Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,566
Pia alisema hajui kwa nini Tanzania ni nchi maskini.
KIKWETE: Teh teh teh teh! I exactly don't know why my country is so poor!
We should be proud of having JK as the Head of this Country!

Swali rahisi mno "liroboti la RA, Manji, na mafisadi wote na hata mwanae Ritz1. Hao ndio marais wetu na walioshika remote za kuongoza robot Jk!Mkapa, tunaomba utuambie, Kikwete ni liroboti la nani?
Inteligensia ya Gazeti la Raia Mwema imeweka wazi kwamba, hapo nyuma Limewai kumnasa Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa akimfananisha Rais Kikwete na Robot kwa sababu ya tabia zake za kusukumia wengine malalamiko ya matatizo mbalimbali na tabia ya kutopenda kuufikirisha ubongo wake.
Miifano ya Tabia hizi za kikwete ni
1. Kuikana Ilani ya Chama chake na kudai alipewa akiwa Jangwani katika harakati zake za kukwepa sakata la Mahakama ya Kadhi.
2. Kukurupuka kuanzisha Mchakato wa Katiba Mpya wakati haikuwa Ilani ya Chama chake wakati wa Kampeni wa Uchaguzi Mkuu wala haikuwa kwenye list ya ahadi za papo kwa papo za Bajaji, Hospitali za Rufaa, Viwanja vya ndege, n.k
3. Kusign kuwa sheria miswada yenye Mapungufu, kama ule wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi.
4. Kupelekwa kwa Waganga na Waaguzi Feki
5. Kubembea pamoja na mama yetu na watu ambao hawajui na ndio kakutana nao papo kwa papo huko Jamaica.
6. Kupayuka kwamba na yeye hamjui Mmiliki wa Dowans kwenye Mkutano wa Hadhara.
7. nk
My Take
Chadema wakiingia kwenye Mazungumzo na huyu Jamaa wanaweza kutumia hulka hii ya Jakaya kumshauri kuachia ngazi na yeye Kama Robot anaweza kuachia.
KIKWETE: Teh teh teh teh! I exactly don't know why my country is so poor!
We should be proud of having JK as the Head of this Country!
Mkapa, tunaomba utuambie, Kikwete ni liroboti la nani?
Sawa na kama lilivyo jina lako kweli umeanza porojo .Chadema wako tayari kulala njiani hata mwaka mzima kama si Polisi wa CCM kuwapiga na kuwadhuru .Uongo hapa ni upi sasa ? Ruhusa si umeona imenyimwa ama unatumia elimu yako ndogo na masaburi kuandika JF ?mbona na nyinyi mlisema mtaandamana nchi nzima kumbe mmejifungia mkimwandikia barua huyo Rais wenu? huu pia ni udanganyifu
Na ukitaka kula lazima uliwe.
Hivi kweli kiongozi mwenye akilizake timamu anapanda jukwaani anahidi haya matoi kuwa na ya kubebea wagonjwa? wanatuona hamnazo sie? Utaipeleka Loliondo kule au Tunduru ikabebe wagonjwa hii na hizi mvua?View attachment 41993
Hii ahadi kajitahidi kutimiza, hongera Dr Dr Dr Dr Dr Kikwete.
Inteligensia ya Gazeti la Raia Mwema imeweka wazi kwamba, hapo nyuma Limewai kumnasa Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa akimfananisha Rais Kikwete na Robot kwa sababu ya tabia zake za kusukumia wengine malalamiko ya matatizo mbalimbali na tabia ya kutopenda kuufikirisha ubongo wake.
Miifano ya Tabia hizi za kikwete ni
1. Kuikana Ilani ya Chama chake na kudai alipewa akiwa Jangwani katika harakati zake za kukwepa sakata la Mahakama ya Kadhi.
2. Kukurupuka kuanzisha Mchakato wa Katiba Mpya wakati haikuwa Ilani ya Chama chake wakati wa Kampeni wa Uchaguzi Mkuu wala haikuwa kwenye list ya ahadi za papo kwa papo za Bajaji, Hospitali za Rufaa, Viwanja vya ndege, n.k
3. Kusign kuwa sheria miswada yenye Mapungufu, kama ule wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi.
4. Kupelekwa kwa Waganga na Waaguzi Feki
5. Kubembea pamoja na mama yetu na watu ambao hawajui na ndio kakutana nao papo kwa papo huko Jamaica.
6. Kupayuka kwamba na yeye hamjui Mmiliki wa Dowans kwenye Mkutano wa Hadhara.
7. nk
My Take
Chadema wakiingia kwenye Mazungumzo na huyu Jamaa wanaweza kutumia hulka hii ya Jakaya kumshauri kuachia ngazi na yeye Kama Robot anaweza kuachia.
Acha umasikini wa mawazo kama siyo akili, unafikiri hizi bajaji ni sawa kwa mama mjamzito? hususani kwa hizi barabra zetu.View attachment 41993
Hii ahadi kajitahidi kutimiza, hongera Dr Dr Dr Dr Dr Kikwete.
Acha umasikini wa mawazo kama siyo akili, unafikiri hizi bajaji ni sawa kwa mama mjamzito? hususani kwa hizi barabra zetu.
hizi zinafaa kwa barabara za lami tu na siyo vijijini. na kwenye shida zaidi ni vijijini na siyo mjini.
Naongea kama mwanamke ambaye nilishakuwa na hali hiyo(mimba), mfano barabara ya makoka tu mgonjwa atjifungulia njiani.
huku ni kucheza na maisha ya watu