Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,869
Wewe umekopi kazi za watu halafu unawadirect wengine wasome kwako, badala ya kuwadirect kwenye original source ambako wewe umeitoa. Hata muwe mnaacknowledge source basi. Tatizo la plagiarism linaonekana kuota mizizi sana miongoni mwa watanzania hivi sasa.
Usikurupuke wewee...
Soma thread ya jamaa hapo chini kabisa.