Mkapa aitosa CCM, aigomea kwenda Arumeru

Siasa cku zote ni mchezo wa kuotea.a see like chadema wamepata faul ndani ya 18,mkapa hata angekuja huu upepo hawezi kuutuliza.
KWA YEYOTE ALIYEENDA SHULE KWA TAKWIMU HIZI HAWEZI KUKURUPUKA
ARUMERU MASHARIKI
Candidate
Political Party
Number of Votes
Percentage Votes
SUMARI JEREMIAH SOLOMON
CCM
34,661
62.23
JOSHUA SAMWEL NASARI
CHADEMA
19,123
34.33
JOHN YESAYA PALLANGYO
CUF
265
0.48
LINDA PENIELI BANA
JAHAZI ASILIA
176
0.32
FANUEL GABRIEL PALLANGYO
TLP
88
0.16
CHARLES MOSES MSUYA
UPDP
88
0.16




SPOILT VOTES

1,297
2.33
TOTALS

55,698
100



IGUNGA
Candidate
Political Party
Number of Votes
Percentage Votes
ROSTAM AZIZI ABDULRASOOL
CCM
35,674
72.78
LEOPOLD LUCAS MAHONA
CUF
11,321
23.1




SPOILT VOTES

2,018
4.12
TOTALS

49,013
100
HAPA CHADEMA HAWAKUSHIRIKI.

UCHAGUZI MDOGO IGUNGA
Candidate
Political Party
Number of Votes
Percentage Votes
DK. DALALY PETER KAFUMU
CCM
26,484
49.34
JOSEPH KASHINDYE
CHADEMA
23,260
43.34
LEOPOLD LUCAS MAHONA
CUF
2,104
3.92
STEVEN MAKINGI MAHUYI
AFP
235
0.44
HASSAN R. LUTEGEZA
CHAUSTA
182
0.34
JOHN M. MAGUMA
SAU
83
0.15
SAID M. CHENI
DP
76
0.14
HEMED RAMADHAN DEDU
UPDP
63
0.12




SPOILT VOTES

1,185
2.21
TOTALS

53,672
100

Kwa kifupi ni kwamba CDM inakwenda AM kutafuta kura za kujazia (wanatafuta 28% tu!) tofauti na walipokwenda Igunga
kutafuta kura kuanzia zero.. Zingatia kuwa mwamko wa kimageuzi ni mkubwa kuliko Igunga na wenyeji
wa AM si waoga kama Andengenye anavyofikiri maana kuanzia wiki hii imeanza kila siku jioni andengenye
anapitisha magari ya maji ya kuwasha na Defender kama kumi hivi kutishia wananchi badala yake
watu huzomea.
 
kumbe jf nimegundua hamsomi habari mkaelewa!gazeti limesema mkapa amewapa sharti uongoz ccm mkoa na wilaya wautatue kwanza ndo akafungue kampeni,na najua hawez kukiangusha chama na atakwenda kufungua na kufunga kampeni,ushindi n wa ccm
Ni kweli kwamba watu hawasomi.

Lakini hapo ulipomalizia wewe, umenifanya nikuone kwamba wewe ni
Bata
Mpenda
Tumbo
 
Taarifa za kiintelejinsia zimemtonya Mzee Ben kuwa akikanyaga Arumeru anaweza kupata aibu ya mwaka, kwa kuwa watu wa Arumeru hawako tayari kubebwa na malori na kupewa posho ya buku tano, kama chama cha magamba kilivyozoea kuwafanyia wa-TZ wa maeneo mengine,huko Arumeru wanasema hawadanganyiki hadi kieleweke!
 
KWA YEYOTE ALIYEENDA SHULE KWA TAKWIMU HIZI HAWEZI KUKURUPUKA
ARUMERU MASHARIKI
Candidate
Political Party
Number of Votes
Percentage Votes
SUMARI JEREMIAH SOLOMON
CCM
34,661
62.23
JOSHUA SAMWEL NASARI
CHADEMA
19,123
34.33
JOHN YESAYA PALLANGYO
CUF
265
0.48
LINDA PENIELI BANA
JAHAZI ASILIA
176
0.32
FANUEL GABRIEL PALLANGYO
TLP
88
0.16
CHARLES MOSES MSUYA
UPDP
88
0.16
SPOILT VOTES
1,297
2.33
TOTALS
55,698
100



IGUNGA
Candidate
Political Party
Number of Votes
Percentage Votes
ROSTAM AZIZI ABDULRASOOL
CCM
35,674
72.78
LEOPOLD LUCAS MAHONA
CUF
11,321
23.1
SPOILT VOTES
2,018
4.12
TOTALS
49,013
100
HAPA CHADEMA HAWAKUSHIRIKI.

UCHAGUZI MDOGO IGUNGA
Candidate
Political Party
Number of Votes
Percentage Votes
DK. DALALY PETER KAFUMU
CCM
26,484
49.34
JOSEPH KASHINDYE
CHADEMA
23,260
43.34
LEOPOLD LUCAS MAHONA
CUF
2,104
3.92
STEVEN MAKINGI MAHUYI
AFP
235
0.44
HASSAN R. LUTEGEZA
CHAUSTA
182
0.34
JOHN M. MAGUMA
SAU
83
0.15
SAID M. CHENI
DP
76
0.14
HEMED RAMADHAN DEDU
UPDP
63
0.12
SPOILT VOTES
1,185
2.21
TOTALS
53,672
100

Kwa kifupi ni kwamba CDM inakwenda AM kutafuta kura za kujazia (wanatafuta 28% tu!) tofauti na walipokwenda Igunga
kutafuta kura kuanzia zero.. Zingatia kuwa mwamko wa kimageuzi ni mkubwa kuliko Igunga na wenyeji
wa AM si waoga kama Andengenye anavyofikiri maana kuanzia wiki hii imeanza kila siku jioni andengenye
anapitisha magari ya maji ya kuwasha na Defender kama kumi hivi kutishia wananchi badala yake
watu huzomea.
Huwa nafurahi watu wanaokuja na data kama hizi.
 
Wanangu kuweni na hekima. Mkapa hajagoma bali ameogopa aibu. Hivi angeulizwa kuhusu Kiwira, NBC, IPTL na madudu mengi angesema nini? Naona kama CCM imeishiwa watu wenye udhu hadi kumtuma Mkapa mtuhumiwa wa ufisadi hadi wa ufisadi hata wa EPA. Kama AruMashariki wataachana na siasa za kutumiwa, wana wakati na fursa nzuri ya kuipiga teke CCM ili liwe somo kuwa ufisadi haulipi.
Kwani hayo yote kule Igunga hayakuwepo?Tusiwe na vichwa vya panzi!!
 
KWA YEYOTE ALIYEENDA SHULE KWA TAKWIMU HIZI HAWEZI KUKURUPUKA
ARUMERU MASHARIKI
CandidatePolitical PartyNumber of VotesPercentage Votes
SUMARI JEREMIAH SOLOMONCCM34,66162.23
JOSHUA SAMWEL NASARICHADEMA19,12334.33
JOHN YESAYA PALLANGYOCUF2650.48
LINDA PENIELI BANAJAHAZI ASILIA1760.32
FANUEL GABRIEL PALLANGYOTLP880.16
CHARLES MOSES MSUYAUPDP880.16
SPOILT VOTES 1,2972.33
TOTALS 55,698100



IGUNGA
CandidatePolitical PartyNumber of VotesPercentage Votes
ROSTAM AZIZI ABDULRASOOLCCM35,67472.78
LEOPOLD LUCAS MAHONACUF11,32123.1
SPOILT VOTES 2,0184.12
TOTALS 49,013100
HAPA CHADEMA HAWAKUSHIRIKI.

UCHAGUZI MDOGO IGUNGA
CandidatePolitical PartyNumber of VotesPercentage Votes
DK. DALALY PETER KAFUMUCCM26,48449.34
JOSEPH KASHINDYECHADEMA23,26043.34
LEOPOLD LUCAS MAHONACUF2,1043.92
STEVEN MAKINGI MAHUYIAFP2350.44
HASSAN R. LUTEGEZACHAUSTA1820.34
JOHN M. MAGUMASAU830.15
SAID M. CHENIDP760.14
HEMED RAMADHAN DEDUUPDP630.12
SPOILT VOTES 1,1852.21
TOTALS 53,672100

Kwa kifupi ni kwamba CDM inakwenda AM kutafuta kura za kujazia (wanatafuta 28% tu!) tofauti na walipokwenda Igunga
kutafuta kura kuanzia zero.. Zingatia kuwa mwamko wa kimageuzi ni mkubwa kuliko Igunga na wenyeji
wa AM si waoga kama Andengenye anavyofikiri maana kuanzia wiki hii imeanza kila siku jioni andengenye
anapitisha magari ya maji ya kuwasha na Defender kama kumi hivi kutishia wananchi badala yake
watu huzomea.

inaweza ikawa mbaya zaidi ya igunga huko arumeru mashariki kwani idadi kubwa ya wapiga kura ni wazee na akinamama na tatizo la arumeru kura zinapigwa kwa msimamo wakubwa wakikaa mringalini na kutoa maamuzi atakayepinga ni laana,vijana wengi hawamo katika daftari lakini kumbuka marehemu sumary alishinda akiwa mgonjwa mikutano michache aliyohutubia alikuwa akijibu maswali bovu ile mbaya kwani wakati huo kichwa chache hakikuwa vyema lakini jamaa waliamua kumchagua ndivyo hivyo itakavyokuwa kwa sioi ataibuka na kura ambazo wengi hamtaamini
 
KATIBU wa CCM mkoa wa Arusha Mary Chatanda amesema ratiba ya Rais Mstaafu na mwenyekiti mstaafu wa CCM taifa Rais Benjamin Mkapa ya kuzindua kampeni ndogo za chama hicho za ubunge jimbo la Arumeru Mashariki ipo palepale na habari kwamba amekataa kufanya uzinduzi huo si za kweli. Aidha Chatanda amesema wamejipanga kikamilifu kukabiliana na kampeni chafu zilizoandaliwa na Chama Cha CHADEMA zikiwemo za kuandaa kambi maalumu ya vijana watakaovalia sare za CCM na kisha kuvamia na kufanya fujo katika mikutano ya Chadema kwa kisingizio kwamba ni vijana wa CCM. Akizungumzia suala la kwanza kwamba Mkapa alitamka kuwa hatakua tayari kufanya uzinduzi huo hadi pale makundi yaliyopo katika jimbo hilo yaliyotokana na kura za maoni yavunjwe si kweli kwakua hata hivyo kwasasa makundi hayo hayapo. Alisema ni wazi kuwa katika kila uchaguzi kunakuwepo na makundi lakini yanavunjika mara baada ya uchaguzi huo kumalizika ambapo hata hivyo mara baada ya kupatikana mgombea ndani ya CCM makundi hayo yalivunjika. Alisema kauli hiyo ambayo imezungumzwa katika baadhi ya vyombo vya habari imetumiwa na vyama vya upinzani ili kuwapotosha wananchi na wanachama wa jimbo la Arumeru Mashariki ili wasiweze kujitokeza katika mkutano huo wa uzinduzi utakaofanyika mnamo march 12 mwaka huu katika mji mdogo wa Usa River wilayani Arumeru. Alisema pia wametumia njia hiyo ili kuwateka wananchi waliojipanga kuhudhuria mkutano wa CCM wa tarehe 12 kwakua watatambua kuwa mkutano huo hautakuwepo ambapo wao wanataraji kufanya uzinduzi wao March 10. Alisema kuwepo kwa tuhuma kuwa CCM imejipanga kufanya rafu na kuwa Mkapa amekataa kufanya uzinduzi ni dalili za kushindwa katika uchaguzi huo utakaofanyika Aprili mosi mwaka huu. Alisema Mkapa anatarajiwa kuwasili mkoani Arusha siku ya march 11 majira ya saa 11 jioni ambapo atapokewa na viongozi mbalimbali na wanachama pamoja na wananchi ambapo pia aliwasihi kujitokeza kwa wingi kumlaki. Akizungumzia suala la kuandaliwa kwa kambi haramu ya vijana watakaovalia sare za CCM na kufanya fujo katika mikutano ili kuonesha CCM kuwa wanafanya fujo Chatanda alisema taarifa hiyo wamekuwa nayo muda mrefu ambapo vijana hao waliwekwa katika kata ya Nkwaranga wakifanya mazoezi. Alisema mara baada ya uzinduzi huo utakaofanywa na Mkapa kampeni zitaongozwa na katibu wa uchumi na fedha wa CCM taifa Mwigulu Nchemba,Waziri wan chi ofisi ya Rais mahusiano na mjumbe wa kamati kuu ya CCM taifa Stephen Wasira pamoja na viongozi wengine wa kitaifa,mkoa na hata wilaya. Uchaguzi huo unafanyika kufuatia kifo cha aliyekua mbunge wa jimbo hilo Jeremiah Sumari ambapo CCM katika uchaguzi huo imemsimamisha motto wa marehemu mbunge huyo Siyoi Sumari baada ya kumshinda mwanachama mwenzake Willium Sarakikya katika marudio ya kura za maoni. Mwisho.
 
Back
Top Bottom