Mkumbusheni mzee Mangula kwamba:-Mzee Mangula anasema bandari haimo kwenye ilani ,
Two wrongs dont make another wrong thing becomes right. Kuna kitu hakiko sawa. Tunalazimisha sana huu mradi kwa sababu zipi?Mkumbusheni mzee Mangula kwamba:-
-ujenzi wa daraja la Busisi
- kuhamisha wanyama kwenda kuanzisha hifadhi ya Burigi
-ununuzi wa ndege
-ukusanyaji wa tozo
-n.k
Vyote hivi havikuwemo/havimo kwenye ilani ya ya uchaguzi ya ccm.
Unauliza au unaelezea?Uwanja wa ndege wa chato bohari kuu ya madawa na madege yaliyonunuliwa kwa keshi nayo yalikuwamo kwenye ilani?
Kaisome ilani ,inaonekana unakurupuka SanaUwanja wa ndege wa chato bohari kuu ya madawa na madege yaliyonunuliwa kwa keshi nayo yalikuwamo kwenye ilani?
Waambieni ukweli wa Oman, hata kama hiyo bandari itajengwa na hata kama tukishindwa kulipa deni lao, huyo mtu wao Sultan wa Zanzibar hatarejea Zanzibar kamwe.Mkumbusheni mzee Mangula kwamba:-
-ujenzi wa daraja la Busisi
- kuhamisha wanyama kwenda kuanzisha hifadhi ya Burigi
-ununuzi wa ndege
-ukusanyaji wa tozo
-n.k
Vyote hivi havikuwemo/havimo kwenye ilani ya ya uchaguzi ya ccm.
Nonsense!Waambieni ukweli wa Oman, hata kama hiyo bandari itajengwa na hata kama tukishindwa kulipa deni lao, huyo mtu wao Sultan wa Zanzibar hatarejea Zanzibar kamwe.
Uko sawa mkuu,ila anza na wenye gesi ya mtwara...ukiwamudu....basi hata huko kwenye bandari utawamudu,. otherwise acha wenye nchi yao waendelee kula matunda ya nchi yao wenyewe na familia zaoHuu mkanganyiko wa kauli za hawa viongozi waandamizi wa chama na serikali kuhusu bandari ya Bagamoyo inaonyesha kuna madudu sana ndani ya terms of contract,na hii inatokana na baadhi ya viongozi wachache waliolenga kujinufaisha na mradi huo .
Rejea jinsi dhararura iliyotumika kupitisha miswaada hiyo na idadi ya wabunge waliotumika kufanya ufedhuli huu,idadi walikuwa ni sitini tu kati ya wabunge mia tatu.
Mzee Mangula anasema bandari haimo kwenye ilani ,bali ilani inataja ujenzi wa gati tu. je nini tofauti ya gati na bandari?
Wanaopanga kujinufaisha na huu mradi kwa kuliingizia Taifa hasara kama ni kweli, wajue kwamba tutawadai wao pia tutakidai kizazi chao kwa gharama yoyote ile warudishe walichopora
Hakuna mkanganyiko hapa bali ukweli kuwa CCM na serikali yao wameishiwa, wanapingana, wanapigana vita na hawajui walitendalo. Rais anasema hili, waziri mkuu lile na wazir hili. Kuna harufu ya ufisadi na ujinga vya kutisha hapa.Huu mkanganyiko wa kauli za hawa viongozi waandamizi wa chama na serikali kuhusu bandari ya Bagamoyo inaonyesha kuna madudu sana ndani ya terms of contract,na hii inatokana na baadhi ya viongozi wachache waliolenga kujinufaisha na mradi huo .
Rejea jinsi dhararura iliyotumika kupitisha miswaada hiyo na idadi ya wabunge waliotumika kufanya ufedhuli huu,idadi walikuwa ni sitini tu kati ya wabunge mia tatu.
Mzee Mangula anasema bandari haimo kwenye ilani ,bali ilani inataja ujenzi wa gati tu. je nini tofauti ya gati na bandari?
Wanaopanga kujinufaisha na huu mradi kwa kuliingizia Taifa hasara kama ni kweli, wajue kwamba tutawadai wao pia tutakidai kizazi chao kwa gharama yoyote ile warudishe walichopora
Kwenye kampeni 2015 ccm Kirumba, Ujenzi wa daraja la busisi kigongo ilikuwa hoja kwenye hitimisho la kampeni ya mgombea. Tena Jk alikuwepo.Mkumbusheni mzee Mangula kwamba:-
-ujenzi wa daraja la Busisi
- kuhamisha wanyama kwenda kuanzisha hifadhi ya Burigi
-ununuzi wa ndege
-ukusanyaji wa tozo
-n.k
Vyote hivi havikuwemo/havimo kwenye ilani ya ya uchaguzi ya ccm.
Mzee Jakaya Mrisho Kikwete ndiye kinara wa haya mambo, alishakula cha juu.Wanaopanga kujinufaisha na huu mradi kwa kuliingizia Taifa hasara kama ni kweli, wajue kwamba tutawadai wao pia tutakidai kizazi chao kwa gharama yoyote ile warudishe walichopora
Huu mradi una mahesabu makali ya kimkakati ambayo mtu mwenye uelewa wa kawaida hawezi kuelewa kabisa. Lakini ntajaribu kukuelewesha.Nonsense!
Watanzania tumejaa visumbufu kichwani. Bagamoyo ni ardhi ya Oman? Kwa mintarafu na mikataba ipi? Tusikariri zile porojo za jiwe.Huu mradi una mahesabu makali ya kimkakati ambayo mtu mwenye uelewa wa kawaida hawezi kuelewa kabisa. Lakini ntajaribu kukuelewesha.
Mjenzi wa mradi ni mchina, msimamizi wa mradi mchina. Mtoa pesa za mradi, Oman...
Tafuta notisi zako za sekondari kuna mahali uliandika 'ten miles coastal strip'. Mengine ntakuwa nakufafanulia taratibu.Watanzania tumejaa visumbufu kichwani. Bagamoyo ni ardhi ya Oman? Kwa mintarafu na mikataba ipi? Tusikariri zile porojo za jiwe.
UAE wanageliendela kuwa na mawazo mgando ya kuwanyima wazungu mkataba wa kujenga bandari mahala ilipo Dubai Port miaka ile ya 47 nadhani mpk Sasa wangelikuwa bado wamekala.
Bagamoyo port ijengwe
Sio kwa nchi hii,,, NARUDIAHiyo bandari kuna watu watasaga meno baadae penye uhai,acha wazile kwa sasa ila huko mbele watazitapika tu