Chief wa kibena
JF-Expert Member
- Mar 13, 2016
- 686
- 397
Kaka fines za ML ni hatari kabisa. Zinaanzia TZS 500m kwa mtu binafsi. Taasisi ni TZS 1 billion
kajala alilipiwa 15m, fain zake ni costant au inategemea na kosa lenyewe.
Kaka fines za ML ni hatari kabisa. Zinaanzia TZS 500m kwa mtu binafsi. Taasisi ni TZS 1 billion
Mafisadi ni nini au ni mkumbo wa ccmMsando anawatetea mafisadi
Come on summarisemkuu hili ni somo refu, ni topic ipo kwenye somo linaitwa "Audit & Assuarence services" kuandika hapa patakuwa padogo na ntawachosha wengine.
Kajala mke alikuwa accomplice. Hivyo ilikuwa decision ya Court kuamua adhabu. Hata hivyo Mumewe fine yake ilikuwa TZS 200m. Lakini kosa lenyewe halikuwa na thamani hiyokajala alilipiwa 15m, fain zake ni costant au inategemea na kosa lenyewe.
Kajala mke alikuwa accomplice. Hivyo ilikuwa decision ya Court kuamua adhabu. Hata hivyo Mumewe fine yake ilikuwa TZS 200m. Lakini kosa lenyewe halikuwa na thamani hiyo
Mkubwa inasemekana wakigushi nyaraka Fulani Fulani ili kufanikisha hicho walichokifanya, kwa lugha nyingine as middle men hawakustahili kupata kiasi kile, Inakuwa ML kwakuwa wameipata illegal, then wameconceal upatikanaji wake kwa kujaribu kuifanya ni commission waliyolipwa as middle men kwenye dili hilo, hapa ndipo ML inapoingia na hapa EGMA ndipo anapoingia kwani ndo ametumika kama mtakatishaji kwa mgongo wa middle menKuthibitisha k
Hapa kuna mkanganyiko. Ili uite peas ilikuwa illegal inabidi uthibitishe kwamba serikali iliibiwa. Kadiri ya maelezo ni kwamba eti waliongezewa ada ya mkopo toka 1% hadi 2.4%. Je hawakujua? Walikubalije? Tusiangalie mwisho wa hadithi tuangalie mchakato wake. Na kama walipewa bei wakakubali unasemaje umeibiwa?
Msando kaona mbali bilioni 6 nyingi hii kesi Lowassa atampa ili amuokoe mkwe wake.
Yeye mwenyewe kakaa kijizijizi tuMsando anawatetea mafisadi
Msando anatafuta wateja kwa kufanya plagarism ili aonekane ni bingwa wa ishu za kisheria.alipaswa kueleza source na sio kutuletea habari aliyoifanya kama ni uchambuzi wake. Asante kwa kumuumbua huyu kanjanja.Anahitimisha "to be continued" kwa maana anatafuta vyanzo vingine vya ku-plagiarize?? Aibu!!
Money Laundering | Criminal Law
MsandoAlberto kwanza declare interest
duh hii sikuwahi isikia, kwa hyo jamaa wanaongeZa ya kwao? sina uhakika kama mamlaka zinajua!katika engineering tulifundishwa unaweza ukama unajenga nyumba ghorofa 5 kwa ajili ya biashara au makaz,wakaja watakatishaj pesa wakaomba waweke floor 1 ya sita ya kwao lakn katka vibali na umiliki wao hawaonekani,huo nao ni utakatishaji pesa.Hapa mjini unafanyka sana ndo mana unakuta watu wanazidisha maghorofa
mkuu hao mvua isipowanyeshea hii serikal itakuwa c ya jpm, kumbuka hayo mambo yalifanyika huko kwa jmk, ila kwa sasa.. mmmmmmmmh nahc hata wao wanajuaKwa tuliomuelewa Msando anamaanisha kuwa wale jamaa walipiga dili walizodhania ni halali na wakatumia zile hela bila kificho chochote kwa hiyo sio Money Loundering...
Tegemea Kitilya na yule mrembo kuendelea kula bata na hela zetu kesi ikitajwa...
Haa ha ha aibu sana kwa wasomi wetu kuiba material y watu na kujifanya yao.Ilimpasa Wakili Alberto Msando kudeclare kuwa hilo andiko lake amelichukua huku.Anahitimisha "to be continued" kwa maana anatafuta vyanzo vingine vya ku-plagiarize?? Aibu!!
Money Laundering | Criminal Law
Msando nilimuona pale kwenye ile kesi mahakamani sijui anapiga jaramba. Ila ameeleza vizuri sana. Na hata mimi nilihisi kuwa hizi kesi za ML zinaletwa tu ili vigogo wadhalilike kwa kwenda rumande. Mpaka sasa sijaona kesi yoyote ya kigogo iliyopata majibu yaliyotegemewa. Mwisho wa siku mtu anahukumiwa kufagia...baadae anapewa ofisi tena....
msando na yeye ni mshirika wa pesa haramu za advocate mwale na ile kampuni ya mawalla advocates pale arusha ndio kichaka chao cha kufanyia wiziMsando amepata hela za kina Nyaga, Bob Sambeke na watu wengine ambao Arusha walikuwa labelled X. Bado mambo yako vile vile au siku hizi ameanza biashara ya kuuza bar? Enzi zile tukiwa chuo alipenda kutuita kina sisi NULL AND VOID kama tukisogelea wale vijana wake wapendwa wa law.
Maisha yana mambo mengi sana. Msando anaweza kutueleza hela zile walizokuwa wanatengeneza na Rafiki yake Nyaga zilikuwa za biashara gani?