Mkapa 'Atoroka' Sherehe za muungano.

Mkapa yeye kwakweli ameshikwa na butwa, kwani siku zote alijua Watanzania ni mabubu hawajui kusema sasa anashangaa, na bado

..tamaa ya ufisadi haitofautiani na ile ya ngono!

..unapokuwa uko tendoni hufikirii nini kitatokea baadae!

..si ndo maana ukimwi unatumaliza!
 
Magazeti haya yana habari kweli ama yanapamba na hasa kwa vile Mkapa hakuwepo kiwanjani ?Maana JK hawezi kuchukua hatua kwa kuanza na Mkapa kuna mengi nyuma hakuwahi kuwa mfano hata mara moja hili ataliweza ?

Hawa waandishi ndio waleeeeeee mmeshawajue?wale wanaotaka kutuhadaa tuone kuwa eti haya mambo ya ufisadi wa Mkapa yameibuliwa na JK yaani utadhani JK kwenye ile press confress yake aliyowaita waandishi wa habari ametoa tamko kuhusu Ben! Kumbe wapi!!! wanawajua Watanzania ni majuha wanaamini kila kinachoandikwa!

1.JK hana ubavu kama hilo gaazeti linavyotaka tuamini. JK si ndie huyu anaewajua wala rushwa akawapa muda wajirekebishe?sijui huo muda umesha expire au bado sina uhakika.

2.JK si ndie huyu ninaesisitiza na yeye anhusika kwa kila baya la Mkapa maana na yeye alikuwa kwenye maamuzi ya baraza la mawaziri kama kuuza nyumba na kuyatoa mashirika yetu kwa bei poa?au JK gani huyo wanaemzungumzia?

3.JK huyu huyu anaechekacheka na mwingi wa mizaha?au JK Nyerere kafufuka labda sie wengine hatujui?

Enyi waandishi andikeni kwa maslahi ya umma na mjue kuwa yote yanayotokea sasa ni bunge linapaswa kupewa sifa pengine ingekaa vizuri kama angesifiwa Samweli Sitta sio JK au Pinda sio JK.

Bunge limeonja tamu! homons zimepanda baada ya issue ya richmond! ndio maana unaona kila mbunge na yeye anataka kuzungumza wameshatokwa na woga na hilo ndilo tulikuwa tunaliomba kila siku.

Msubiri mpaka JK na yeye afanye kama wanavyofanya wabunge then mumsifie.

Hatutaki kuonwa mazezeta!!!!!
 
Aisee, lakini on one note...hhawa jamaa wamemruka kabisa mzee wetu mkapa, Ule ufisadi ulimsaidia Kikwete aingie madarakani...sasa anamgeuka...yatamrudia huyu rais wetu JK

Suala la mkwere kumchukulia hatua mkapa ni NDOTO.. hii inatokana na kwamba asilimia kubwa ya funding iliyotumika kumuingiza madarakani inanuka shombo la ufisadi...hivyo ni wazi kwamba kelele hizo za mkwere na bwana pinda zitaishia juu juu kama yalivyoishia mengine..
 
agree kabisa, maana ndio maana alikuwa anasema mwacheni mzee apumzike. Hakuna uchunguzi wowote ule.

Mnakumbuka kauli ya JK kuhusu ufisadi akasema

“kelele za mlango hazimzuii mwenye nyumba kulala.”!
 
Suala la mkwere kumchukulia hatua mkapa ni NDOTO.. hii inatokana na kwamba asilimia kubwa ya funding iliyotumika kumuingiza madarakani inanuka shombo la ufisadi...hivyo ni wazi kwamba kelele hizo za mkwere na bwana pinda zitaishia juu juu kama yalivyoishia mengine..

HIVI NYIE WATU MMETUMWA NA NANI?MKWERE LINI KASEMA ANAMSHUGHULIKIA MKAPA?MBONA SIJASOMA WALA KUSIKIA HIYO STATMENT?HIVI MBONA TUNAONANA MAZUZU?MIE NAJIONA KAMA NIPO TOFAUTI NA NYIE AU LABDA NIPO SAYARI YANGU TOFAUTI NA NYIE????? HIVI MNAJUA MNAKERA SANA KUMSEMEA JK ILHALI YEYE MWENYWE HAONGEI ANAMTUMA SALVA!!! ACHENI HIZO MSIMSEMEE MTU AMBAE AMEWAKIMBIA WAFANYAKAZI KWENYE SIKUKUU YAO HUONI NI UNAFIKI NINGEKUWA NA BUNDUKI NINGEWADITTO NYOTE MNAOMSAFISHA FISADI KIKWETE KWA NA YEYE YUMO KWENYE ILE LIST OF SHAME NA HANA JIPYA!!!
 
DU mzee...

Mkwere alisema kupitia waziri mkuu wake kwamba wanachunguza hizi tuhuma za mkapa. hakuna anayemsafisha mtu hapa, tena jamaa anasema kabisa kwamba hakuna chochote kitakachofanyika kuhusu hizo tuhuma...mbona amesema mwenyewe hapo kwamba uchunguzi ni wa juu juu tu

punguza ukali, kumbuka " He who angers you, conquers you"
 
Mimi sio mtaalamu sanaa wa mambo haya ya "siHASA" Ila nafikiri ni wakati sasa sheria za nchi zibadilishwe maanaa tumesha choka na isha kuwa kero sasa na hawa mafisi(mafisadi). Kila mtu ni fisi serekalin na wakisha jiuzuru basi ndo mambo yamekwisha.
Sasa na sema hivi yeyote atakaye tuhumiwa ama kuhisiwa, kuhusika moja kwa moja au la, kushadadia au kuutetea ufisi(ufisadi) kwa lugha (Vijisenti) au kwa vitendo huyo mtu ANYONGWE(KAMA SADDAM) NA MAITI YAKE ICHOMWE MOTO AZALANI NA MAJIVU YAKE YAFUKIWE MITA LAKIMOJA ARIDHINI
 
DU mzee...

Mkwere alisema kupitia waziri mkuu wake kwamba wanachunguza hizi tuhuma za mkapa. hakuna anayemsafisha mtu hapa, tena jamaa anasema kabisa kwamba hakuna chochote kitakachofanyika kuhusu hizo tuhuma...mbona amesema mwenyewe hapo kwamba uchunguzi ni wa juu juu tu

punguza ukali, kumbuka " He who angers you, conquers you"

Ni kweli mwanahabari, naona sokomoko hakunipata sawa sawa hapo...
 
Kuna hatari ya serikali ya awamu ya nne kuendesha nchi kama dereva anaye endesha gari akiwa wakati mwingi ana-concentrate kuangalia the side mirror inayo-onyesha huko nyuma alikotoka. The Government should concentrate on the current and future problems of Tanzanians rather than focusing too much on Mkapa. Serikali ingeliwachukulia hatua kali kwanza mafisadi waliokula nchi katika phase four kama wale wa Richmond.
Pili serikali ingeli-focus on increasing the rate of economic growth to 9-10% in addition to enacting laws which increase transparency in the handling of public affairs especially those related to procurement and management of the nations resources. By so doing it will ensure that corruption as it occured in the past will not be repeated. Finally the Government should avoid launching poorly planned and unsustainable social programmes like the Lowasa's secondary school programme. Building secondary schools while you do not have teachers [or only bare foot teachers] was one of the most naive projects launched by Lowasa and I am glad to see that the new Prime Minister is refocussing the efforts of the Government.

Kudi Shauri.
 
Tamko la serikali lililotolewa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Alhamisi, Aprili 24, bungeni Dodoma, kuwa inafuatilia taarifa za tuhuma kuhusu matumizi mabaya ya madaraka dhidi ya viongozi wa Serikali ya Awamu ya Tatu, na iwapo ikithibitika kuwa walitenda makosa, watachukuliwa hatua zinazostahili, linaonyesha kuwa sasa Mkapa anaweza kufikishwa mahakamani.

Taarifa hiyo ambayo Kikwete anaeleza kuwa hatakuwepo katika maadhimisho ya Sikukuu ya Mei Mosi, ilieleza kuwa wafanyakazi wakiipiga vita rushwa, vigogo wanaodaiwa kupokea rushwa watapata wakati mgumu wa kufanikisha vitendo vyao viovu.

“Rais amewaomba wafanyakazi wafanye mambo matatu, kwanza, wajiepushe wao wenyewe na vitendo vya rushwa….wakatae kutumika katika vitendo vya rushwa…na wasaidie kutoa taarifa za rushwa ili zifanyiwe kazi na wahusika wabanwe,” inasomeka sehemu ya taarifa hiyo ya Rais Kikwete.

KAULI IMETOLEWA NA PINDA NA SIO KIKWETE SASA SIONI DHAMIRA YA KIKWETE JUU YA MKAPA!

SASA JK SI UNGEANZA NA ILE LIST YA WALA RUSHWA ULIYONAYO?ILE YA UNAOWAFAHAMU AMBAO ULIWAPA MUDA. MAANA UKIPEWA MPYA HUWEZI KUFANYA KITU IFANYIE ILE KAZI KWANZA THEN UIFANYIE KAZI LIST OF SHAME THEN NDIO WAFANYAKAZI WATAKUPATIA LIST MPYA INAYOWATAJA WALA RUSHWA WADOGOWADO KWENYE IDARA ZAO. KAMA KWELI UNADHAMIRA ANZA KUSAFISHA NDANI YA NYUMBA YAKO KWANZA KABLA HUJATOKA KWENYE UA KUFANYA USAFI.
 
Mzee ES..kula tano kwa nukta hapo juu.Bongolander Huna RABA ya kumsafisha MKAPA. Wabunge sasa wanakuja kuhoji Majumba waliouziana kama Njugu. Hata hizo barabara zote zipo under standard hazijapitiwa tu!!! tunasubiri CAG aje aseme UFISADI wa TANROAD....ila kichwa cha Habari ya Hii mada hakijatulia

This is what I'm trying to say!
 
Kwa kuanza utoro wa aina hii, muda si mrefu atatoroka nchini. Je Kuna haja ya serikali kuchukua hatua kuhakikisha Mkapa na wenzie hawatoroki nchi pia account zao wazifreeze na wawanyang'anye hati zao za kusafiria?
 
Ni Haki Yake Ya Msingi Kama Raia Wowote Wa Tanzania Kuondoka Katika Sherehe Wakati Wowote Anaotaka Yeye
YOU CAN RUN BUT YOU CAN NEVER HIDE FROM THE JUSTICE WHEN ITS TIME FOR IT TO PREVAIL!
 
Mkapa kutokuwepo uwanjani hiyo haikuhusu kufika au kutokufika siyo jukumu lako na yeye kama raia wa nchi hii anayo haki ya kujiamulia mambo yake nwenyewe nawewe huna haki ya kutaka kujua mambo yake kwani wewe ni mkewe
 
Uncle kweli unachekesha!
Kwanza umeshauliza kwamba mtu mzito kama rais mstaafu lazima atakuwa amealikwa kwenye tukio kama hilo?
We unafikiri hao wakuu wengine wali just showed up?Sidhani kama thats the case!
Kutokana na hilo basi..assuming kwamba alialikwa kwa heshma zote..then akatoroka/akakimbia.. ni yeye peke yake atakeye ruhusiwa kusema kama alitoa udhuru ama la!ie ugonjwa etc!
On the other side..kama hakualikwa then hayo ni maamuzi ya viongozi wa sasa!Then after we find out about all the factors we can therefore be able to either back him up or the other way aroud!
 
Labda aliumwa tumbo ndo maana hakufika, hivi lazima kisheria awepo? nasikia Lowassa hakuwepo pia
 
Nafikiri wewe utakuwa na matatizo hivi mkapa atoroke nje ya nchi ni kwa sababu gani na hiyo account unayotaka waifreez unauhakika kuwa hizo tuhuma zinazotolewa kwake ni za kweli? toa ushahidi wako na sisi tupate faida
 
Mkapa kutokuwepo uwanjani hiyo haikuhusu kufika au kutokufika siyo jukumu lako na yeye kama raia wa nchi hii anayo haki ya kujiamulia mambo yake nwenyewe nawewe huna haki ya kutaka kujua mambo yake kwani wewe ni mkewe

..duh!

..ndio maana akiwa anainajisi nchi kiuchumi asisemwe,sio?

..na anapojificha kusudi watu wasimzomee na kumuuliza fedha zao ziko wapi,asiuliziwe sio? maana mwenye haki ya kumuulizia ni mkewe tu? we unajua ana wake wangapi?

..ukiwa public figure,you are public in every aspect of your life!

..btw,siku hizi yuko huru sana. anajiamulia kutokuwa kwenye shughuli muhimu za chama na serikali!
 
Nafikiri wewe utakuwa na matatizo hivi mkapa atoroke nje ya nchi ni kwa sababu gani na hiyo account unayotaka waifreez unauhakika kuwa hizo tuhuma zinazotolewa kwake ni za kweli? toa ushahidi wako na sisi tupate faida

..hayo si maneno,badili uelekeo!

..utaondoka kwa aibu au fedhea humu!

..watu hawaongei bila sababu humu!
 
Mkapa kutokuwepo uwanjani hiyo haikuhusu kufika au kutokufika siyo jukumu lako na yeye kama raia wa nchi hii anayo haki ya kujiamulia mambo yake nwenyewe nawewe huna haki ya kutaka kujua mambo yake kwani wewe ni mkewe

Kaka pole pole bwana, unatetea kitu bila kuwa na hoja.....Ben Mkapa ni public figure, ndo maana kukosekana kwenye shughuli kubwa ya kitaifa kama hii ni swali la kujiuliza. Acha mazingaobwe etianaweza kujiamulia that crap...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom