Mkapa na Mali alizomiliki

Mkapa na Mali alizomiliki

Status
Not open for further replies.
Hiyo hotel hapo kariakoo watu kibao wana uwezo wa kuimiliki acha wivu na akili za kimasikin.. kwa taarifa yako nyumba South africa ni bei rahic sana.
 
Mkapa wananchi hatujaguswa na msiba wake sababu ya ufisadi wa awamu yake... nyumba za serikali, mashirika ya uma na viwanda vya uma aliviuza bila kujali ajira za wananchi zinapotea
Taarifa ndugu, Taarifa!! Usiseme ati wananchi hatujaguswa na kifo cha Mh. Mkapa. Sema wewe hujaguswa kwa sababu ya roho mbaya uliyo nayo weye. Hakuna asiyeguswa na kifo cha binadam yeyote sembuse kiongozi wake?? Alikutenda nini weye hata ukafurahia kifo chake? Je, umekipata alichokuibia kwa kifo chake?? Jamani; vaeni pia mioyo ya nyama
 
Hivi inawezakanaje umalize miaka yako kumi kama rais wa nchi halafu urudi tena mtaani na maisha yako yaleyale uliyokuwa nayo kabla ya urais?
Wewe huwezi na wengi wetu hawawezi kufanya hivyo.
Labda tuongelee kuhusika kwake na mauaji ye Pemba.
Binadamu tumeumbwa na kutolizika!, Rais aliyemaliza muda wake na familia yake wanatunzwa na nchi mpaka kufa kwao, matibabu, nusu ya mshahara wa Rais aliyeko madarakani, n.k. Kwangu mimi mtu akisha hakikishiwa hayo yote ingefaa akajikita zaida kulitumikia Taifa, na hayo ya kujihangaikia yangefaa kuachwa!.
 
Taarifa ndugu, Taarifa!! Usiseme ati wananchi hatujaguswa na kifo cha Mh. Mkapa. Sema wewe hujaguswa kwa sababu ya roho mbaya uliyo nayo weye. Hakuna asiyeguswa na kifo cha binadam yeyote sembuse kiongozi wake?? Alikutenda nini weye hata ukafurahia kifo chake? Je, umekipata alichokuibia kwa kifo chake?? Jamani; vaeni pia mioyo ya nyama

Sisi wengine sio wanafiki niseme nimefurahi alivyotutendea.. mbona nyerere tulilia nchi nzima.. ukiwa mwizi hata ukichomwa moto watu hawauzuniki..

Je wezi wanavyochoma moto mtaani kwako watu huwaga wanalia ? Maana kifo ni kifo
 
Hivi inawezakanaje umalize miaka yako kumi kama rais wa nchi halafu urudi tena mtaani na maisha yako yaleyale uliyokuwa nayo kabla ya urais?
Wewe huwezi na wengi wetu hawawezi kufanya hivyo.
Labda tuongelee kuhusika kwake na mauaji ye Pemba.
Ni baba wa Taifa tu aliweza . Lile apartment ilala ni.matata binafsi nimehudhuria arusi mle mara kadhaa.yale yalikuwa utekaji nyara mali za umma Mungu amrehemu huko nasi twafuata ila binafsi sijawahi kushobokea sera zake marehemu.
 
Sisi wengine sio wanafiki niseme nimefurahi alivyotutendea.. mbona nyerere tulilia nchi nzima.. ukiwa mwizi hata ukichomwa moto watu hawauzuniki..

Je wezi wanavyochoma moto mtaani kwako watu huwaga wanalia ? Maana kifo ni kifo
Kwa unafiki nadhani nyiye ndio mnaongoza. Huyo Nyerere mngelikuwa mnampenda mbona hamjamwinua hata mwanaye mmoja tu kuwa kiongozi?? Ati nchi nzima walilia, yaani kasoro Butiama? Mnashindwa hata kumchagua mtoto wake mmoja tu awe diwani?? Shame on yu
 
Hivi inawezakanaje umalize miaka yako kumi kama rais wa nchi halafu urudi tena mtaani na maisha yako yaleyale uliyokuwa nayo kabla ya urais?
Wewe huwezi na wengi wetu hawawezi kufanya hivyo.
Labda tuongelee kuhusika kwake na mauaji ye Pemba.
Nyerere alikosea sana kusema eti kuwa kiongozi ni lazima uwe masikini. Ni masikini gani utampa urais wa nchi, uwaziri au ukurugenzi wa shirika halafu asiibe huku akijua kuwa akiondoka masikini jamii hiyo hiyo itaenda kumcheka kuwa ni mjinga? Mleta mada tukimpa urais au uwaziri na ni masikini kweli ataondoka kama alivyoingia aje huku mtaani hana kitu?
 
Kabla ya kuanzishwa
1. LOAN BOARD ungeenda vyuo vikuu ukaona jinsi vilivyojaa watoto wa matajiri huku watoto wa maskini wakishindwa kulipa Ada
2. Kutoka Dsm hadi Mtwara/ Dsm hadi Mwnza barabara za Vumbi unachukua mpaka siku 3 njiani!
 
Hivi inawezakanaje umalize miaka yako kumi kama rais wa nchi halafu urudi tena mtaani na maisha yako yaleyale uliyokuwa nayo kabla ya urais?
Wewe huwezi na wengi wetu hawawezi kufanya hivyo.
Labda tuongelee kuhusika kwake na mauaji ye Pemba.
Nyerere aliacha mali kiasi gani baada ya kutawala kwa miaka 20 na zaidi?

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom