MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,279
Na wacha itikisike tu, maana hakuna namna nyingine.
Na Mimi nasema itikisike tu!
Na Mimi nasema itikisike tu!
Hayo ni maneno ya Rais Mstaafu Bwana mkapa alipokuwa Tanga kwenye kampeni za chama tawala.
Lakini kauli hii bado inazua maswali mengi, kwamba hiyo dunia itatikisika vipi kwa kuanguka kwa CCM?.
Kuna harufu fulani hapa.
kweli lazima itikisike maana mikataba mibovu yote lazima tuitoe....
Wachina wenye maduka kariakooo lazima warudi china mapema
Ukibandika neno ufisadi wa mtu usimsahau na lowasa
...tikisa hayo matope kichwani labda utaweza kufikiri...Amani itaavunjwa na hao wapinzani na sio Ccm kwasababu wapinzani ndio wachokonoaji
Wazazi wenzangu tulio na watoto katka shule za sekondari za Nsumba, Bwiru NK kesho tukutane kujadili kitendo cha ccm kuchukua watoto wetu na kuwapeleka uwanja wa furahisha Leo. Ikiwezekana. Tutaazimia kuwashitaki wakuu wa shule hizo kwa kutotimiza wajibu wao ikiwamo kutowalinda watoto na kuwakosesha masomo.
Kwakuwa wameuza nchi kwa wachina kweli dunia itayumbaHayo ni maneno ya Rais Mstaafu Bwana mkapa alipokuwa Tanga kwenye kampeni za chama tawala.
Lakini kauli hii bado inazua maswali mengi, kwamba hiyo dunia itatikisika vipi kwa kuanguka kwa CCM?.
Kuna harufu fulani hapa.