Alie kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Mkapa) hii ndio moja ya hotel aliomiliki, pia kuna jengo moja pale ilala limefanywa Apartments hotel na mmiliki inasemekana ni mkewe.
Rais mstaafu huyu Mungu Amrehemu, katika utawala waje kumefanyika majanga makubwa moja ni kupora mali za umma, kujibimbikilia mali na mashamba, pamoja na mauwaji makubwa January 27 2001 kisiwani Pemba
Sio vizuri kusemwa marehemu kwa mabaya yake , ila tunaweza tukayafanya yakawa mazuri, na moja kwanza kurudisha mali za umma, pia mkapa alikuwa masikini tu na haiwezi kani amiliki mali kama hizi yeye na mkewe.
View attachment 1517736
View attachment 1517737
View attachment 1517738