....

Kumuaibisha MAREHEMU si Jambo la afya hata kwa HISIA ZAKO NA ZA WENGINE.....

Kupenda kuwatia JAZBA watu wa vipato vya CHINI kwa kuwaaaminisha ADUI yao ni WALE WALIONEEMESHWA si BUSARA......

Kupenda sana KUYATAMANI MAISHA YA WATU WAKWASI huku mwenzangu na miye Ukiwa na maisha ya chini ni KuJITIA CHUKI MOYONI,KUJIKATAA,MSONGO WA MAWAZO na hata mwanzo wa kuwa na SHINIKIZO LA DAMU....

MUNGU hajamuacha kiumbe yeyote......
TUKIIANGALIA NCHI KWA POSITIVE MIND tutaifaidi PUMZI ya MUNGU kwa VILE TULIVYO....kwa vile ALIVYOTUUMBA .....

Uko HAI....
Una MACHO...
Una MASIKIO....
Una NGUVU........
Huna MTINDIO WA UBONGO.....
Huna ulemavu wa viungo.......

Lakini BADO unamuona ALIYELALA KWENYE BARAFU USIKU HUU WA MUNGU kuwa ni MTU MBAYA....

So sad.
 
Kabla ya kuanzishwa
1. LOAN BOARD ungeenda vyuo vikuu ukaona jinsi vilivyojaa watoto wa matajiri huku watoto wa maskini wakishindwa kulipa Ada
2. Kutoka Dsm hadi Mtwara/ Dsm hadi Mwnza barabara za Vumbi unachukua mpaka siku 3 njiani!
......bila HESLB usingewaona MABLAZAMENI NA MASISTADUU WAKILA ICE CREAM MLIMANI CITY NA CINEMAX daaah
 
Kwa unafiki nadhani nyiye ndio mnaongoza. Huyo Nyerere mngelikuwa mnampenda mbona hamjamwinua hata mwanaye mmoja tu kuwa kiongozi?? Ati nchi nzima walilia, yaani kasoro Butiama? Mnashindwa hata kumchagua mtoto wake mmoja tu awe diwani?? Shame on yu

Kwani nchi ni mali ya urithi tukasema tukikupenda wewe na mwanao tumpende hata kama mpuuzi..

Wanae wenyewe hawaelewani.. jimbo moja wanashindana wao kwa wao wawili...
 
Mahmoud Ahmadinejad alikuwa Rais wa Iran ameweza hayo.
Mkuu hao kina Ahmednejad wao ni watawa...ukienda miji yao Mashhad na Tehran jamaa wanaishi ulimwengu mwingine kbsa kiufupi BARAZA KUU LA NCHI NI LA dini wanawaprefer ile mijitu iliyoipa mgongo dunia.....
 
Mkapa wananchi hatujaguswa na msiba wake sababu ya ufisadi wa awamu yake... nyumba za serikali, mashirika ya uma na viwanda vya uma aliviuza bila kujali ajira za wananchi zinapotea
Kilichomshtua Baba wa Taifa aliyetembea nchi nzima akimfanyia kampeni Hayati Benjamin William Mkapa hadi akaukwa Urais ni uporaji wa jengo lililokuwemo Benki ya Biashara ya Taifa (NBC) lililokuwa Morogoro Road na umilki wake kuwekwa mikononi mwa First Lady. Kwa kweli Mwalimu pamoja na wazalendo tulishtuka sana.
 
Naona mkakati wa kuchafua jina la Mzee Mkapa.
Hata kama kweli hivyo vingekuwa vyake, ni vimali vidogo tu kulinganisha na wenye mali.

Mtu kafanya kazi za matawi ya juu kwa miaka takriban 40,halafu asiwe na pesa?

Acha mawazo yako ya kimasikini wewe!
 
Mzee Mkapa ALICHAFULIWA SANA NA wanamtandao......

Ni chuki Juu ya chuki DHIDI YAKE....
 
Hamnaaa hayaaaa we kabilaaa ganiii ujafundwaa maana ya.msibaaaa mtuachee kabisaaaaaaa

Mlitakaaaaaa amilikii.MSONDO NGOMA BAND AMA MLITAKA.AMILIKII NANII ZENU
ALLHA ANA FAMILIA KAMA YENU SEMA.MMEPOTEA TU MWENZENU KAWAHI NYAKATI
 
Kwani nchi ni mali ya urithi tukasema tukikupenda wewe na mwanao tumpende hata kama mpuuzi..

Wanae wenyewe hawaelewani.. jimbo moja wanashindana wao kwa wao wawili...
Swali hilo akikujibu nitag
 
Mtu kawa balozi,Mbunge,waziri, Rais wa nchi halafu unategemea kote huko atoke kapuku tu.

Sugu ana miaka 10 tu bungeni ila ana hotel itakuwa Mkapa?
Sugu tunamstaafisha Oktoba. Miaka 10 inamtosha
 
Hivi inawezakanaje umalize miaka yako kumi kama rais wa nchi halafu urudi tena mtaani na maisha yako yaleyale uliyokuwa nayo kabla ya urais?
Wewe huwezi na wengi wetu hawawezi kufanya hivyo.
Labda tuongelee kuhusika kwake na mauaji ye Pemba.

Mleta mada ana umasikini wa fikra. Jamaa kaingia kwenye maisha ya kipato kikubwa (kazi ikulu, wizara ya mambo ya nje, balozi na Rais kwa miaka 10) na kisha kuwa mwekezaji - halafu awe hana kitu. Watu wa namna hii ndio humlaumu JKN kwa kutokuwa na mali pia.
 
Mshahara wake na marupuruou mengine na mediation role na foundations zake ni lazima awe na mali. Mnataka awe maskini? Kipato cha urais tu kilimtosha kuwa billionaire achilia mbali kuwa amekuwa na vyeo toka akiwa kijana mdogo. Yaani hata suwaelewi kabisa.

Binafsi ningekuwa yeye hayo makazi ya mtwara Masasi kwao ingekuwa ni hatari kabisa. Mbona anamiliki vya kawaida tu huyo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom