MKAPA: "Dunia itatikisika CCM ikianguka"

MKAPA: "Dunia itatikisika CCM ikianguka"

Kuna watu walishajiaminisha bila wao hakuna Tanzania,kama kweli katamka ni mmoja wao.
 
Hayo ni maneno ya Raisi Mstaafu Bwana mkapa alipokuwa Tanga kwenye kampeni za chama tawala.

Lakini kauli hii bado inazua maswali mengi, kwamba hiyo dunia itatikisika vipi kwa kuanguka kwa CCM?.
Kuna harufu fulani hapa.

Mkapa Aondoe Hofu, Maana Ndiyo Ali Halisi Aina Namna Lazima Ccm Iondoke.
 
Ni sahihi kwa sababu mikataba waluyoingia ikisitishwa jamaa zao watkuwa hawana cha bure watachochukua
 
Watu wafupi mnisamehe.nahisi wote mko kama huyu jamaa.nimetukana tusi zito sana.

Lakini mimi nimeisha anza kuhisi kamuungurumo.
 
Itatikisika kwa maana hii: Tanzania itakuwa inakwenda kufanya mabadiliko makubwa. Maliasili zitakuwa mwisho kwenda nje bure, tutatumia uranium yetu kuzalisha umeme halo lazima dunia itikisike. Tutafuta mikataba ya hovyo ya china, India nk. Marais waliopita watajibu tuhuma zao. Pesa zilizofichwa nje zitawekwa wazi. No lazima dunia itikisike

Hapo ni kweli kabisa mkuu. Pia mahudhurio ya chooni kwa Kipipa Lodi Lofa pamoja ns familia yake yatapungua. Dunia lazima itikisike hapo!
 
Hayo ni maneno ya Raisi Mstaafu Bwana mkapa alipokuwa Tanga kwenye kampeni za chama tawala.

Lakini kauli hii bado inazua maswali mengi, kwamba hiyo dunia itatikisika vipi kwa kuanguka kwa CCM?.
Kuna harufu fulani hapa.

KANU ilanguka hata East Africa haikutikisika kabisaaa!!
 
Hata Pinochet alipoangushwa dunia ilitikisika vile vile lakini Chile ipo bado na inaendelee kufanya vizuri katika kila nyanja!
 
Vyama vikongwe na vyenye historia kubwa vimeanguka sembuse ccm,kweli mzee uyu kazeeka vibaya
Inaanguka Republican na Marekani bado inadunda itakuwa sisiem; hizo ni fikra mgando wala sioni kama kuna tisho lolote hapo yeye katoa uoni wake kama yeye
 
Huyo mkapa .sikuhizi anamapungufu yahakili yaani ivi duni .na ccm wapinawapi na watakoma wakomaae.lowassa.ndoi atakua rais WA TZ
 
kasha jua kma mwaka huu hawana chao na dunia inajua ivyo so lazima ishangae kma wakipita tena ccm
 
Hayo ni maneno ya Raisi Mstaafu Bwana mkapa alipokuwa Tanga kwenye kampeni za chama tawala.

Lakini kauli hii bado inazua maswali mengi, kwamba hiyo dunia itatikisika vipi kwa kuanguka kwa CCM?.
Kuna harufu fulani hapa.

hivi mkapa anaweza kuja mwanza kumwombea kura pombe?
 
Back
Top Bottom