Mkanganyiko wa Maadili ya Madaktari wakati wa Migomo

Kuwa na vijana kama nyie mliochangia hapo juu ni janga la KITAIFA.....kwa mantiki hiyo nyinyi mlikuwa mnahitaji waendelea kugoma tu huku ndugu zetu wakiendelea kufa? Vijana achaneni na UGAMBAGWANDA wenu vaeni UZALENDO
 
Kwa jinsi ninavyoona hasa kutokana na madaktari kujitokeza na kuiomba msamaha Serikali na kutoa ahadi kuwa hawatogoma tena no matter what.

Usije kupigwa na butwaa baada ya kuwaona na walimu na wao wakijitokeza na kuomba msamaha kwa mgomo walioufanya wiki chache zilizopita.

Baada ya Walimu pia tutashuhudi waandishi wa habari na wao wakiomba msamaha kwa maandamano waliyoyafanya kupinga unyanyasaji wa polisi kwa waandishi wa habari.

nilidhani utasema na POLISI wataomba radhi kwa mauaji...........!
 
Wote duniani tunatafuta pesa. Acheni kushabikia ujinga. Madaktari wanafunzi wana haki ya kuomba msamaha kwani bila hivyo hawatakua na pesa kabisa. Madaktari wengine wanavyanzo vya mapato wasiwadanganye vijana. Nawashauri wasijiunge na hao madaktari katika kudai madai yao. Watumie kundi lao peke yake kujadiliana na serikali hakuna linaloshindikana. Hili ni fundisho kwa watu wote wanaosikiliza hasa viongozi bila kufikiri madhara ya mbele. Mara nyingi kwa ujinga wako unajikuta kwenye matatizo na aliyekushawishi hawezi kukusaidia.
 
'Wote wale ni vijana wa Chama cha Mapinduzi.Na wamefanya vile 'strategically' ili kumpa hadhi Rais na Serikali yake' amesema mmoja wa Madaktari Bingwa wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili niliyezungumza naye muda mfupi uliopita.'Migomo inaratibiwa naviongozi wetu.Kama mtu hataki,huwa hatumlazimishi.Wao walikuwa wapi muda wote na hata kugoma? Wote wale ni UVCCM.' aliongeza. Kuna taarifa kuwa Nape Nnauye alizungumza na watioa tamko kabla ya kulitoa tamko lao. Usaliti juu ya usaliti.


The taste of the pudding is in the eating. Lets wait and see if those Drs who are not affiliated to CCM will come up and exclaim aluta continua.
 
hii ni nchi ya majuha, waandishi wameonyesha hawana umoja. Wiki ya nenda kwa usalama inapata air play ya kutosha kwenye media. Yako wapi maneno ya waandishi kuwa kalamu ina nguvu kuliko risasi?
 
Nadhani ni sahihi kuomba radhi kwa kuwa hata wale wengine waliogoma wamerudi kazini na sijui kama wanawapatia msaada wowote hawa walofukuzwa ili kuweza kuendesha maisha yao ya kila siku.
 
Mbinu dhaifu hizo mnazofanya magamba kutafuta cheap popularity, even simple minds know the govt miserably failed and it is still failing pretending doctor's saga is over.

The truth is, it is now weighing heavily on poor Tanzanians. Poor magamba
.
 
Hivi mimi najiuliza yale ambayo yalipelekea wao kugoma yalikuwa sio sahihi? Kumbukeni jinsi makundi mbalimbali yalivyowaunga mkono.

Mfano taasisi ya haki za binadamu ya Mama Kijo Bisimba wanajisikiaje? Kweli Tanzania bwana kila jambo linaendeshwa kinjaanjaa tu. Wako walioitwa na mheshimiwa wakaambiwa waombe radhi ili ionekane walikosea. Lakini ukweli ni kwamba tatizo lipo.
 
Jamani naomba tuelewane hapa, walioomba msamaha wanajiita madaktari walioathirika na mgomo, lakini Jakaya Kikwete halishawahi kuwakana kwamba wao si madaktari bali wanafunzi kwa vitendo Interns. unless mniambie nyinyi ni wavivu wa kufikiri na wepesi wa kusahau.

By the way wale madaktari 1000 kutoka Iran wameshawasili? mimi ushauri wangu hawa waliokiri kufanya makosa the evidence is very clear wapelekwe mahakamani kwa makosa ya mauwaji. that's it.
 
Usiku, sasa hwa mchana kweupe na aibu tele! Kama chekechea anapotandikwa na baba/mwalimu ana scream sitarudia baba, sitarudia baba, sitarudia mwalimu, sitarudia mwalimu!
 
Na hayo ndiyo madhara ya kudanganywa na wajanja ambao wana mahali pa kushikia uwaunge mkono. Na baada ya mambo kuharibika unaachwa pale Manzese ukishangaa uliyeongozana naye humwona na wala hakutambui tena.

Madk wanafunzi nawapongeza kwa kujua waliburuzwa na wajanja. Na nyie mnaofikiri kila kitu ni siasa ni vipofu wa kuona. You are no body and brush up stairs.

Kwani hamwoni mnaambiwa kesho tunaandamana, MNAANNDAMANA ninyi na wao wanasikilizia, mkifa watakuja kuzika na kutoa pole na kulaani mauaji wakati jana yake waliwaambia kesho nendeni mkafe, na nyie kwa kuwa viraza mnakurupuka kama mazuzu wenzenu wanaonekana mashujaa na viraza wanabaki kuwa viraza hata humu ndani ndio wengi, hamjijui, hamjitambui, hamjielewi mmebaki kuwa wanungunikaji baya manajua ninyi, zuri mnajua ninyi, viraza wenzenu mnawajua ninyi ila ninyi hamjijui.

Madaktari wanaomba msamaha kwa kusutwa na moyo wao nyie mnasema ni njaa, nyie mnashiba? Wapuuzi wakubwa nyie.

Mtu anakuomba 500 kwenda cafe' akawaite watu wana njaa. Mmoja yupo humu kaniudhi kwani ndo kwanza amenobomu 100, anapewa kazi hataki, kisa kacheti kake anataka kazi kama yangu halafu namwona humu anawaita njaa ndio inawasumbua hao.

Ehee unajijua wewe na wenzio acha upumbavu kushabikia msichokijua, wenzio wakitoka kupiga porojo jukwaani, wanaenda kupiga disco Bil. na hawakujui kama huna 1000 na hata wakijua hawana mpango na wewe
 
Hawa ni Interns, ni wanafunzi kwa njia ya vitendo na siyo Madaktari.
source: Jakaya Kikwete.

N:b'
Daktari Bingwa wa upasuaji wa watoto Catherine Mng'ong'o ameshaacha kazi rasmi Muhimbili. nyinyi chekeleeni ujinga tu, sisi tunaouuguza ndio tunajuwa nini kinaendelea. hii siyo siasa japo mnataka kuifanya siasa.

hippocratessocrates,

Huyu jamaa anasema nyie sio madaktari... Halafu wewe Matola usitishe watu kisa unauguliwa, hivi nani ana mgonjwa au nani ajawahi kuugua...usilete porojo zako kwa hiyo wewe ulitaka madaktari wasiombe radhi kisa wewe unauguliwa.
 
Last edited by a moderator:
Muelewane na nani? Dr. Slaa aliposema anataka serikali iangalie madai ya madaktari alikuwa anaongelea madaktari gani?
 
Madaktari mligoma raia wa tanganyika walipoteza uhai na wengine ugonjwa kuongezeka. Hata hivyo kwa upande wa pili Dr Ulimboka alitekwa akapigwa aketeswa kwa mateso wanayoyaita Five degree torture kwq kumung'oa meno,kucha na sehemu zingine za mwili na kisha kumtelekeza kwenye dampo la serikali la mizoga ya watu maarufu kama misitu ya pande. Kuomba radhi kwenu ni kuzuri na kuondoa tofauti zenu na serikari. Hii inaonyesha jinsi utamaduni wa mtanzaia jinsi ulivyo kwa usaliti na unafiki ambao watanzania wengi wasomi walivyo.Na ndiyo maana hata wbunge wetu wanakosoa bajeti au wanasema madudu ya wizara kisha wanaunga hoja
 
Hahaha..Mkuu Ritz, nadhani hapo ndio kosa, Mkuu Matola, though am not an intern doctor, sidhani kama ot's fair kumuita intern DOCTOR, kuwa ni mwanafunzi na SI daktari, Daktari-mwanafunzi may be appropriate...

Kwani hata madaktari walioko kazini( Mh . M.K.P. Pnda) aliposema anategemea madaktari toka chuoni alimaanisha hao "wanafunzi" unaowasema.. na najua hili lina shida fulani pia katika fani, esp. mgonjwa anapokuja na kukuona ni mdogo, kudhani ni mwanafunzi... they "wanafunzi" return same favor by undertreating patients!!
 
nimeamka asubuhi na mapema na kuwasiliana na baadhi ya rafiki zangu ma dr. nikiwauliza hayo tuliyoyaona jana nini maana yake? wengi wao hawana jibu lililonyooka coz wote wanasema TUMEWASIRITI WENZETU na wao wameamua kuuza heshima yao na kuidhalilisha taaluma kwa sababu ya NJAA.

Binafsi naungana na mtazamo wa hao jamaa zangu kwamba ni kweli njaa yaweza kukufanya ufanye jambo ambalo ukiwa umeshiba hata wakuue uwezi fanya, lakini naenda mbali zaidi na kuona hapa kwetu harakati za kudai haki ndo KWISHINEI coz hawa jamaa nilikuwa nawa admire coz wako fit upstairs, walijipambanua kama wapigania wanyonge wakiwa na hoja zenye mashiko kumbe njaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa inadhoofisha.
 
Madaktari mligoma raia wa tanganyika walipoteza uhai na wengine ugonjwa kuongezeka. Hata hivyo kwa upande wa pili Dr Ulimboka alitekwa akapigwa aketeswa kwa mateso wanayoyaita Five degree torture kwq kumung'oa meno,kucha na sehemu zingine za mwili na kisha kumtelekeza kwenye dampo la serikali la mizoga ya watu maarufu kama misitu ya pande. Kuomba radhi kwenu ni kuzuri na kuondoa tofauti zenu na serikari. Hii inaonyesha jinsi utamaduni wa mtanzaia jinsi ulivyo kwa usaliti na unafiki ambao watanzania wengi wasomi walivyo.Na ndiyo maana hata wbunge wetu wanakosoa bajeti au wanasema madudu ya wizara kisha wanaunga hoja

Tatizo la pro cdm nyinyi kila kitu siasa mbele mmekuwa kama meseji mnatumwa kila sehem mnakwenda tumieni na zenu' juzi madokta walikuwa mashujaa leo wamewageuka wamekuwa njaa mara vilaza'hivi kati ya dokta na wewe unaekesha kwenye keyboard kushabikia siasa nani ana njaa au kilaza?
 
Kwa jinsi ninavyoona hasa kutokana na madaktari kujitokeza na kuiomba msamaha Serikali na kutoa ahadi kuwa hawatogoma tena no matter what.

Usije kupigwa na butwaa baada ya kuwaona na walimu na wao wakijitokeza na kuomba msamaha kwa mgomo walioufanya wiki chache zilizopita.

Baada ya Walimu pia tutashuhudi waandishi wa habari na wao wakiomba msamaha kwa maandamano waliyoyafanya kupinga unyanyasaji wa polisi kwa waandishi wa habari.

Wakuu,

Me mwenyewe nime pigwa na butwaaa la mwaka kweli wasomi kama ma doctors wana wezasema no matter what thy'll never ever ever strikes,

Mbaya zaidi magazeti ni ya serikali ndio yaliyotoa hiyo Habari.

Haya yote yanatokea ukweli unabaki pale pale tuuuu kuwa Serikali yetu hajaweza timiza mahitaji muhimu kwa wananchi wake Madawa , vitendea kazi mahospitalini, Maslahi kwa wafanyakazi hospitalini kwa ma doctors na wengineo,

Mgomo ambao tunao ukubali na ni live sisi wananchi nunauona na hatusemei ni serikali inaona ni halali kugoma yenyewe kuto watimizia wananchi wake mahitaji hayo. Serikali nayo inauwa raia wake pia huwezi laza mama wajawazito chumba cha akina mama 10 ukawaweka wakina mama wakawa 50 Serikali hapo yenyewe halioni hilo ni kuuwa raia wake.

PAYE zetu kama sisi wafanyakazi twa katwa kila mwezi na ni nyingi sana lakini yet pesa zetu wanakula tuuu na kujipa mahitaji kwao kama posho, leo hii mtu anaibuka na kusema unaiomba msamaa serikali wakati fika twajua serikali haitutimilizii hata kwa 5%.

Yaani hii nchi sio kisiwa cha amani ni kisiwa cha kusadikika tuu na mauozo kibao, Ndani ya nchi hii kuna watu sio watu ni sijui niwaiteje mijuhaaaaa?

Tujiulize:
Kabla ya madoctor kugoma kulikuwa hakuna uzembe huko kwa hospital zetu?
Kulikuwa na madawa?
Kuna vitendea kazi?
kuna watanzania wanagapi walikufa kwa uzembeeee?
kuna wakina mama wangapi walikufa?

Haya Madoctor kutogoma:
Je ndiko kutapunguza idadi ya vifo?
Je ndio Madawa yatakuwa ya bure?
Je ndio huduma zitaboreshwa?


 
Back
Top Bottom