Alikufa papa Dunia haikutikisika
Alikufa Mandela Dunia haikutikisika
Alikufa Gadafa
Alikufa Sadamu Hussein
Dunia itatikisika siku akifa Malaika mtoa Roho israeli.
ha ha ha aha umenikumbusha wakati nasubiria lile tetemeko na halikutokeaHata Muhongo alisema akitoka nchi itatkisika. Mbona tuko poa tu?
Hayo ni maneno ya Rais Mstaafu Bwana mkapa alipokuwa Tanga kwenye kampeni za chama tawala.
Lakini kauli hii bado inazua maswali mengi, kwamba hiyo dunia itatikisika vipi kwa kuanguka kwa CCM?.
Kuna harufu fulani hapa.