Mkapa apanda kizimbani Kisutu

Mkapa apanda kizimbani Kisutu

THESE THINGS HAPPEN ONLY IN TANZANIA. NJII HIII DUH!!!:israel:

Hivi ni nani alimshitaki Mahalu? Na kwa kosa lipi?

Nauliza maswali haya kwa sababu wanasema kahujumu Uchumi kvipi? maana Ushahidi wake unatuchanganya.. nakumbuka wakati ananunua hizo nyumba JK alikuwa Waziri wake.. Mkapa alikuwa Rais wake...

Wakati ule JK aliwahi kutetea Uamuzi ule akiwa Waziri.. Na Leo hii mkapa anamtetea kama Shahidi kuwa yote yaliyofanyika yalikuwa na Baraka za Serekali sana najiuliza ni nani alimshita Prof Mahalu kwani.

Kama ni uhujumu uchumi basi aliyekuwa Rais wakati huo na Waziri ndiyo wenye hii Kesi unless wanampinga kwa manunuzi aliyofanaya.

Swali langu la pili ni kwamba ni Nani atamlipa Prof Mahalu akifungua Kesi ya Madai baada yaKushinda au ni yale yale ya Zombe?????

CCM bwana..
 
Inashangaza na hoja yako mtoa mada ni ya msingi sana, lazima tupate jibu la ni nani aliyemshtaki huyu jamaa kama bosi wake aliekua rais amejitokeza na kusema kua alichokifanya kilikua na baraka za serikali na aliyekua waziri wa mambo ya nje ndie rais wa sasa ambaye ndie aliyekua direct next bosi wa mahalu sasa nni nani aliyemshtaki huyu jamaa au mlalamikaji alikau nani?
 
Zile nyaraka mbili zenye thamani tofauti kwa jengo hilohilo zaweza kumtia hatiani. Haitoshi tu kusema Mkapa anadai kila kitu kilikuwa in order, usije kuta Mkapa naye yumo kwenye hilo deal.
 
zile nyaraka mbili zenye thamani tofauti kwa jengo hilohilo zaweza kumtia hatiani. Haitoshi tu kusema mkapa anadai kila kitu kilikuwa in order, usije kuta mkapa naye yumo kwenye hilo deal.

mkapa na jk woote wapo kwenye hilo dili, inawezekana hawahusiki mojakwamoja lakini walikuwa wanajua kinachoendelea!
 
Inashangaza na hoja yako mtoa mada ni ya msingi sana, lazima tupate jibu la ni nani aliyemshtaki huyu jamaa kama bosi wake aliekua rais amejitokeza na kusema kua alichokifanya kilikua na baraka za serikali na aliyekua waziri wa mambo ya nje ndie rais wa sasa ambaye ndie aliyekua direct next bosi wa mahalu sasa nni nani aliyemshtaki huyu jamaa au mlalamikaji alikau nani?

Yanayoendele hapa kwetu ni bora tusinge enda shule... Au tungeishia darasa la nne I mean kujua kusoma na kuandika.

ila kama umesogea Mbele kidogo kiasi cha kuweza kufikiria at least in two, three dimensions na kufanya reasonong kidogo utagundua Mabmo hayaendi kwa sababu ya kikundi fulani...

Mfano mzuri na mimi huwa najiuliza:

1. Ilikuwaje Ndege ya Jeshi la Qatar kuchukua wanyama zaidi ya 120 bila hata mtu mmoja kuuawa wakati wakata mkaa kila leo wanapigwa risasi????

2. Inakuwaje katika wabunge wa CCM zaidi ya 250 anakosekana mtu wa kumteua kuwa waziri wa wizara ya Afya hadi tukamchukue upande wa pili?

3. Inakuwaje Magembe na tuhuma zote za mbolea,, Korosho tandahimba.....etc, Lazaro nyalandu na Madiliyote aliyofanya Bado yuko kwenye Baraza la mawaziri????

4. Inakuwaje kuna watu wameshindwa kusoma, kusomesha watoto wao na hadi mlo mmoja unawashinda lakini bado wanadanyanywa na vielfu tano... tulaki moja na wanaishabikia CCM?

Poleni sana wana CCM na Poleni sana wabunge wa CCM
 
Nani anasema nchi hii haina sheria?

Sheria ya Rais kutoa maelekezo kwa mdomo tena yanayohusu transaction ya mabilioni ya shilingi?

Angekuwa ni kidampa kajamba nani ingekula kwake, ila kwa kuwa ni "mwenzao" imebidi waende mahakamani kudanganya na kusingizia kwamba kuna mambo mengine ni siri na Mkapa hawezi kuyasema kwa sababu za kidiplomasia.

Hizo ndio sheria unazozisema? Rais Mstaafu haoni aibu kutamka wazi "niliagiza kwa mdomo bila maandishi". Tulikuwa wawili tu, sikumbuki kama kulikuwa na mtu mwingine. Swali, kwanini hayo maagizo yasipitie kwa Katibu Mkuu wa Foreign Affairs au Waziri wa Foreign Affairs?

Kimolo juzi kafungua pazia, kwamba kuna wakuu wa wilaya wako ofisini "wanafanya kazi" bila barua zaa uteuzi. Sio wakuu wa wilaya tu, kuna ma-CEO wa mashirika ya umma na bodi za mashirika ya umma wako ofisini wanaendelea kutimba kazi (kufanya ufisadi) bila mikataba. Hizo ndio sheria zetu!

Hizo ndio sheria zetu, Kanuni zetu za utumishi na Kanuni zetu za matumizi ya fedha za umma.
 
Kuna mnyukano kati ya Kiwete na Mkapa, Kikwete anatamani sana Mahalu akanyee ndoo mkapa hataki ufitini wa JK lakini cha ajabu Mkapa hajamshtukia JK kwa ufitini akamtuma aende Alumeru akachafuke lakini Mkapa hakustukia.

Huo ndio ukweli wa ******..Arumeru kaawapiga bao Lowassa na Mkapa....,kwanza Kumuondolea ujasiri lowassa au kumpunguzia...,piili kimkata nguvu mkapa ili ku pj Tuzla ushawishi ndani ya ccm
 
Mkapa ni rafiki wa karibu sana na Mahalu, hilo linafahamika fika. Manunuzi hayo ya nyumba ya ubalozini kwetu Italy yalikuwa ya kifisadi yakifanywa na Mahalu akishirikiana na huyo dada (Grace) ambaye alikuwa hawara yake kiasi cha kuharibu na ndoa yake wakishirikiana na mamaafia wa Kiitaliano.

Inasemekana pia kuwa CCM walikuwa na mgawo katika pesa hizo nafikiri ndo maana Mkapa amejitokeza hadharani kumtetea swahiba wake asiangukie mikononi mwa pilato ili hali pesa hakula yeye peke yake.

Na kwa mtiririko huu wanaelekea kushinda kesi wadai fidia kwa kuzalilishwa na mishahara yao maana wamekuwa wakilipwa mishahara nusu tangu wasimamishwe kazi.
 
Kwenye hii kesi,kama ilivo kwa ile ya akina Mramba pesambili na Yona kuna kujikanganya kwingi mno! Serikali inashtaki watu kisha hiyohiyo inawatetea,acha tumsubirie jk mwenyewe atasemaje naamini atatoa ushahidi wake
 
mkapa na jk woote wapo kwenye hilo dili, inawezekana hawahusiki mojakwamoja lakini walikuwa wanajua kinachoendelea!

DHARAU TUNAYO IPATA NCHI ZA NJE KUANZIA WIZI WA RICH MOND MPAKA LEO MALI YA ASILI NA UTALII, NI SAWA SAWA NA BABA MKWE AKUFUMANIE UNAZINI NA MBWA! somalia ndiyo hiyoo inatuacha!
 
Hii ni kiini macho baada ya Dr Slaa kupiga sana kelele bungeni wakaona bora watafute mtu wa kubeba msalaba. Nadhani mnakumbuka ile minara pacha ya benk kuu. haya mambo mawili yanafanana, sasa bado meremeta na deep green, pis kagoda haieleweki vizuri mwenendo wake.
 
Zile nyaraka mbili zenye thamani tofauti kwa jengo hilohilo zaweza kumtia hatiani. Haitoshi tu kusema Mkapa anadai kila kitu kilikuwa in order, usije kuta Mkapa naye yumo kwenye hilo deal.

Mkuu ebu tufahamishe kuhusu nyaraka2 wengine hatujuwi kitu
 
Hii nchi ngumu sana kuielewa, just imagine serikali ya JK inamshtaki huyu balozi kwa kutia nchi hasara halafu Rais mstaafu anamtetea ndo tuseme JK anachuki binafsi na Mahalu? mbona hata wezi wa EPA kawasamehe?
 
Kwenye hii kesi,kama ilivo kwa ile ya akina Mramba pesambili na Yona kuna kujikanganya kwingi mno! Serikali inashtaki watu kisha hiyohiyo inawatetea,acha tumsubirie jk mwenyewe atasemaje naamini atatoa ushahidi wake

Zilifunguliwa kukomoana. Jamaa alijua kuna watu anawakomoa, hakujua mahakama (when they choose to be fair), they put everything clear
 
Kumbe inawezekana kuwapandisha mahakamani? Sasa mtakoma, ngoja mtoke madarakani.
 
Hivi ni nani alimshitaki Mahalu? Na kwa kosa lipi?

Nauliza maswali haya kwa sababu wanasema kahujumu Uchumi kvipi? maana Ushahidi wake unatuchanganya.. nakumbuka wakati ananunua hizo nyumba JK alikuwa Waziri wake.. Mkapa alikuwa Rais wake...

Wakati ule JK aliwahi kutetea Uamuzi ule akiwa Waziri.. Na Leo hii mkapa anamtetea kama Shahidi kuwa yote yaliyofanyika yalikuwa na Baraka za Serekali sana najiuliza ni nani alimshita Prof Mahalu kwani.

Kama ni uhujumu uchumi basi aliyekuwa Rais wakati huo na Waziri ndiyo wenye hii Kesi unless wanampinga kwa manunuzi aliyofanaya.

Swali langu la pili ni kwamba ni Nani atamlipa Prof Mahalu akifungua Kesi ya Madai baada yaKushinda au ni yale yale ya Zombe?????

CCM bwana..

Mkuu hii kesi ni ya kisasi kumshikisha Mahalu adabu,na bila shaka mzee mwenye visasi nchi huku anajifanya ni mcha Mungu sana unamjua!hii kesi ilikua na watuhumiwa karibu watano,ila wametemwa wengine wamebaki Mahalu na Rose kwa kuwa awa ndio walikua walengwa haswa!ila jaji/hakimu ana wakati mgumu sana katika hii kesi,maana hakuna ushaidi kabisa wa kumtia Mahalu hatiani!!lakini maajabu mengine yanaweza tokea katika muhimili huu!
 
Mkapa anamtetea sana mahalu kuwa ni mwamiinifu na anamjua toka akiwa waziri. Anasema si mawasiliano yote yalifanywa kwa maandishi na kuwa baadhi yalikuwa kwa mdomo

Haya ya mdomo yanatambulika kiserikali? Yalitaka nini? Serikali haina accountability system?

Rais akitoa amri kwa mdomo Gavana ahamishe fedha, Gavana anaweza kujitetea kwamba kapewa amri kwa mdomo?

Kwa nini Mahalu hakutaka maagizo rasmi ya kimaandishi?
 
Zile nyaraka mbili zenye thamani tofauti kwa jengo hilohilo zaweza kumtia hatiani. Haitoshi tu kusema Mkapa anadai kila kitu kilikuwa in order, usije kuta Mkapa naye yumo kwenye hilo deal.

Kwa Italy ni ruksa kununua jengo kwa mikataba miwili, inasemekana alikuwa sahihi ktk hilo pia.
 
Hii kesi imekaa kifitina fitina zaidi kuliko uhalisia wa mambo. Anyway, itatusaidia kufamu mengi!
 
Back
Top Bottom