MKAPA: "Dunia itatikisika CCM ikianguka"

MKAPA: "Dunia itatikisika CCM ikianguka"

Hayo ni maneno ya Rais Mstaafu Bwana mkapa alipokuwa Tanga kwenye kampeni za chama tawala.

Lakini kauli hii bado inazua maswali mengi, kwamba hiyo dunia itatikisika vipi kwa kuanguka kwa CCM?.
Kuna harufu fulani hapa.

Uyu jamaa atahama nchi na nina mashaka huenda mpaka sasa wapo ambao wana wasiwasi uko ccm wameshagongesha visa za kusafiri tarehe 26 asubuhi
 
Mods hata mkidelete posts zangu, bado huyu Lodi Lofa ataenda leba tarehe 25, atajifungua tu hata kama siku zake bado hazijafika.
 
Tumbo kubwa ni dunia,hivyo LOWASA akishinda lazima litikisike.
 
Hivi huyu bwana ni Mkristo kweli????
ANMFAHAMU MWENYE DUNIA HII!!!
AU NDIO KUJITOA UFAHAMU?
 
CCM ni chama cha kupuuzwa tu,wala asiongopee watu dunia itatikisika,kwa lipi labda?Kwa maisha yao ya hovyo hovyo waliowarithisha Watanzania au vipi?
 
Teh! Wamechanganyikiwa hivi haoni ccm ishaanguka! kama ana watoto awaulize ktk pitapita zao nini kinaendelea!(kama ana watoto)
 
Mzee Mkapa mbona unateseka sana au Magufuli mkurupukaji ulimchagua wewe?
 
Dah kweli elimu bado ndo maana ata JAMAA wenu anataka awapatie ya bure japo HAIWEZEKANI( economic principle;Concepts of no free lunch,people face tradeoff! cost-benefit principle etc) yaani haitajiki degree kama za mugabe kujua mh.mkapa amesema nini, kwa kifupi ni kuwa hadi SASA HAKUNA CHAMA TANZANIA CHENYE UWEZO WA KUONGOZA NCHI ZAIDI YA CCM,na pia MTUHUMIWA WA RICHMOND AKIWA RAIS,DUNIA;ICC,UN, IMF NA WB WATAONA KUWA IQ ZA WA-TZ HAZIFAI
 
Hata Muhongo Nae Alisema Hivyo Kuwa Akijiuzulu Dunia Itatikisika, Yuko Wapi?!
 
Alikufa papa Dunia haikutikisika
Alikufa Mandela Dunia haikutikisika
Alikufa Gadafa
Alikufa Sadamu Hussein

Dunia itatikisika siku akifa Malaika mtoa Roho israeli.
Aisee una IQ ipi. Hivi unajua maana ya dunia kutikisika? Yaani hukuona dunia nzima ilivyokuwa ikifuatilia matukio hayo. Kama ndo uelewa huo basi kizazi hili ni shida. Uwezo wa kuchangia nuances mambo ni mdogo.
 
Huyu mzee nimekuja kumdharau sana, siku akiondoka sitosikitika kabisa. Anasema kama tunataka mabadiliko wanaume tubebe mimba!! Hiyo mimba inaingiaje labda? Si ni matusi hayo?
 
Aisee una IQ ipi. Hivi unajua maana ya dunia kutikisika? Yaani hukuona dunia nzima ilivyokuwa ikifuatilia matukio hayo. Kama ndo uelewa huo basi kizazi hili ni shida. Uwezo wa kuchangia nuances mambo ni mdogo.

niliona huu mchango wako ila niliamua ntakujibu baaada ya matokeo,dunia haijawahi kutingishwa na binadamu MUNGU PEKEE NDIE MWENYE UWEZO WA KUITINGISHA DUNIA KUANZIA KUSINI,KASKAZINI,MASHARIKI NA MAGHARIBI........
 
sahz magufur ndo anatikisa dunia kwa niaba ya ccm.
hapa kazi tuuu.
 
Back
Top Bottom