Mkanganyiko wa Sheria ya Kutakatisha Fedha - Albert Msando

Mkanganyiko wa Sheria ya Kutakatisha Fedha - Albert Msando

vipi?una la kusema sasa?ahahaha

vipi?msumari haukuingia vizuri,ahahaha!

vipi?kuna haja aka declare interests sasa?ahahaha

vipi?mafisadi umewaonaje?wametetewa au hawajatetewa?ahahaha
Kesi bado mbichi na wamerudi rumande,ninachokuambia Msando anatakiwa kutoa "position" na sio kuwa tata,weka akiba ya maneno.
 
nitamthamini zaidi kama ataiweka kwa kiswahili.sio wote tunao elewa hiyo lugha.
 
Hili mbona ni very basic na halihitaji mjadala? Makosa yanayoainishwa na Msando kama yapo yanafanywa makusudi lakini si sababu ya uelewa wa prosecutors kuhusu AML Act. Mashtaka kupindishwa sababu za kisiasa au kukomoana kupo muda mrefu tu.
Ni vyema akitupa mifano halisi pia ili tusijadili kisichokuwepo.
Kila siku mimi naongea kwamba hao tunaowaita mafisadi si wajinga kwa kiwango cha fikara za wengi wetu. Hakuna atakayetiwa hatiani kwa mskosa wanayoshitakiwa nayo.
Kabla ya kyfanya hayo makosa walianzia katika sheria kuona zinalitafsiri vipi hilo tukio.
Mpaka walipoamua kutekeleza hayo walijua udhaifu wa kisheria uliopo. Kama serikali ina ni ya kweli na ya dhst ya kupambana na ufisadi ilitakiwa ianze kuangalia suala zima la sheria na katiba. Bila ya hivyo tunapoteza muda tu.
Zama zimebadirika, mbinu zimebadirika, watu siyo walewale tena, pia maingiliano ya kijamii na makubwa.
Money launderers hii sheria ina tafsiri ngumu sana, ikikutana na wababaishaji kama Msando utaumiza kichwa wakati vitu viko wazi tu.
 
Back
Top Bottom